Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Hispania

Papa Francisko ametuma Barua ya kumshukuru mwandishi wa Kitabu cha Mambo 10 ya Papa kuhusu wanawake

Papa Francisko ametuma Barua ya kumshukuru mwandishi wa Kitabu cha Mambo 10 ya Papa kuhusu wanawake

Barua ya Papa kwa Mwandishi wa Kitabu juu ya mambo 10 kuhusu wanawake!

02/03/2018 16:27

Baba Mtakatifu Francisko ametuma barua kwa Maria Teresa Compte Grau wa Hispiania,mwandishi wa kitabu “ Diez cosas que el papa Francisco propone a las mujeres,maana yake mambo kumi anayopendekezwa na Papa Francisko kwa wanawake.Anamshukuru kwa uchaguzi wa mada hiyo nyeti!

 

 

Papa Francisko akisalimiana na vijana walioudhuria Siku ya sala na uhamasishaji kimataifa kuhusu biashara haramu ya watumwa

Papa Francisko akisalimiana na vijana walioudhuria Siku ya sala na uhamasishaji kimataifa kuhusu biashara haramu ya watumwa

Papa Francisko:inahitaji ujasiri kufichua wanafiki wa biashara ya watumwa!

13/02/2018 15:44

Papa Francisko amebadilishana mawazo na baadhi ya washiriki wa Mkutano ya Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Biashara haramu ya binadamu na utumwa mamboleo. Amejibu maswali mengi kuhusu: unyanyasaji kijinsia, uonevu, shule za picha za ngono katika mitandao,kifolaini na sintofahamu!

 

Papa Francisko akiwa njiani kurejea mjini Vatican ametuma salam na matashi mema kwa viongozi wakuu wa nchi na serikali alimopitia.

Papa Francisko akiwa njiani kurejea mjini Vatican baada ya kuhitimisha hija yake ya kitume huko Amerika ya kusini, Jumatatu tarehe 22 Januari 2018 amewatumia wakuu wa serikali na nchi salam na matashi mema.

Papa Francisko atuma salam na matashi mema kwa wakuu wa nchi

23/01/2018 13:54

Baba Mtakatifu Francisko akiwa njiani kurejea tena mjini Vatican mara baada ya kuhitimisha hija yake ya kitume, amewatumua ujumbe wa amani na matashi mema wakuu mbali mbali wa nchi ambamo amepitia wakati akirejea kutoka huko Amerika ya Kusini ambako ameshuhudia imani katika matendo!

Viongozi kutoka Ujermani, Ufaransa,Italia, Uhispania,Chad,Niger na Libia wamekutana mjini Paris 28Agosti 2017

Viongozi kutoka Ujermani, Ufaransa,Italia, Uhispania,Chad,Niger na Libia wamekutana mjini Paris 28Agosti 2017

Umoja wa nchi za Ulaya kushirikiana na Afrika kupambana na uhamiaji

29/08/2017 10:59

Tarehe 28 Agosti 2017 mjin Paris Ufaransa kumefanyika Mkutano kati ya viongozi wa Ufaransa,Ujermani,Italia,Hispania,Libia,Chad,Niger na viongozi wengine wawakilishi wa Umoja wa Ulaya katika sera za siasa za nje ya nchi.Wameafikiana kushirikishana katika mapambano ya biashara haramu na ugaidi