Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Jimbo kuu la Cartagena, Colombia

Baba Mtakatifu Francisko katika katekesi Jumatano 13 Septemba 2017 ameelezea juu ya ziara yake ya kitume ya hivi karibuni nchini Colombia

Baba Mtakatifu Francisko katika katekesi Jumatano 13 Septemba 2017 ameelezea juu ya ziara yake ya kitume ya hivi karibuni nchini Colombia

Papa amelezea ziara yake ya Kitume nchini Colombia katika Katekesi

13/09/2017 16:06

Katika Katekesi yake Baba Mtakatifu Mjini Vatican Jumatano 13 Sept amameliza kwa ufupi ziara yake ya kitume kwamba,kwa mara nyingine tena anawawakabidhi watu wote wapendwa wa Colombia kwa mama Maria, mama yetu wa Chiquinquirá aliyeweza kumtolea heshima katika Kanisa Kuu

 

Wosia wa Papa Francisko nchini Colombia: jitahidini kupiga hatua ya kwanza katika amani na upatanisho!

Wosia wa Papa Francisko nchini Colombia: kila mtu apige hatua ya kwanza katika amani na upatanisho wa kitaifa.

Wosia wa Papa Francisko kwa familia ya Mungu nchini Colombia

11/09/2017 13:46

Baba Mtakatifu Francisko kabla ya kuanza safari ya kurejea tena mjini Vatican baada ya kukamilisha hija yake ya kitime nchini Colombia, amewaachia wananchi wa Colombia ujumbe mzito sana, akimtaka kila mwanchi kuanza kupiga hatua ya kwanza katika mchakato wa amani na upatanisho wa kitaifa.

Papa Francisko akiwa Jimbo kuu la Cartagena amebariki jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi wa makazi ya watu maskini.

Papa Francisko akiwa Jimbo kuu la Cartagena amebariki jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi wa makazi ya watu maskini, ili kuwajengea matumaini ya maisha yaliyo bora zaidi.

Mradi wa makazi ya watu wa Talitha Kum ni faraja ya maskini

11/09/2017 13:29

Baba Mtakatifu Francisko katika hija yake ya kitume Jimbo kuu la Cartagena amebariki jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi wa makazi ya watu maskini; mradi unaosimamiwa na kuendeshwa na Chama cha Kitume cha Talitha Kum, ili kuwajengea maskini matumaini ya maisha bora zaidi na elimu makini!

Papa Francisko anawataka waamini kuwa ni mashuhuda na vyombo vya Injili ya upendo na huduma!

Papa Francisko anawataka waamini kuwa ni vyombo na mashuhuda wa Injili ya upendo na huduma kwa maskini na wote wanaoteseka!

Papa Francisko anawataka waamini kuwa mashuhuda wa Injili ya upendo

11/09/2017 13:05

Papa Francisko anawataka waamini kujizatiti katika kulinda, kutetea na kudumisha utu wa binadamu; kwa kuwasaidia na kuwahudumia watu ambao wameteleza na kuanguka katika maisha; watu wanaotaka kujipatia makazi na maisha bora zaidi wanaotaka kuboresha utu wa binadamu kwa hali na mali!

Papa Francisko analaani vitendo vyote vinavyodhalilisha utu, heshima na haki msingi za binadamu!

Papa Francisko analaani vitendo vyote vinavyodhalilisha utu, heshima na haki msingi za binadamu.

Papa Francisko: Lindeni utu wa binadamu na haki zake msingi!

11/09/2017 12:33

Baba Mtakatifu Francisko ana laani kwa nguvu zote biashara na matumizi haramu ya dawa za kulevya yanayopandikiza mbegu ya kifo na uharibifu; uchafuzi na uharibifu wa mazingira; utakatishaji fedha haramu; uchu wa mali na madaraka mambo ambayo ni hatari sana kwa utu na haki msingi za binadamu!