Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Jimbo Katoliki la Brownsville, Texas, USA

Papa amewashukuru kikundi cha watu waliokuwa Kiwanja cha Mt. Petro na maandishi ya kumtakia Safari njema ya ziara yake ya kitume nchini Colombia

Papa amewashukuru kikundi cha watu waliokuwa Kiwanja cha Mt. Petro na maandishi ya kumtakia Safari njema ya ziara yake ya kitume nchini Colombia

Papa:Amekumbuka waathirika wa mafuriko barani Asia na ziara ya Colombia

04/09/2017 10:06

Katika kuonesha ukaribu wa sala kwa waathirika wa mafuriko barani Asia na Kimbunga huko Texas na Louisiana Marekani pia ameawashukuru wote vikundi vya walioandika maandishi ya kumtakia safari njema ya ziara yake nchini Colombia inayoanza tarehe 6 hadi 11 atakaporejea tena Vatican 

Baba Matakatifu anawaombea waathirika wa janga la Harvey nchini Marekani na kuwatia moyo katika hali hiyo ngumu ya nguvu za asili.

Baba Matakatifu anawaombea waathirika wa janga la Harvey nchini Marekani na kuwatia moyo katika hali hiyo ngumu ya nguvu za asili.

Papa Francisko awaombea walio pata maafa ya nguvu ya asili Marekani

31/08/2017 17:39

Baba Mtakatifu Francisko ametuma  barua ya kuwapa pole waliopatwa na Majanga ya nguvu ya asili huko Texas na Lousiana Marekani. Anawakikishia maombi yake kwa Mungu waathirika na familia zao pia kwa wote ambao wamejikita kwa sasa katika shughuli za uokoaji wa maisha ya watu.

Uharibifu mkubwa unaoendelea  katika Ghuba ya Texas hasa huko Houston umesasababishwa na kimbunga cha Harvey ambayo ni dhoruba ya kitropiki

Uharibifu mkubwa unaoendelea katika Ghuba ya Texas hasa huko Houston umesasababishwa na kimbunga cha Harvey ambayo ni dhoruba ya kitropiki

Patriaki Bartholomew asema ni kipindi cha kutafakari nguvu ya kutisha ya asili

30/08/2017 14:45

Patriaki:Ni wakati wa kutafakari juu ya nguvu ya kutisha ya asili,ni wajibu wetu wa kibinadamu kuwa watendaji bora wenye busara ya mazingira. Sisi sote tumeitwa kushiriki katika ukombozi na usimamizi wa dunia yetu,kufanya kazi ili kuzuia nguvu ya uharibifu utokanao na vimbunga na mafuriko

Vijana wanahamasishwa na Papa Francisko kutangaza na kushuhudia imani yao kwa Kristo na Kanisa lake!

baba Mtakatifu Francisko anawahamasisha vijana wa kizazi kipya kushuhudia imani yao kwa Kristo na Kanisa lake!

Vijana mnahamasishwa kutangaza na kushuhudia imani yenu!

27/07/2016 11:49

Baba Mtakatifu Francisko anawahamasisha vijana kutangaza na kushuhudia imani yao inayomwilishwa katika uhalisia wa maisha kwa ujana ni mali ni sawa ni mchezo usiokuwa na marudio hata kidogo! Vijana wahakikishe kwamba, wanakuwa ni vyombo na mashuhuda ya matendo mema!