Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Jimbo kuu la Arusha

Maaskofu wakuu 29 wapewa Pallio Takatifu, alama ya umoja na Khalifa wa Mtakatifu Petro.

Maaskofu wakuu 29 wapewa Pallio Takatifu, alama ya umoja na Khalifa wa Mtakatifu Petro.

Maaskofu wakuu 29 kupewa Pallio Tatakatifu, 29 Juni 2018

28/06/2018 17:35

Baba Mtakatifu Francisko katika maadhimisho ya Sherehe ya Watakatifu Petro na Paulo, miamba wa imani inayoadhimishwa kila mwaka ifikapo tarehe 29 Juni, atawapatia Pallio Takatifu, Maaskofu wakuu walioteuliwa katika kipindi cha Mwaka 2017-2018. Pallio Takatifu ni alama ya umoja na Papa!

 

Watanzania wanapaswa kujenga na kudumisha: Hekima, Umoja na Amani nguzo za taifa!

Watanzania wanapaswa kujenga na kudumisha: Hekima, Umoja na Amani nguzo za taifa.

Yaliyojiri Askofu mkuu Isaac Amani Massawe aliposimikwa Arusha

14/04/2018 16:50

Maadhimisho ya Ibada ya Masifu ya Jioni, Jumapili ya Huruma ya Mungu na hatimaye, Ibada ya Misa Takatifu kwa ajili ya kumsimika Askofu Mkuu Isaac Amani Massawe wa Jimbo kuu la Arusha yalisheheni utajiri wa busara na hekima zilizotolewa na wahusika mbali mbali katika tukio hili la kihistoria!

Askofu mkuu Josaphat Louis Lebulu kwa miaka 49 amelitumikia Kanisa kama Padre na miaka 39 kama Askofu, Jimbo la Same na Jimbo kuu la Arusha.

Askofu mkuu Josaphat Louis Lebulu amelitumikia Kanisa kama Padre kwa miaka 49 na kama Askofu takribani miaka 49 huko Jimbo Katoliki la Same na hatimaye, Jimbo kuu Katoliki la Arusha, Tanzania.

Shukrani sana Askofu mkuu Lebulu! Shikamaneni na Askofu mkuu Amani

06/04/2018 09:16

Askofu mkuu mstaafu Josaphat Louis Lebulu wa Jimbo kuu Katoliki Arusha, Tanzania amelitumikia Kanisa kama padre kwa miaka 49 na katika dhamana ya Askofu kwa takribani miaka 39. Amekuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Same na hatimaye, Jimbo kuu Katoliki la Arusha! Sasa anang'atuka ili akasali zaidi! 

Askofu mkuu mstaafu Josaphat Louis Lebulu katika maisha na utume wake amekazia sana dhana ya sinodi na familia ya Mungu, sehemu muhimu ya uinjilishaji

Askofu mkuu mstafu Josaphat Louis Lebulu wa Jimbo kuu Katoliki la Arusha, Tanzania katika maisha na utume wake, amekazia sana umuhimu wa kumwilisha dhana ya Sinodi na Familia ya Mungu katika maisha na utume wa Kanisa.

Askofu mkuu mstaafu Lebulu: "Dhana ya Sinodi" & "Familia ya Mungu"

06/04/2018 08:50

Askofu mkuu mstaafu Josaphat Louis Lebulu wa Jimbo kuu la Arusha nchini Tanzania katika maisha na utume wake kama Askofu alipenda kukazia "dhana ya Sinodi" kama jukwaa linaloikutanisha familia ya Mungu ili kusali, kutafakari, kupanga, kuamua na kutekeleza sera na mikakati ya utume wa Kanisa.

Askofu Isaac Amani Massawe wa Jimbo Katoliki Moshi, ameteuliwa kuwa Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Arusha, Tanzania.

Askofu Isaac Amani Massawe wa Jimbo Katoliki Moshi, ameteuliwa kuwa Askofu mkuu wa Jimbo Katoliki Arusha ili kuchukua nafasi ya Askofu mkuu Josephat Louis Lebulu aliyeng'atuka kutoka madarakani.

Askofu Isaac A. Massawe ateuliwa kuwa Askofu mkuu Jimbo kuu la Arusha

27/12/2017 12:00

Askofu Isaac Amani Massawe aliyezaliwa kunako mwaka 1951, Mango, Moshi; akapadrishwa mwaka 1975 na kuteuliwa kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Moshi, mwaka 2007 ameteuliwa na Baba Mtakatifu Francisko kuwa Askofu mkuu wa pili Jimbo kuu la Arusha, Tanzania.

Bagamoyo ni mlango wa imani Afrika Mashariki.

Bagamoyo ni mlango wa imani Afrika Mashariki.

Bagamoyo ni mlango wa imani Afrika Mashariki!

11/07/2017 15:32

Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania Bara na Miaka 100 ya Upadre Tanzania ni fursa inayotumiwa na Askofu mkuu Josephat Lebulu wa Jimbo Kuu la Arusha na Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo Katoliki Musoma kufafanua umuhimu wa mji wa Bagamoyo kama mlango wa imani!

Watanzania jengeni uzalendo unaofumbatwa katika tunu msingi za maisha ya Kiinjili, tayari kuzishuhudia katika maisha!

Watanzania jengeni uzalendo unaofumbatwa katika tunu msingi za maisha ya Kiinjili, tayari kuzishuhudia ndani na nje ya Tanzania kama kielelezo cha imani tendaji!

Dumisheni uzalendo unaobubujika kutoka katika tunu msingi za Kiinjili

15/06/2017 16:50

Askofu mkuu Josephat Louis Lebulu wa Jimbo Kuu la Arusha, Tanzania anaitaka familia ya Mungu nchini Tanzania kujenga na kudumisha uzalendo unaobubujika kutoka katika tunu msingi za maisha ya Kikristo, tayari kutoka kifua mbele ili kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu!