Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Janus Urbanczyk

Biashara ya binadamu  inayofanyika kuwanyonya watu katika maeneo kama vile ya ukahaba, kazi za kulazimishwa,  hutoa faida kubwa sana kwa waalifu.

Biashara ya binadamu inayofanyika kuwanyonya watu katika maeneo kama vile ya ukahaba, kazi za kulazimishwa, hutoa faida kubwa sana kwa wahalifu.

Biashara haramu ya binadamu inaongezeka kwasababu ya kutojali

13/09/2017 16:53

Askofu Mkuu  Ivan Jurkovič  Mwakilishi wa kudumu wa Vatican kwenye Ofisi za Umoja wa Mataifa huko Geneva Uswis,ametoa hotuba yake katika kikao cha 36 Cha Baraza la Haki za Binadamu tarehe 12 Septemba 2016 Ni kikao ambacho kinazingatia sababu na matokeo ya uhalifu mkubwa kupindukia

 

Ni wito kwa viongozi wote Serikali na kisiasa kwamba siyo tu kutaka kuhakikisha usalama wa wananchi wake tu bali inahitajika kufanya kazi kikamilifu

Ni wito kwa viongozi wote Serikali na kisiasa kwamba siyo tu kutaka kuhakikisha usalama wa wananchi wake tu bali inahitajika kufanya kazi kikamilifu kwa ajili ya ukuaji wa amani kimataifa

Mataifa fanyeni kazi kwa pamoja kwa ajili ya kukuza amani duniani

03/05/2017 16:10

Vatican pamoja na kuuunga mkono juhudi na mazungumzo kuhusu kusitisha silaha za kinyuklia na kuunda chombo cha kisheria cha kupiga marufuku silaha hizo bado inafuatilia kwa wasiwasi mkubwa wa hali ya kisiwa cha Korea.Kunahitajika kufanya kazi kikamilifu kwa ajili ya ukuaji wa  amani kimataifa

 

Waziri wa Mambo ya nchi za Nje wa Austria Sebastian Kurz akihutumia katika Baraza la kudumu la Umoja wa nchi za Ulaya

Waziri wa Mambo ya nchi za Nje wa Austria Bwana Sebastian Kurz katika Shirikisho la umoja wa nchi za Ulaya kurudi kwa mara nyingine tena katika Baraza la kudumu, kwasababu ya kuchukua nafasi ya wenyeji wa kukaribisha vikao vya OSCE kwa mwaka 2017 nchini Austria.

Urbanczyk:Tunayo changamoto ya kupunguza matatizo na migogoro

16/01/2017 14:34

Monsinyo Urbanczyk assema,Vatican itakuwa na ushirikiano na kutoa  msaada kwa kipindi chote cha nchi ya Austria kuwa wenyeji wa vikao vya  OSCE 2017. 

 

 

OSCE: mkutano wa kimataifa kuhusu Wakristo

OSCE hivi karibuni imefanya mkutano kuhusu mauaji, nyanyaso na madhulumu ya kidini dhidi y Wakristo.

Mkutano wa kimataifa wa kupambana dhidi ya mauaji na nyanyaso kwa Wakristo

22/05/2015 07:59

Ushirikiano na mshikamano wa kimataifa katika masuala ya ulinzi na usalama Barani Ulaya, limeadhimisha hivi karibuni mkutano wa pili wa kimataifa kuhusu hatua zinazopaswa kuchukuliwa ili kudhibiti mauaji, nyanyaso na dhuluma dhidi ya Wakristo sehemu mbali mbali duniani.