Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Huruma ya Mungu ni muhtasari wa historia ya Wokovu

Yesu Kristo aliteswa  na kufa Msalabani ili kuwakomboa wanadamu kutoka katika lindi la dhambi na mauti!

Kristo Yesu aliteswa na kufa Msalabani ili kuwaokomboa watu kutoka katika lindi la dhambi na mauti.

Kwaresima ni kipindi cha mapambano dhidi ya dhambi na mauti!

10/03/2018 06:30

Kristo Yesu hana budi kuinuliwa ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika Yeye. Fumbo la Umwilisho linalopata utimilifu wake katika Fumbo la Pasaka linalenga kumkomboa mwanadamu kutoka katika lindi la dhambi na mauti! Kristo ni mpatanishi kati ya Mungu na binadamu na kati yao wenyewe!

Papa anawaalika waamini kutambua zawadi ya Mungu tunayopewa bure! Kukosa utambuzi huo ni kwenda mbali na Mungu

Papa anawaalika waamini kutambua zawadi ya Mungu tunayopewa bure! Kukosa utambuzi huo ni kwenda mbali na Mungu

Papa anawaalika waamini kutambua zawadi ya Mungu tunayopewa bure!

07/11/2017 16:12

Mahaubiri ya Baba Mtakatifu Francisko tarehe 7 Novemba 2017 katika Kikanisa cha Mtakatifu Marta Mjini Vatican, anatakari Injili ya Matayo kuhusu mwaliko kwenda katika karamu ya Bwana.Baba Mtakatifu anaalika kuwa usipoteze uwezo wa kujisikia kupenda na kupendwa maana utapoteza imani

 

Yesu Kristo ni kielelezo cha utii unaofumbatwa katika Fumbo la Umwilisho linalotimilika katika Fumbo la Pasaka: yaani: mateso, kifo na ufufuko  wake.

Yesu Kristo ni kielelezo cha utii unaofumbatwa katika Fumbo la Umwilisho linalopata utimilifu wake katika Fumbo la Pasaka, yaani mateso, kifo na ufufuko wake ili kumkomboa binadamu kutoka katika lindi la dhambi na mauti!

Utii wa kweli unafumbatwa katika: uhuru, upendo na matendo!

27/09/2017 13:54

Liturujia ya Neno la Mungu inatuwekea mbele ya macho yetu haki ya Mungu na hukumu zake; unyenyekevu wa Kristo Yesu katika Fumbo la Umwilisho linalopata utumilifu wake katika Fumbo la Pasaka, yaani: mateso, kifo na ufufuko wake. Waamini wanahimizwa kumwilisha maneno katika matendo mema!

Papa Francisko asema: huruma, msamaha na upatanisho ni kati ya mafundisho makuu ya Kristo Yesu kwa wafuasi wake.

Papa Francisko asema: huruma, msamaha na upatanisho ni kati ya mafundisho makuu ya Kristo Yesu kwa wafuasi wake.

Papa Francisko: huruma na msamaha ni mafundisho makuu ya Yesu

18/09/2017 10:09

Baba Mtakatifu Francisko anasema, huruma, msamaha na upatanisho ni kati ya mafundisho makuu ya Yesu yanayopatika kwa muhtasari katika Sala kuu ya Baba Yetu! Huu ni mwaliko kwa wale wote walionja huruma na upendo wa Mungu kuwa ni mashuhuda na vyombo vya huruma ya Mungu kwa jirani zao!

Mwanamke Mkananayo alikuwa na upendo na huruma kwa binti yake, akatambuauwepo, uwezo na nguvu ya Yesu ya kuponya magonjwa ya watu.

Mwanamke Mkananayo alikuwa na upendo na huruma kwa binti yake aliyepagawa na pepo; alikuwa na imani thabiti kwa uwepo, uweza na nguvu ya Yesu ya kuponya magonjwa ya binadamu na kuwakirimia wokovu.

Wokovu ni zawadi ya Mungu kwa binadamu wote inayopatikana kwa imani

19/08/2017 10:52

Mama Kanisa katika maadhimisho ya Liturujia ya Neno la Mungu, Jumapili ya XX ya Kipindi cha Mwaka A wa Kanisa anakazia umuhimu wa wokovu kama zawadi kubwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa ajili ya watu wote wanaoitafuta kwa imani na uaminifu kwa Amri na Sheria za Mungu.

Msaada unaoombwa na mwamini ni hatua ya kwanza ya huruma ya Mungu kwa waamini wake.

Msaada unaoombwa na mwamini ni hatua ya kwanza ya huruma ya Mungu anayekuwa kuwasaidia na kuwakomboa watu wake.

Iweni na huruma kama Baba Yenu wa Mbinguni

17/08/2017 15:49

Baba Mtakatifu Francisko anasema, katika huruma mwamini anapata uthibitisho wa jinsi gani ambavyo Mwenyezi Mungu anawapenda, kwa kujitoa bila ya kujibakiza wala kudai kitu chochote! Mwenyezi Mungu yuko tayari kuwaendea waja wake wanapomkimbilia katika shida na magumu ya maisha

 

Huruma ya Mungu ni muhtasari wa historia nzima ya wokovu!

Huruma ya Mungu ni muhtasari wa historia nzima ya wokovu!

Huruma ya Mungu inafumbata historia nzima ya wokovu!

21/07/2017 07:32

Liturujia ya Neno la Mungu, Jumapili ya XVI ina changamoto zake kuhusu: ngano safi inayoashiria utakatifu wa Kanisa kwa sababu limeanzishwa na Kristo na kutemezwa na Roho Mtakatifu; lakini kuna magugu pia, yaani watoto wa Kanisa wanaoogelea katika dhambi, lakini wanapewa nafasi ya kutubu!

Wanafunzi wa Yesu wanahamasishwa na Kristo mwenyewe kujifunza kutoka kwake, ili kweli waweze kuwa ni vyombo na mashuhuda wa Injili ya upendo na huruma

Wanafunzi wa Yesu wanahamasishwa kujifunza kutoka kwake, ili waweze kuwa kweli ni vyombo na mashuhuda wa Habari Njema ya Wokovu kati ya watu wa Mataifa.

Jifunzeni kwa makini kutoka kwa Yesu, ili muwe mashuhuda amini!

08/07/2017 17:03

Liturujia ya Neno la Mungu, Jumapili ya XIV ya Kipindi cha Mwaka A wa Kanisa ni mwaliko kwa waamini kumjifunza Kristo na kuchota fadhila na karama mbali mbali kutoka katika mafundisho, lakini zaidi ushuhuda wa maisha yake, ili wao pia waweze kuwa ni vyombo vya utangazaji na ushuhuda wa Injili!