Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Huduma ya moyo watoto

Mwaka 2015 watoto 303,000 wamekufa na malaria katika maeneo ya Afrika chini ya jangwa la Sahara; pamoja na  matokeo mazuri ambayo yamepatikana

Mwaka 2015 watoto 303,000 wamekufa na malaria katika maeneo ya Afrika chini ya jangwa la Sahara; pamoja na matokeo mazuri ambayo yamepatikana tangu mwaka 2010.

25 Aprili ni Siku ya Malaria Duniani: Afrika inaongoza kwa vifo!

25/04/2017 15:46

Mwaka 2015 watoto 303,000 wamekufa na malaria katika maeneo ya Afrika chini ya jangwa la Sahara;pamoja na matokeo mazuri ambayo yamepatikana tangu mwaka 2010.Madaktari wa Cuamm wako mstari wa mbele katika kusaidia kutibu na kutoa kinga za wagonjwa walio ambukizwa na malaria

 

Luis Antoine Ormieres  atatangazwa  mwenyeheri huko Oviedo Hispania  tarehe 22 Aprile 2017.Padre mwenye huruma na upendo, mnyenyekevu na mpole

Luis Antoine Ormieres atatangazwa mwenyeheri huko Oviedo Hispania tarehe 22 Aprile 2017.Padre mwenye huruma na upendo, mnyenyekevu na mpole

Tarehe 22 Aprili 2017 Padre Luis Ormieres kutangazwa mwenyeheri!

21/04/2017 16:22

Padre Luis Antoine Ormieres alikuwa mwelewa na mwalimu wa kuzaliwa, amejaa karama za kikristo,imani,matumaini na upendo Alikuwa amejaa ubinadamu wa huruma na shukrani, mtulivu na rafiki.Kutokana na huruma ya Mungu ilimfanya kuwapenda walio wadogo,,wadhaifu, masikini,na wasio kuwa na hatia.

 

Baba Mtakatifu Francisko anasema, uhamiaji ni changamoto inayopaswa kuvaliwa njuga na wadau mbali mbali ili kuweza kupata ufanisi zaidi.

Baba Mtakatifu anasema, uhamiaji ni changamoto inayopaswa kuvaliwa njuga na wadau mbali mbali ili kupata ufanisi zaidi kwa kulinda, kutetea na kudumisha haki msingi za wakimbizi na wahamiaji.

Zinahitajika nguvu za pamoja kukabiliana na changamoto ya wahamiaji!

20/04/2017 16:58

 Askofu Mkuu B.Auza Mwakilishi wa Kudumu wa Vatican katika Umoja wa Mataifa amesema majibu zaidi ya kina yatokanayo na fursa za changamoto za uhamiaji,inawezekana kukabiliana nazo iwapo jumuiya ya kimataifa itafanya kazi pamoja kuanzi mahitaji msingi ya wahamiaji pande zote mbili.

 

Baba Mtakatifu Francisko ametuma Ujumbe wake kwa Shirika la Ndugu Marists kutokana na kuadhimisha Jubileo ya Miaka 200 tangu kuanzishwa kwa Shiri

Baba Mtakatifu Francisko ametuma Ujumbe wake kwa Shirika la Ndugu Marists kutokana na kuwadhimisha Jubileo ya Miaka 200 tangu kuanzishwa kwa Shirika hilo

Ongozweni na unyenyekevu, ukimya na mifano bora ya maisha!

20/04/2017 16:55

Mama Maria ndiye anasindikiza lengo hili,kwa karibu atazidisha miito ili kuchangia kuunda ubinadamu mpya kutoka kwa walio athirika,walio baguliwa na kukosa upendo.Huu ndiyo wakati endelevu tunao uota ndoto na wala siyo udanganyifu;Ujenzi huo uanze lei hii kusema ndiyo mapenzi yako Mungu yatimie

 

Umoja wa nchi za Ulaya mwezi ujao watafungua mpango wa Zaanati katika miji wa Tripoli , Bengazi, Zliten na Gharan.

Umoja wa nchi za Ulaya mwezi ujao watafungua mpango wa Zaanati katika miji wa Tripoli , Bengazi, Zliten na Gharan.Hii ni sehemu mojawapo ya mpango mkubwa inao tazamiwa kuwekeza karibia milioni 10 za dola za kimarekani.

Umoja wa nchi za Ulaya kusaidia nchi ya Libya katika Afya na Elimu!

11/04/2017 15:44

Umoja wa nchi za Ulaya (UE) mwezi ujao watafungua mpango wa Zahanati katika miji ya Tripoli,Bengazi,Zliten na Gharan.Hii ni sehemu mojawapo ya mpango mkubwa unaotazamiwa kuwekeza karibia milioni 10 za dola za kimerekani.Milioni 6 za dola ya kimarekani zitafanya ukarabati wa vyuo vikuu.

 

 

Kiasi cha watoto 652 waliuawa katika mapigano nchini Syria mwaka 2016 ikiwa ni idadi kubwa zaidi kuwahi kushuhudiwa na shirika hilo tangu kufuatilia

Kiasi cha watoto 652 waliuawa katika mapigano nchini Syria mwaka 2016 ikiwa ni idadi kubwa zaidi kuwahi kushuhudiwa na shirika hilo tangu lilipoanza kufuatilia mauaji

UNICEF: 2016 ni mwaka wa mauaji makubwa ya watoto nchini Syria

14/03/2017 15:39

Ripoti iliyotolewa na UNICEF inaonesha kuwa maeneo ya shule,hospitali,viwanja vya michezo na maeneo mengine ambayo hutumiwa na watoto yanazidi kutokuwa salama kutokana na kulengwa zaidi na mashambulizi ambapo kiasi cha watoto 255 waliuawa katika maeneo ya shule au jirani mwaka 2016.