Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Injili ya Uhai

Imani kwa Kristo Yesu ni chemchemi ya uhai na maisha mapya anasema Baba Mtakatifu Francisko!

Imani kwa Kristo Yesu ni chemchemi ya uhai na maisha mapya kutoka kwa Kristo Yesu, anasema, Baba Mtakatifu Francisko.

Papa Francisko asema: Imani kwa Kristo ni chemchemi ya maisha mapya!

02/07/2018 10:49

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Mwinjili Marko anaweka tukio la Yesu kumponya Binti Yairo na yule mwanamke mgonjwa aliyekuwa anatokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili, kuwa ni safari ya kishindo kuendelea Injili ya uhai na maisha mapya yanayobubujika kutokana na imani kwa Kristo Yesu!

Kwa njia ya Fumbo la Pasaka, Kristo Yesu ameshinda dhambi, kifo na mauti!

Kwa njia ya Fumbo la Msalaba, Kristo Yesu ameshinda dhambi, kifo na mauti!

Kristo Yesu ameshinda dhambi, kifo na mauti!

30/06/2018 17:18

Kwa njia ya maisha, mahubiri na matendo yake yote, Yesu anatangaza na kushuhudia kwa njia ya miujiza, maajabu na ishara nyingi kwamba, ndani mwake kuna Ufalme wa Mungu na kwamba, yote haya yanashuhudia kuwa Yesu ndiye Masiha aliyetangazwa, ambaye ameshinda dhambi, kifo na mauti!

 

Jubilei ya Miaka 50 ya Waraka wa "Humanae vitae", 25 Julai 1968: Changamoto Injili ya uhai dhidi ya utamaduni wa kifo.

Jubilei ya Miaka 50 ya Waraka wa Paulo VI "Humanae vitae", mwaliko kwa waamini na watu wote wenye mapenzi mema kusimamakidete kulinda, kutetea na kudumisha Injili ya maisha.

Kanisa litaendelea kujizatiti kutetea Injili ya uhai!

29/05/2018 13:30

Mama Kanisa tarehe 25 Julai 2018 anaadhimisha kumbu kumbu ya Jubilei ya Miaka 50 tangu Mwenyeheri Paulo VI alipochapisha Waraka wake wa Kitume "Humane vitae" yaani "Maisha ya mwanadamu" kwa kuonesha dhamana na wajibu wa kurithisha zawadi ya uhai; kwa uhuru na waujibaki mkubwa!

Papa Francisko anawataka waamini pamoja na wadau mbali mbali kusimama kidete: kulinda, kutetea na kudumisha uhai, utu na heshima ya binadamu.

Papa Francisko anawataka waamini pamoja na wadau mbali mbali kusimama kidete: kulinda, kutetea na kudumisha uhai, utu na heshima ya binadamu.

Papa Francisko: Simameni kidete kutetea maisha, utu na heshima ya mtu

23/05/2018 16:01

Baba Mtakatifu Francisko anawataka waamini pamoja na wadau mbali mbali kujifunga kibwebwe ili kutetea, kulinda na kudumisha uhai, utu na heshima ya binadamu aliyeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu dhidi ya utamaduni wa kifo na utandawazi usiojali wala kuguswa na mahangaiko ya watu!

Roho Mtakatifu awajalie waamini kutafuta, kulinda na kudumisha haki, amani na maridhiano kati ya watu.

Roho Mtakatifu awajalie waamini kutafuta, kulinda na kudumisha misingi ya haki, amani na maridhiano kati ya watu ili wote waweze kuwa na roho moja na moyo mmoja.

Baraza la Makanisa Ulimwenguni: Ujumbe wa Pentekoste kwa Mwaka 2018

19/05/2018 09:04

Baraza la Makanisa Ulimwenguni katika ujumbe wake kwa Sherehe ya Pentekoste kwa mwaka 2018 linamwomba Kristo Mfufuka, anayewajalia waja wake maisha mapya, awawezeshe kusimama kidete kutafuta, kulinda na kudumisha haki, amani na maridhiano, ili waweze kuwa na roho moja na moyo mmoja.

Baraza la Maaskofu Katoliki Perù linawataka wananchi kusimama kidete kupinga utamaduni wa kifo.

Baraza la Maaskofu Katoliki Perù linawataka wananchi kusimama kidete kupinga utamaduni wa kifo unaoingizwa nchini humo kwa nguvu ya fedha!

Wananchi wa Perù simameni kidete kupinga utamaduni wa kifo!

08/05/2018 06:30

Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Perù linaitaka familia ya Mungu nchini humo kusimama kidete kupinga utamaduni wa kifo unaopenyezwa nchini humo kwa njia ya Mashirika Yasio ya Kiserikali, jambo ambalo linakwenda kinyume cha Katiba ya nchi ambayo kimsingi ni sheria mama inayopaswa kutekelezwa!

Papa Francisko: Mpango mkakati wa maboresho ya huduma ya afya duniani uzingatie: kukinga, kurekebisha, kutibu na kujiandaa kwa siku za usoni.

Papa Francisko: Mpango mkakati wa maboresho ya huduma ya afya duniani hauna budi kuzingatia mambo yafuatayo: kukinga, kurekebisha, kutibu na kujiandaa kwa siku za usoni.

Mpango mkakati wa maboresho ya afya ya umma unapaswa kuwa shirikishi

28/04/2018 14:15

Baba Mtakatifu Francisko anasema mpango mkakati wa maboresho ya huduma ya afya duniani hauna budi kujikita katika mambo makuu manne: kukinga, kurekebisha, kutibu na kujiandaa ili kuweza kukabiliana na changamoto za afya binadamu kwa siku za usoni, daima ustawi wa mgonjwa ukizingatiwa!

Waraka wa Kitume wa Mwenyeheri Paulo VI "Humanae vitae" unaadhimisha Jubilei ya Miaka 50 tangu kuchapishwa kwake!

Waraka wa Kitume wa Mwenyeheri Paulo VI unaadhimisha Jubilei ya Miaka 50 tangu kuchapishwa kwake, hapo tarehe 25 Julai 1968.

Jubilei ya Miaka 50 ya Waraka wa "Humanae vitae" na changamoto zake!

27/03/2018 12:09

Mwenyeheri Paulo VI katika Waraka wake wa Kitume, "Humanae vitae" anatoa kwa muhtasari mpango wa Mungu katika maisha ya ndoa na familia; umuhimu wa kudumisha upendo wa dhati kati ya bwana na bibi na dhamana ya malezi na makuzi kwa watoto wao ambao ni zawadi kubwa kutoka kwa Mungu!