Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Injili ya Upendo

Kipaimara ni Sakramenti inayojenga umoja na mshikamano wa Kanisa, kwa kuwawezesha waamini kuwa ni zawadi kwa jirani na mashuhuda wa amani.

Kipaimara ni Sakramenti inayojenga na kudumisha umoja, upendo na mshikamano wa Kanisa kwa kuwawezesha waamini kuwa ni vyombo na mashuhuda wa amani kwa jirani zao.

Kipaimara kinawawezesha kuwa zawadi na mashuhuda wa amani kwa jirani

06/06/2018 14:36

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Sakramenti ya Kipaimara ni zawadi ya umoja wa Kanisa; upendo na mshikamano katika kutangaza, kushuhudia; kulinda na kutetea imani ya Kanisa. Ni zawadi inayowawezesha waamini kuwa alama ya upendo, mashuhuda na vyombo vya amani katika jamii inayowazunguka!

Injili ya siku ya Mtakatifu Yohane inaeleza mazungumzo ya mwisho kati ya Bwana Yesu na Mtakatifu Petro. Katika mahubiri ametafsiri mtindo wa kufuata

Injili ya siku ya Mtakatifu Yohane inaeleza mazungumzo ya mwisho kati ya Bwana Yesu na Mtakatifu Petro. Katika mahubiri ametafsiri mtindo wa dhati, ambao mitume wanapaswa kuwa nao katika kumfuasa Yesu.

Kupenda,kuchunga na kujiandaa kubeba msalaba ndiyo dira ya mfuasi wa Yesu!

18/05/2018 16:09

Kupenda,kuchunga na kujiandaa katika msalaba, zaidi ili kutoangukia katika vishawishi vya kuweka pua katika maisha ya wengine. Ndiyo ushauri wa Baba Mtakatifu aliowapatia wakati wa mahubiri yake tarehe 18 Mei 2018 katika Kanisa la Mtakatifu Marta Vatacan akifafanua Injili ya Siku ya Mt.Yohane

 

 

Caritas Internationalis inawaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kushiriki katika safari ya matumaini ya wakimbizi na wahamiaji.

Caritas Internationalis inawaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kushiriki katika safari ya matumaini ya wakimbizi, wahamiaji na watu wanaotafuta hifadhi ya kisiasa.

Caritas Internationalis: 17-24 Juni 2018 Juma la Upendo kwa vitendo

14/05/2018 12:05

Baba Mtakatifuf Francisko mwezi Septemba 2017 alizundua rasmi kampeni ya kimataifa ya ukarimu kwa wakimbizi, wahamiaji na watu wanaotafuta hifadhi ya kisiasa inayoongozwa na kauli mbiu "Share the journey" yaani "Shiriki safari" kama kielelezo cha kumwilisha fadhila ya upendo katika maisha!

Mwenyeheri Lucien Botovasoa, shahidi, mwamini mlei na baba wa familia kutoka Madagascar anatangazwa kuwa Mwenyeheri 15.4.2018.

Mwenyeheri Lucien Botovasoa, shahidi, mwamini mlei na baba wa familia anatangazwa tarehe 15.4.2018 kuwa Mwenyeheri.

Mwenyeheri Lucien Botovasoa, Baba wa familia, shuhuda amini wa Kristo

13/04/2018 15:38

Mwenyeheri Lucien Botovasoa, shahidi, mwamini mlei, baba wa familia na wanachama wa Utawa wa Tatu wa Mtakatifu Francisko kutoka nchini Madagascar, tarehe 15 Aprili 2018 anaongezwa kwenye Orodha ya Wenyeheri wa Kanisa, walioyamimina maisha yao kwa ajili ya ushuhuda kwa Kristo na Kanisa lake. 

Askofu mkuu Cristobal Lopez Romero anasema anapenda kuwa ni daraja na shuhuda wa Injili ya upendo!

Askofu mkuu Cristobal Lopez Romero anasema katika maisha yake ya kuongoza, kufundisha na kutakatifuza watu wa Mungu anapenda kuwa ni daraja ya majadiliano na shuhuda wa Injili ya upendo na mshikamano.

Askofu Mkuu Cristobal: Nataka kuwa daraja na shuhuda wa Injili!

15/03/2018 10:26

Askofu mkuu Cristobal Lopez Romero aliyewekwa wakfu wa kuwa Askofu mkuu wa Jimbo Kuu la Rabat nchini Morocco anasema, katika maisha na utume wake wa kufundisha, kuongoza na kuwatakatifuza watu wa Mungu anataka kuwa ni daraja na shuhuda wa Injili ya upendo na matumaini!

Ukuu wa Fumbo la Msalaba katika maisha na utume wa Makanisa!

Ukuu wa Fumbo la Msalaba katika maisha na utume wa Makanisa!

Ukuu wa Fumbo la Msalaba katika maisha na utume wa Makanisa!

15/03/2018 09:43

Fumbo la Msalaba ni kielelezo cha hekima, nguvu, huruma, upendo na msamaha na upatanisho unaobubujika kutoka kwenye Fumbo la Utatu Mtakatifu. Msalaba ni Hekima ya Mungu, lakini kwa wale wanaopotea ni upuuzi. Msalaba iwe ni nguzo ya uinjilishaji  na ujenzi wa Ufalme wa Mungu duniani!

Makanisa Barani Afrika yanapaswa kuwa ni mashuhuda wa Injili ya huduma ya upendo kwa maskini na wanaoteseka!

Makanisa Barani Afrika yanapaswa kuwa ni mashuhuda wa Injili ya Upendo inayomwilishwa katika huduma kwa maskini na wale wote wanaosukumizwa pembezoni mwa jamii.

Uekumene wa huduma kama ushuhuda wenye mvuto katika uinjilishaji

05/03/2018 10:27

Mababa wa Mtaguso Mkuu wa Pili wa Vatican wanawahamasisha Wakristo kuhakikisha kwamba, wanashiriki kikamilifu katika ujenzi wa Ufalme wa Mungu unaosimikwa katika haki, amani, upendo na maridhiano kati ya watu! Wakristo wawe ni vyombo na mashuhuda wa Injili ya upendo kwa watu wa Mungu.

Mtumishi wa Mungu Padre Stefano Pernet, aliandika kurasa za maisha na utume wake kwa ushuhuda wa Injili ya upendo!

Mtumishi wa Mungu Padre Stefano Pernet, muasisi wa Shirika la Masista Wadogo wa Bikira Maria Mpalizwa Mbinguni aliandika historia ya maisha na utume wake kwa njia ya Injili ya upendo kwa familia maskini nchini Ufaransa.

Mtumishi wa Mungu Padre Pernet ni shuhuda wa Injili ya upendo!

05/03/2018 10:07

Mtakatifu Yohane Paulo II kunako mwaka 1983 alimtangaza Padre Stefano Pernet, Muasisi wa Shirika la Masista Wadogo wa Bikira Maria Mpalizwa Mbinguni kuwa Mtumishi wa Mungu. Ni Padre aliyeandika kurasa za maisha na utume wake kwa njia Injili ya upendo, sadaka na majitoleo kwa familia maskini!