Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Jamhuri ya Kiislam ya Watu wa Iran

Akiwa nchini Iran Askofu Mkuu P. Gallager, alipata mlo wa mchana na Waziri wa Biashara ya nchi za nje Bw. Zarif

Asubuhi ya tarehe 6 Askofu Mkuu Gallager na wengine walikutana na Waziri wa Biashara ya nchi za nje Zarif na baadaye kupata chakula cha mchana na waziri,

Ziara ya Ask. Mkuu Paul R. Gallagher katika nchi ya Iran 5-9 Sept

11/09/2017 15:26

Katibu mkuu wa mambo ya nchi za nje na ushirikiano wa kimataifa mjini Vatican,alianza ziara katika nchi ya Iran kuanzia tarehe 5-9 Septemba. Askofu Mkuu aliwasiri mjini Teharan 5 Septemba akisindikizwa na Monsinyo I. Paul Strejac,mshauri wa Ubalozi katika kitengo cha Mahusiano ya nchi za nje

 

Kwa mujibu wa ripoti ya mwaka wa haki za Binadamu nchini Irani , ni karibu asilimia 64% za watu walionyongwa kwa kipindi cha mwaka 2016

Kwa mujibu wa ripoti ya mwaka wa haki za Binadamu nchini Irani , ni karibu asilimia 64% za watu walionyongwa kwa kipindi cha mwaka 2016 na zaidi ya watu 3,200 katika kumbukumbu ya mwaka 2010 zilizotolewa na mahakama ya mapinduzi.

Tangu mwaka 2017 uanze,watu 140 Iran wamehukumiwa adhabu ya kifo!

14/03/2017 15:57

Katika tukio la kuwakilisha ripoti ya mwaka juu ya adhabu ya hukumu ya kifo nchini Iran kwa mwaka 2016, Mashirika ya Iran juu ya haki za Binadamu(IHR) na Shirikisho la kupinga adhabu ya kifo (ECPM) walikuwa wametoa ombi kwa nchi za Ulaya ambao walianzisha mazungumzo ya Iran,kusitisha adhabu.

 

Baba Mtakatifu Francisko anawahimiza waamini wa dini mbali mbali kuendeleza majadiliano ya kidini.

Baba Mtakatifu Francisko anawahimiza waamini wa dini mbali mbali kuendeleza majadiliano ya kidini ili kujenga na kudumisha misingi ya haki, amani na maridhiano kati ya watu.

Endelezeni mchakato wa majadiliano ya kidini!

23/11/2016 15:45

Baba Mtakatifu Francisko anawataka waamini wa dini ya Kiislam na Kikristo kuendeleza mchakato wa majadiliano ya kidini kwa kuthamini tamaduni na mapokeo ya dini husika, tayari kujenga na kuimarisha umoja, upendo, mshikamano na udugu kati ya watu wa mataifa kwa ajili ya mafao ya wengi!

Baba Mtakatifu Francisko akizungumza na Rais wa Iran wakati walipokutana mjini Vatican.

Baba Mtakatifu Francisko akizungumza na Rais Rouhani wa Iran walipokutana mjini Vatican.

Rais Hassan Rouhani wa Iran akutana na Papa mjini Vatican

26/01/2016 15:21

Tunu msingi za maisha ya kiroho, mahusiano ya kidiplomasia kati ya Vatican na Iran; mchango wa Kanisa katika ustawi na maendeleo ya wananchi wa Iran; majadiliano ya kidini, biashara haramu ya silaha na mkataba wa nyuklia ni kati ya yale yaligusiwa kati ya Papa na Rais wa Iran.