Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Jimbo kuu la Bogotà, Colombia

Baba Mtakatifu Francisko katika katekesi Jumatano 13 Septemba 2017 ameelezea juu ya ziara yake ya kitume ya hivi karibuni nchini Colombia

Baba Mtakatifu Francisko katika katekesi Jumatano 13 Septemba 2017 ameelezea juu ya ziara yake ya kitume ya hivi karibuni nchini Colombia

Papa amelezea ziara yake ya Kitume nchini Colombia katika Katekesi

13/09/2017 16:06

Katika Katekesi yake Baba Mtakatifu Mjini Vatican Jumatano 13 Sept amameliza kwa ufupi ziara yake ya kitume kwamba,kwa mara nyingine tena anawawakabidhi watu wote wapendwa wa Colombia kwa mama Maria, mama yetu wa Chiquinquirá aliyeweza kumtolea heshima katika Kanisa Kuu

 

Papa Francisko anasema, hakuna binadamu mkamilifu, kumbe, daima anahitaji huruma na upendo wa Mungu!

Papa Francisko anasema, hakuna binadamu ambaye ni mkamilifu, kumbe daima anahitaji huruma na upendo wa Mungu katika maisha yake.

Papa Francisko asema, ulemavu ni sehemu ya udhaifu wa binadamu!

09/09/2017 15:32

Baba Mtakatifu Francisko anasema, hakuna binadamu aliye mkamilifu hapa duniani, kila mtu ana kilema chake katika maisha! Lakini, ikumbukwe kwamba, hata katika ulemavu, utu, heshima na haki msingi za binadamu hazina budi kulindwa, kuheshimiwa na kudumishwa na wote pasi na ubaguzi!