Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Jimbo Katoliki la Mbeya

Hivi karibuni bweni la Mt. Yosefu, Seminari ya St. Mary, Mbalizi Jimbo Katoliki Mbeya limewaka moto na kusababisha hasara kubwa ya mali na vifaa.

Hivi karibuni bweni la Mt. Yosefu, Seminari ya St. Mary, Mbalizi, Jimbo Katoliki la Mbeya liliwaka moto na kuteketea lote na hivyo kusababisha hasara kubwa kwa seminari na wanafunzi katika ujumla wake.

Bweni la Seminari ndogo ya St. Mary, Mbalizi, Mbeya lawaka moto!

25/01/2018 08:17

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limethitisha kutokea kwa ajali ya moto ulioteketeza na kuunguza bweni la Mt. Yosefu, Seminari Ndogo ya St. Mary iliyoko Mbalizi, Jimbo Katoliki la Mbeya. Hadi sasa chanzo cha ajali hii mbaya hakijafahamika na kwamba, Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa kina!

 

Maaskofu Katoliki Tanzania wanaitaka familia ya Mungu nchini humo kujenga na kudumisha misingi ya haki, amani, upendo na mshikamano wa kitaifa!

Maaskofu Katoliki Tanzania wanaitaka familia ya Mungu nchini humo kujenga na kudumisha misingi ya haki, amani, upendo na mshikamano wa kitaifa!

Changamoto kutoka kwa Maaskofu kwa familia ya Mungu nchini Tanzania

09/01/2018 10:30

Maaskofu Katoliki nchini Tanzania katika kipindi cha Noeli na Mwaka Mpya 2018 wametumia fursa hii kuitaka familia ya Mungu nchini Tanzania kujenga na kudumisha misingi ya haki, amani, upendo, na umoja wa kitaifa; kwa kukazia kanuni maadili, malezi na utu wema; pamoja na kudumisha majadiliano.

B.Maria ni mfano bora wa: imani, matumaini, mapendo, utii, unyenyekevu na utayari kwa ajili ya huduma kwa watu wa Mungu.

B. maria ni mfano bora wa: imani, matumaini, mapendo, utii pamoja na utayari kwa ajili ya huduma makini kwa watu wa Mungu.

Askofu Marcus Chengula: Palilieni miito mitakatifu ndani ya Kanisa!

18/12/2017 09:37

Bikira Maria Mama wa Mungu na Kanisa alipata upendeleo wa pekee kutoka kwa Mwenyezi Mungu kiasi hata cha kukingiwa dhambi ya asili, ili aweze kuwa ni Tabernakulo ya kwanza ya Neno wa Mungu; mfano bora wa kuigwa na watawa katika maisha na utume wao kwa familia ya Mungu ulimweguni!