Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Injili

Mama Maria alisikia hata habari kutoka kwa wachungaji kuwa waliambiwa na malaika ya kwamba mtoto mchanga ni mwokozi

Mama Maria alisikia hata habari kutoka kwa wachungaji kuwa waliambiwa na malaika ya kwamba mtoto mchanga ni mwokozi

Papa:Mama wa Mungu ndiyo sifa muhimu ya Maria na Kanisa linathibitisha!

02/01/2018 08:47

Wakati wa misa Takatifu katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro tarehe 1 Januari 2018,Baba Mtakatifu Francisko ameanza mahubiri yake akisema,mwaka unafunguliwa na jina la Mama,Mama wa Mungu ndiyo sifa muhimu zaidi ya Mama:Na Kanisa linathibitisha kuwa ni Maria na Mama wa Mungu!

Papa anatafakari juu ya Roho wa hekima na maarifa, roho wa shauri na nguvu, roho wa ujuzi na ya kumcha Bwana.

Papa anatafakari juu ya Roho wa hekima na maarifa, roho wa shauri na nguvu, roho wa ujuzi na ya kumcha Bwana.

Papa:Tukubali unyenyekevu na kudhalilishwa ili kufanana na Yesu!

05/12/2017 15:59

Unyenyekevu ni kipawa muhimu cha maisha ya mkristo.Ni maneno ya msisitizo wa Baba Mtakatifu Francisko katika mahubiri yake,siku ya Jumanne 5 Desemba 2017 katika Kikanisa cha Mtakatifu Marta mjini Vatican.Kila mkristo ni kichupikizi kidogo mahali pa kutua Roho Mtakatifu wa Bwana 

Papa katika Katekesi yake amesema, Sala ni kukutana na Upendo wa Mungu kwa njia ya Neno, Mwili na damu ya Yesu Kristo

Papa katika Katekesi yake amesema, Sala ni kukutana na Upendo wa Mungu kwa njia ya Neno, Mwili na damu ya Yesu Kristo

Papa:Sala ni kukutana na Upendo wa Mungu kwa njia ya Neno,Mwili na Damu

15/11/2017 16:37

Tunaendelea na Katekesi juu ya MisaTakatifu. Ninapendelea kuanza na  mantiki rahisi ambayo inasaidia kuelewa uzuri wa maadhimisho ya Ekaristi.Misa ni sala,zaidi ya hayo ni sala kuu, iliyo ya juu zaidi katika ukuu wakea.Ni kukutana na upendo wa Mungu kwa njia ya Neno,Mwili na Damu ya Yesu.

Hakuna kusubiri wakati wa mwisho kujiandaa  katika maisha yetu ya kushirikiana na neema ya Mungu, ni lazima kuanza sasa hivi

Hakuna kusubiri wakati wa mwisho kujiandaa katika maisha yetu ya kushirikiana na neema ya Mungu, ni lazima kuanza sasa hivi

Papa:Imani na matendo ya Upendo ni misingi ya utayari wa kukutana na Mungu!

13/11/2017 10:49

Ili kuweza kuingia katika ufalme wa Mungu ni lazima kujitayarisha kukutana na Bwana. Haitoshelezi kuishi maisha ya imani tu iwapo hayaambatani na matendo ya upendo kwa jirani.Huo ni wito wa Baba Mtakatifu wakati wa mahubiri yake katika sala ya Malaika wa Bwana,Jumapili 12 Novemba 2017

Ekaristi ni moyo wa Kanisa, ni msingi kwa wakristo wote kutambua vema thamani na  maana ya Misa takatifu ili kuishi daima na ujazo kamili

Ekaristi ni moyo wa Kanisa, ni msingi kwa wakristo wote kutambua vema thamani na maana ya Misa takatifu ili kuishi daima na ujazo kamili

Papa ameanza Katekesi mpya kuhusu "Ekaristi" Moyo wa Kanisa!

08/11/2017 15:49

Baba Mtakatifu amesema kuwa,tunaanza leo hii mfululizo mpya wa Katekesi ambao utajikita juu ya mtazamo wa “moyo wa Kanisa” kwa maana ya Ekaristi.Ni msingi kwa wakristo wote kutambua vema thamani na maana ya Misa ili kuishi daima na ujazo kamili katika mahusiano yetu na Mungu.

Papa anawaalika waamini kutambua zawadi ya Mungu tunayopewa bure! Kukosa utambuzi huo ni kwenda mbali na Mungu

Papa anawaalika waamini kutambua zawadi ya Mungu tunayopewa bure! Kukosa utambuzi huo ni kwenda mbali na Mungu

Papa anawaalika waamini kutambua zawadi ya Mungu tunayopewa bure!

07/11/2017 16:12

Mahaubiri ya Baba Mtakatifu Francisko tarehe 7 Novemba 2017 katika Kikanisa cha Mtakatifu Marta Mjini Vatican, anatakari Injili ya Matayo kuhusu mwaliko kwenda katika karamu ya Bwana.Baba Mtakatifu anaalika kuwa usipoteze uwezo wa kujisikia kupenda na kupendwa maana utapoteza imani

Tunaalikwa wote kutokuwa na tabia za kiburi, bali kuwa watu wa kawaida na kujikita kwanza katika kumtafuta na kufuata Yesu.

Tunaalikwa wote kutokuwa na tabia za kiburi, bali kuwa watu wa kawaida na kujikita kwanza katika kumtafuta na kufuata Yesu.

Papa:Sisi sote ni ndugu hatuna haja ya kujiona bora zaidi ya wengine!

06/11/2017 10:31

Madaraka yoyote yakitumika vibaya yanaunda ukosefu wa uaminifu na kuleta  vizingiti, lakini mitume wa Yesu wanaalikwa kuwa makini na wasijiweke juu ya wengine kwa hali yoyote badala yake watoe huduma. Haya ni maonyo katika mahubiri ya Baba Mtakatifu wakati wa Sala ya Malaika wa Bwana

Papa Francisko ameadhimisha Misa Katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro kwa ajili ya Makardinali na Maaskofu Marehemu waliokufa mwaka huu

Papa Francisko ameadhimisha Misa Katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro kwa ajili ya Makardinali na Maaskofu Marehemu waliokufa kwa kipindi cha mwaka huu

Papa Francisko ameadhimisha Misa ya Makardinali na Maaskofu Marehemu

03/11/2017 14:48

Ijumaa tarehe 3 Novemba,Baba Mtakatifu Francisko ameadhimisha misa Takatifu kwa ajili ya kuwaombea marehemu makardinali na Maaskofu waliokufa kwa kipindi cha mwaka huu.Katika mahubiri yake anasema,kwa mara nyingine tena Liturujia ya siku inatualika na kukumbusha uhalisia wa kifo