Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Jimbo kuu la Bologna, Italia

Tangu tarehe 22 -24 Septemba Jiji la Bologna nchini Italia litakuwa na Tamasha ya Kifranciskani likiongozwa na kauli mbiu "Wakati endelevu rahisi"

Tangu tarehe 22 -24 Septemba Jiji la Bologna nchini Italia litakuwa na Tamasha ya Kifranciskani likiongozwa na kauli mbiu "tazama wakati endelevu kiurahisi"

Ask. Zuppi:Tazama wakati endelevu kwa urahisi,ujasiri na tumaini

20/09/2017 15:27

Katika tukio la Tamasha la Kifranciskani litakaloanza tarehe 22-24 Septemba jijini Bologna, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Bologna amefanya uzinduzi.Amesema Mtakatifu Francisko wa Assisi alikuwa mtu rahisi,alikumbana na mambo magumu.Hata sisi hatuna budi kutazama dunia kwa urahisi na matumaini

 

 

Kanisa Kuu la Bologna la Mtakatifu Petro mahali ambapo Baba Mtakatifu atakutana na Maaskofu, mapadre na watawa tarehe 1 Oktoba 2017

Kanisa Kuu la Bologna la Mtakatifu Petro mahali ambapo Baba Mtakatifu atakutana na Maaskofu, mapadre na watawa tarehe 1 Oktoba 2017

Papa Francisko kutembelea Jimbo kuu la Bologna, tarehe 1 Oktoba 2017

16/09/2017 11:24

Katika tukio la kuhitimisha Kongamano la Ekaristi Takatifu jimboni Bologna nchini Italia, tarehe Mosi Oktoba,Baba Mtakatifu Francisko atafanya ziara yake jimboni humo.Ziara hiyo inatarajiwa kuanza asubuhi.Kituo cha kwanza atasimama karibu na jimbo la Cesena mahali ambapo atawasalimia

 

Kardinali Carlo Caffarra alikuwa  mkweli kwani upendo wake usio na upeo ulimfanya kutii daima kwa ajili ya Yesu na kwa ajili ya Kanisa .

Kardinali Carlo Caffarra alikuwa mkweli kwani upendo wake usio na upeo ulimfanya kutii daima kwa ajili ya Yesu na kwa ajili ya Kanisa .

Marehemu Kard. Caffarra alikuwa na ibada Kuu ya Ekaristi

09/09/2017 16:02

Jumamosi 9 Septemba 2017 Kanisa Kuu la Bologna limemsindikiza kwa sala katika safari yake ya mwisho Kardinali Carlo Caffarra katika Ibada Kuu ya Misa iliyoongozwa na Askofu Mkuu Matteo Zuppi.Katika Mahubiri yake,amemkubuka Marehemu alivyohudumia kwa upendo upeo Kanisa na binadamu 

 

Baba Mtakatifu Francisko ametuma salamu zake za rambi rambi kwake Askofu Mkuu Matteo Zuppi kufuatia  kifo cha Kardinali Carlo Caffarra Bologna Italia

Baba Mtakatifu Francisko ametuma salamu zake za rambi rambi kwake Askofu Mkuu Matteo Zuppi kufuatia kifo cha Kardinali Carlo Caffarra Jimboni Bologna Italia

Papa amesikitishwa na kifo cha Kard. Carlo Caffarra wa Bologna Italia

09/09/2017 09:16

Katika salama za rambirambi kufutaiwa kifo Carlo Caffara,Baba Mtakatifu anaeleza  juu ya huduma yake ya kichungaji kwamba aliitenda kwa uamninifu, furaha na upendo wa kina kwa Kanisa. Juhudi zake pamoja na ukarimu wa kitume  hasa akiwa mstari katika  masuala ya ndoa na familia

 

Kanisa Katoliki limempoteza Ask. Mkuu mstaafu Kard. Carlo Caffarra wa Jimbo Kuu Bologna aliye aga dunia tarehe 6 Septemba 2017

Kanisa Katoliki limempoteza Ask. Mkuu mstaafu Kard. Carlo Caffarra wa Jimbo Kuu Bologna aliye aga dunia tarehe 6 Septemba 2017

Ask. Mkuu mstaafu Kard. C. Caffarra wa Jimbo Kuu Bologna Italia ameaga dunia

07/09/2017 14:37

Tarehe 6 Septemba 2017 Jimbo Kuu Katoliki la Bologna nchini Italia limempoteza Askofu Mkuu msataafu Kard. Carlo Caffarra.Maisha yake ya katika wito yamemwongoza hadi kufikia siku yake ya mwisho ya kurudi kwake Mungu.Atakumbukwa katika utaalamu wa mafunzo ya familia na ndoa

 

Papa Francisko anatarajiwa tarehe 1 Oktoba 2017 kutembelea Bologna na Cesena, nchini Italia.

papa Francisko anatarajiwa tarehe 1 Oktoba kutembelea Bologna na Cesena.

Papa Francisko kutembelea Bologna na Cesena, 1 Oktoba 2017

14/04/2017 14:51

Baba Mtakatfu Francisko anatarajiwa kutembelea majimbo ya Bologna na Cesema-Sarsina ilikuadhimisha kwanza Kongamano la Ekaristi Takatifu Kijimbo pamoja na kuwatembelea waamini wa Jimbo Katoliki Cesena-Sarsina wanoadhimisha kumbu kumbu ya miaka 300 ya kuzaliwa Papa Pio VI

Papa Francisko amesikitishwa na shambulio la kigaidi nchini Uturuki usiku wa kuamkia Mwaka 2017 na kusababisha watu zaidi ya 39 kufariki dunia!

Papa Francisko amesikitishwa na shambulio la kigaidi lililotokea kwenye Mkesha wa Mwaka Mpya 2017 na kusababisha watu zaidi ya 39 kupoteza maisha yao huko Istanbul, nchini Uturuki.

Papa Francisko asikitishwa na shambulio la kigaidi Uturuki!

01/01/2017 11:59

Mwaka 2017 unaweza kuwa ni mwaka wa heri na baraka, ikiwa kama kila mtu atatekeleza dhamana na wajibu wake kwa msaada wa Mungu pamoja na kuhakikisha kwamba, anajitahidi kila siku ya maisha kutenda wema kwa kukataa vita, chuki na uhamasa, ili kujenga amani, udugu na upatanisho!