Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Jimbo kuu la Dar es Saalm

Kardinali Polycarp Pengo anawataka waamini lakini zaidi wakleri kutekeleza mapenzi ya Mungu katika maisha na utume wao.

Kardinali Polycarp Pengo anawataka waamini, lakini zaidi wakleri kutekeleza mapenzi ya Mungu katika maisha yao.

Kardinali Pengo: Jitahidini kutekeleza mapenzi ya Mungu katika maisha

11/01/2018 16:35

Kardinali Polycarp Pengo, Askofu mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam anawataka waamini, lakini kwa namna ya pekee kabisa Wakleri kuhakikisha kwamba, wanajitahidi kutekeleza mapenzi ya Mungu katika maisha na utume wao, vinginevyo wanaweza kujikuta wakiogelea kwenye dimbwi la maafa!

 

Kardinali Polycarp Pengo anasema, familia ni kitovu cha uinjilishaji wenye mvuto na mashiko!

Kardinali Polycarp Pengo anasema, familia ni kitovu cha uinjilishaji mpya unaofumbatwa katika ushuhuda wenye mvuto na mashiko!

Kardinali Polycarp Pengo asema, familia ni kitovu cha uinjilishaji!

26/07/2017 08:56

Kardinali Polycarp Pengo, Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, anasema, familia ni kitovu cha uinjilishaji mpya unaofumbatwa katika ushuhuda wenye mvuto na mashiko! Kuna haja kwa familia ya Mungu Barani Afrika kujitamadunisha na kuondokana na mila na desturi zilizopitwa na wakati!

Bagamoyo ni mlango wa imani Afrika Mashariki.

Bagamoyo ni mlango wa imani Afrika Mashariki.

Bagamoyo ni mlango wa imani Afrika Mashariki!

11/07/2017 15:32

Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania Bara na Miaka 100 ya Upadre Tanzania ni fursa inayotumiwa na Askofu mkuu Josephat Lebulu wa Jimbo Kuu la Arusha na Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo Katoliki Musoma kufafanua umuhimu wa mji wa Bagamoyo kama mlango wa imani!

Matunda ya Jubilei ya Mwaka wa Padre Tanzania yaanza kuoneka hadharani!

Matunda ya Mwaka wa Padre Tanzania yaanza kuonekana hadharani!

Matunda ya Mwaka wa Padre Tanzania!

07/07/2017 16:58

Kanisa Katoliki nchini Tanzania linaendelea kumwimbia Mwenyezi Mungu utenzi wa sifa na shukrani kwa kulizawadia watenda kazi katika shamba la Bwana kutoka katika majimbo na mashirika ya kitawa na kazi za kitume, tayari kujisadaka bila ya kujibakiza kwa ajili ya kuwahudumia watu wa Mungu!

Wanafunzi wametakiwa kujenga nidhamu kwa kudumisha, utu na heshima yao wasikubali kumezwa na malimwengu!

Wanafunzi wametakiwa kujenga nidhamu, utu na heshima yao na kamwe wasikubali kumezwa na malimwengu, kwani maisha bora na maendeleo endelevu hayapatikani kwa njia za mkato!

Wanafunzi dumisheni utu na heshima yenu, msikubali kuchezewa!

15/05/2017 15:03

Professa Rwekaza Mukandal, Makamu mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, UDSM, Tanzania amewataka wanafunzi wanaohitimu masomo yao ya kidato cha sita kwa wakati huu, kuwa makini, kamwe wasikubali kumezwa na malimwengu, bali watunze na kudumisha: nidhamu, utu na heshima yao!