Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Hija ya Kitume ya Papa Francisko nchini Perù 2018

Papa Francisko anaitaka familia ya Mungu nchini Chile kujenga na kudumisha umoja wa matumaini unaofumbata maisha ya vijana na watakatifu wa Amerika.

Papa Francisko anaitaka familia ya Mungu nchini Perù kujenga na kudumisha umoja wa matumaini unaofumbata maisha ya vijana na kushuhudiwa na watakatifu wa Amerika ya Kusini.

Umoja wa matumaini udumishe haki, mshikamano na utunzaji wa mazingira

20/01/2018 12:20

Baba Mtakatifu Francisko anawataka viongozi nchini Perù kuhakikisha kwamba, wanakuza na kudumisha umoja wa matumaini ili kutunza mazingira; kupigania haki msingi za binadamu; kujenga mshikamano katika kukabiliana na majanga na kwamba, vijana ni cheche za matumaini nchini Perù.

Papa: Watoto wanahitaji mashuhuda wa Injili ya matumaini ili kupambana na uharibifu mkubwa kwa mazingira nyumba ya wote!

Watoto wanahitaji mashuhuda wa Injili ya matumaini dhidi ya uharibifu wa mazingira nyumba ya wote!

Papa Francisko: Watoto wanahitaji mashuhuda wa Injili ya matumaini

20/01/2018 11:54

Baba Mtakatifu Francisko anawataka wazazi, walezi na wadau mbali mbali wanaojisadaka kwa ajili ya huduma makini kwa watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu na hatarishi kuhakikisha kuwa, wanawezekeza zaidi katika sekta ya elimu itakayowasaidia kuheshimu mazingira, mila na desturi njema.

Papa Francisko anaitaka Perù kujizatiti kikamilifu kupambana na biashara haramu ya binadamu na utumwa mamboleo!

Papa Francisko anaitaka Perù kujizatiti kupambana na biashara haramu ya binadamu na utumwa mamboleo, unaodhalilisha utu, heshima na haki msingi za binadamu!

Papa Francisko: Perù inapaswa kujizatiti kupambana na utumwa mamboleo

20/01/2018 11:29

Baba Mtakatifu anasema, biashara ya binadamu na utumwa mamboleo ni mambo yanayofumbatwa katika kazi za suluba, biashara ya ngono mambo yanayowatajirisha wajanja wachache katika jamii lakini madhara yake ni makubwa katika: utu, heshima na haki msingi za binadamu! Hatari kubwa!

Papa Francisko asema, ukoloni mamboleo unaofumbatwa katika nguvu ya kiuchumi unatishia usalama, maisha, ustawi na maendeleo ya Amazonia.

Papa Francisko asema, ukoloni mamboleo unaofumbatwa katika nguvu ya kiuchumi unatishia ustawi, maisha na maendeleo ya Amazonia.

Papa: Ukoloni mamboleo unatishia usalama, maisha na ustawi wa Amazonia

19/01/2018 17:00

Baba Mtakatifu Francisko anasikitika kusema kwamba, ukolini mamboleo unaojikita katika nguvu ya kiuchumi: kwa uchimbaji wa mafuta na gesi asilia; kilimo cha mashamba makubwa ili kukidhi mahitaji ya mali ghafi ya viwanda; ni mambo yanayotishia usalama, maisha, ustawi na maendeleo ya Amazonia.

Papa Francisko ni shuhuda na mtangazaji wa Injili ya furaha na matumaini kati ya watu wa Mataifa!

Papa Francisko ni shuhuda na mtangazaji wa Injili ya furaha na matumaini kati ya watu wa Mataifa!

Papa Francisko ni shuhuda wa Injili ya furaha kati ya watu wa Mungu!

19/01/2018 15:36

Baba Mtakatifu ni shuhuda na mtangazaji wa Injili ya matumaini kwa watu waliokata tamaa, ili hata katika shida na mahangaiko yao, waweze kuonja tena uwepo wa Mungu kati yao. Perù ni nchi ambayo imebahatika kuwa na idadi kubwa ya watakatifu huko Amerika ya Kusini, lakini ina changamoto zake!

Papa Francisko amewasili tayari nchini Perù kwa ajili ya hija yake ya kitume inayoongozwa na kauli mbiu "Umoja wa Matumaini"

Papa Francisko amewasili tayari mjini Lima, nchini Perù tayari kuanza hija yake ya kitume inayoongozwa na kauli mbiu "Umoja wa matumaini".

Papa Francisko tayari "ametinga timu" nchini Perù kwa kishindo!

19/01/2018 15:16

Baba Mtakatifu Francisko amewasili nchini Perù, Alhamisi tarehe 18 Januari 2018 tayari kuanza hija yake ya kitume inayoongozwa na kauli mbiu "Umoja wa Matumaini". Akiwa njiani kuelekea Jimbo kuu la Lima, Perù, ameishukuru familia ya Mungu nchini Chile kwa mapokezi makubwa waliyompatia!

Papa Francisko anawaalika wananchi wa Perù kupambana na changamoto za maisha katika mwanga wa Injili ya matumaini!

Papa Francisko anawaalika wananchi wa Perù kupambana na changamoto za maisha katika mwanga wa Injili ya matumaini!

Mwanga wa Injili ya matumaini katika kukabiliana na changamoto Perù

16/01/2018 08:50

Familia ya Mungu nchini Perù inakabiliana na changamoto mbali mbali katika maisha na utume wa Kanisa, changamoto na matatizo yanayohitaji kupatiwa ufumbuzi kwa njia ya mwanga wa Injili ya matumaini inayojikita katika haki msingi za binadamu, utu, heshima, ustawi na mafao ya wengi nchini humo!

Papa Francisko ameitisha Sinodi ya Maaskofu wa Amazzonia kwa Mwaka 2019.

Papa Francisko ameitisha Sinodi ya Maaskofu wa Amazzonia kwa Mwaka 2019.

Ratiba elekezi ya hija ya kitume ya Papa Francisko nchini Perù, 2018

15/01/2018 13:43

Baba Mtakatifu akiwa nchini Perù anataka kuwatangazia watu Injili ya matumaini inayofumbatwa katika haki msingi za binadamu, utu na heshima ya binadamu aliyeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu sanjari na utunzaji bora wa mazingira nyumba ya wote, changamoto endelevu!