Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Huruma ya Mungu

Papa Francisko anawaalika waamini kujipatanisha na Mungu ili kuonja uaminifu, huruma na upendo wake wa daima!

Papa Francisko anawaalika waamini kujipatanisha na Mungu ili kuonja uaminifu, huruma na upendo wake wa daima!

Jipatanisheni na Mungu ili kuonja huruma na upendo wake wa daima!

22/03/2018 14:20

Baba Mtakatifu Francisko anawaalika waamini pamoja na watu wenye mapenzi mema kujipatanisha na Mungu pamoja na jirani zao ili kuonja: uaminifu, huruma na upendo wa Mungu usiokuwa na kifani; upendo kama ule wa wazazi kwa watoto wao! Ufufuko wa wafu iwe ni chemchemi ya furaha yao!

Papa Francisko katika kipindi cha miaka mitano amekazia: Huruma ya Mungu, Maskini; Kutoka kwenda kuinjilisha, Pembezoni mwa Jamii na uwepo wa Ibilisi.

Papa Francisko katika kipindi cha miaka mitano ya maisha na utume wake kama Khalifa wa Mtakatifu Petro amekazia zaidi kuhusu: Huruma ya Mungu, Maskini kama amana na utajiri wa Kanisa, Umuhimu wa kutoka kwenda kuinjilishaji, Pembezoni mwa Jamii na uwepo wa Ibilisi, shetani!

Papa Francisko: Mkazo: Huruma, Maskini, Pembezoni, Kutoka & Ibilisi

14/03/2018 08:20

Baba Mtakatifu Francisko anapoadhimisha kumbu kumbu ya Miaka mitano tangu alipochaguliwa kuliongoza Kanisa Katoliki kama Khalifa wa Mtakatifu Petro amekazia zaidi kuhusu; huruma ya Mungu; Maskini kama amana na utajiri wa Kanisa; Ibilisi na Umuhimu wa kutoka na kwenda pembezoni mwa jamii.

Papa Francisko asema, wema na huruma ya Mungu haina mipaka kwa waja wake!

Papa Francisko asema, wema na huruma ya Mungu kwa waja wake hauna mipaka hata kidogo.

Papa Francisko: Upendo na huruma ya Mungu kwa binadamu haina mipaka!

12/03/2018 11:22

Baba Mtakatifu Francisko anawaalika waamini kujenga utamaduni wa kukimbilia daima kwenye huruma ya Mungu ili kuweza kujipatanisha na Mungu pamoja na jirani zao kwa kutambua kwamba, wema, huruma na msamaha wa Mungu kwa binadamu unavuka hata ubaya na wingi wa dhambi zao!

Wito wa Mathayo mtoza ushuru lilikuwa ni tukio la sherehe lililogeuzwa kuwa ni kashfa ya huruma ya Mungu!

Wito wa Mathayo mtoza ushuru lilikuwa ni tukio la furaha, toba na wongofu wa ndani, lakini likageuzwa na Mafarisayo kuwa ni kashfa ya huruma ya Mungu kwa binadamu!

Kashfa ya wema na huruma ya Mungu kwa Mathayo mtoza ushuru

21/09/2017 15:34

Baba Mtakatifu Francisko anasema, mkutano kati ya Kristo Yesu na Mathayo mtoza ushuru ulikuwa ni sababu ya furaha na sherehe kubwa kiasi cha kuleta toba na wongofu wa ndani kwa Mathayo mtoza ushuru! Mafarisayo wanageuza tukio hili kuwa ni kashfa ya wema na huruma ya Mungu kwa Mathayo.

Huruma ya Mungu ni muhtasari wa historia nzima ya wokovu!

Huruma ya Mungu ni muhtasari wa historia nzima ya wokovu!

Huruma ya Mungu inafumbata historia nzima ya wokovu!

21/07/2017 07:32

Liturujia ya Neno la Mungu, Jumapili ya XVI ina changamoto zake kuhusu: ngano safi inayoashiria utakatifu wa Kanisa kwa sababu limeanzishwa na Kristo na kutemezwa na Roho Mtakatifu; lakini kuna magugu pia, yaani watoto wa Kanisa wanaoogelea katika dhambi, lakini wanapewa nafasi ya kutubu!

Sherehe ya Moyo Mtakatifu wa Yesu imetengwa maalum kwa ajili ya kuombea Utakatifu wa Mapadre Duniani.

Sherehe ya Moyo Mtakatifu wa Yesu ni siku maalum iliyotengwa na Mama Kanisa kwa ajili ya kuombea Utakatifu wa Mapadre Duniani.

Sherehe ya Moyo Mtakatifu wa Yesu: Siku ya kutakatifuza Mapadre

22/06/2017 07:17

Moyo Mtakatifu wa Yesu ni chemchemi ya huruma, faraja na upendo wa Mungu kwa binadamu! Ni kisima cha neema, baraka na Sakramenti za Kanisa! Kwani Moyo Mtakatifu wa Yesu, uliotobolewa kwa mkuki, humo ilitoka damu na maji, alama ya Sakramenti ya Ubatizo na Ekaristi Takatifu.

Jumapili 23 Aprili 2017 Kanisa katoliki linasheherekea  Sikukuu ya Huruma ya Mungu,iliyo anzishwa na Mtakatifu Yohane Paulo II

Jumapili 23 Aprili 2017 Kanisa katoliki linasheherekea Sikukuu ya Huruma ya Mungu,iliyo anzishwa na Mtakatifu Yohane Paulo II

Huruma ya Mungu kuunganisha Mt. Yohane Paulo II na Papa Francisko

21/04/2017 13:24

Monsinyo Oder amesema,huwezi kufikiria huruma ya Mungu bila uwepo wa ufufuko wa Bwana,kwasababu ufufuko wa Bwana yaani Pasaka ya Bwana ndiyo utambulisho wa huruma ya Mungu,ndiyo ufunguo wa maisha,na maisha ya milele.Ni zawadi ya Mungu anayo itoa kwa binadamu kwa njia ya Kristo.

 

Yesu Kristo aliyeteswa, akafa na kufufuka kwa wafu ni jibu makini la fumbo la mateso na mahangaiko ya binadamu wa nyakati zote!

Yesu Kristo aliyeteswa, akafa na kufufuka kwa wafu ni jibu makini kwa fumbo la mateso na mahangaiko ya binadamu wa nyakati zote.

Kristo Mfufuka ni Jibu la fumbo la mahangaiko ya binadamu wote!

16/04/2017 16:06

Baba Mtakatifu Francisko anasema mwanadamu katika shida na mahangaiko yake anaendelea kuuliza maswali magumu juu ya fumbo la mateso na mahangaiko ya binadamu! Kanisa kwa ujasiri na moyo mkuu linatangaza, linashuhudia na kukiri kwamba, Kristo Mfufuka ni jibu makini kwa wote!