Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Hospitali ya Mtakatifu Gaspari, Itigi, Manyoni

Papa Francisko anayashukuru Mashirika ya Kitawa na Kazi za Kitume yanayoendelea kutoa huduma ya tafiti, tiba na kinga kwa wagonjwa duniani.

Papa Francisko anayashukuru Mashirika ya Kitawa na Kazi za kitume kwa huduma ya utafiti, tiba na kinga kwa wagonjwa sehemu mbali mbali za dunia.

Hospitali ya Mtakatifu Gaspar, Itigi, chombo cha huduma kwa wagonjwa

10/02/2018 09:11

Baba Mtakatifu Francisko anayapongeza Mashirika ya Kitawa na Kazi za kitume kwa kuendeleza huduma na utume wa uponyaji uliotekelezwa na Kristo Yesu katika maisha yake. Anayataka Mashirika haya kuendelea kupyaisha huduma hii, kwa kuzingatia haki msingi za binadamu, utu na heshima ya wagonjwa!

Wito na maisha ya kipadre yamehifadhiwa katika chombo cha udongo!

Wito na maisha ya kipadre yamehifadhiwa kwenye chombo cha udongo!

Alessandro Manzi, C.PP.S apewa Daraja Takatifu ya Upadre!

24/07/2017 10:53

Mapadre katika maisha na utume wao, wanaendelea kuulizwa swali la msingi na Kristo Yesu ikiwa kama wanampenda Kristo katika Sala, Neno la Mungu, Sakramenti za Kanisa na Mafundisho Tanzu sanjari na sadaka ya maisha inayotolewa kwa ajili ya wokovu wa watu wa Mungu!

 

Mhandisi Alessandro Manzi, mjenzi wa Hospitali ya Mt. Gaspari Itigi na Mratibu wa Radio Maria Afrika apewa Daraja Takatifu ya Upadre.

Mhandisi Alessandro Manzi, mjenzi wa hospitali ya Mt. Gaspari, Itigi, Singida, Tanzania na mratibu wa Radio Maria Afrika apewa Daraja Takatifu ya Upadre.

Mhandisi aliyejenga Hospitali ya Itigi, kupewa Daraja ya Upadre!

21/07/2017 16:07

Alessandro Manzi si mgeni sana machoni pa familia ya Mungu Afrika Mashariki. Ni mhandisi aliyejisadaka kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Mtakatifu Gaspar, Itigi, Manyoni, Singida, Tanzania akawa mratibu wa Radio Maria Afrika, sasa anapewa Daraja Takatifu ya Upadre, tarehe 22 Julai 2017. Yaani!