Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Hija ya Kitume ya Papa Francisko Myanmar 2017

Katekesi ya Baba Mtakatifu ameelezea juu ya ziara yake nchini Myanmar na Bangladesh ambapo anasema, ni ujenzi wa undugu na si silaha

Katekesi ya Baba Mtakatifu ameelezea juu ya ziara yake nchini Myanmar na Bangladesh ambapo anasema,Wakati endelvu wa bara la Asia si kwa wale watengenezao silaha bali wajenzi wa undugu!

Papa:Wakati ujao wa bara la Asia si kwa watengenezao silaha bali undugu!

06/12/2017 15:49

Imekuwa ni zawadi kubwa kutoka kwa Mungu hivyo ninamshukuru kwa kila jambo,kwa namna ya pekee ya mikutano niliyofanya huko.Ninarudia kutoa shukrani za dhati kwa viongozi wa nchi zote mbili.Ni katika Katekesi ya Baba Mtakatifu Francisko tarehe 6 Desemba akisimulia juu ya ziara ya kitume

 

 

Misa ya Vijana huko Yangon nchini Myanmar ilipambwa  kwa rangi nyingi za utamaduni na pia mavazi yao

Nikiwatazama ninyi vijana wa nanyi tafakari la Somo la kwanza linalojikita ndani ya Moyo wangu.

Papa:Vijana wa Myanmar wako tayari kupeleka habari njema ya Kristo!

30/11/2017 11:49

Misa ya Baba Mtakatifu Francisko kwa Vijana katika Kanisa Kuu Yangon, kabla ya kuanza ziara ya kwenda nchini Bangladesh anasema:Nikiwa nakaribia kumaliza ziara yangu,ninaungana nanyi kumshukuru Mungu kwa neema nyingi tulizo pokea kwa siku hizi.Vijana msiwe na hofu ya kushudia Kristo

 

Katika hotuba yake rasmi kwa nchi ya Myanmara, Papa amesisitiza juu ya amani ya nchi katika utofauti

Katika hotuba yake rasmi kwa nchi ya Myanmar, Papa amesisitiza juu ya amani ya nchi katika utofauti

Papa:Utofauti wa dini usiwe chanzo cha migogoro, ni nguvu ya umoja wa nchi!

28/11/2017 16:10

Katika hotuba rasmi ya Baba Mtakatifu Francisko nchini Myanmar amesema:Utofauti wa dini usiwe ni sababu na vyanzo vya migawanyiko au kutoaminiana,badala yake iwe ni nguvu kwa ajili ya umoja,msamaha,kuvumiliana na heshima kwa ajili ya ujenzi wa amani endelevu ya nchi

 

 

Papa na viongozi wa madhehebu ya kidini Myanmar amezungumza nao juu ya Umoja katika Tofauti

Papa na viongozi wa madhehebu ya kidini Myanmar amezungumza nao juu ya Umoja katika Tofauti

Papa na viongozi wa madhehebu ya kidini Myanmar:umoja katika utofauti!

28/11/2017 11:20

Baba Mtakatifu amezungumza kwa lugha ya kihispania kwa viongozi wa madhehebu ya kidini nchini Myanmar tarehe 28 Novemba 2017.Katika mazungumzo bila maandiko,amesisitizia juu ya umoja katika utofauti, kwa maana asili ya nchi ya Myanmar ni yenye utajiri mkubwa wa utofauti,wasiwe na hofu!

 

 

Tarehe 27 Novemba Papa amewasili nchini Myanmar na kupokelewa kwa shangwe kubwa !

Tarehe 27 Novemba Papa amewasili nchini Myanmar na kupokelewa kwa shangwe kubwa !

Papa amewasili nchini Myanmar na kupokelewa kwa shangwe kubwa!

27/11/2017 09:49

Baba Mtakatifu ametua uwanja wa Kimataifa wa ndege Yangon nchini Myanmar kabla ya saa mbili asubuhi masaa ya Ulaya tarehe 27 Novemba 2017,wakati nchini myanmar  ilikuwa ni saa 7.22 mchana.Hivyo hiyo ndiyo ziara yake ya 21 ya Kitume ambayo pia ataendelea nayo katika nchi ya Bangladesh.

 

Sekta ya uvuvi ina mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi na maendeleo ya binadamu, lakini inakabiliwa na changamoto nyingi.

Sekta ya uvuvi ina mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi na maendeleo endelevu ya binadamu, lakini pia inakabiliwa na changamoto nyingi.

Utume wa Bahari: Uvuvi unao wajibisha na kudumisha utu wa binadamu!

05/10/2017 07:19

Mkutano mkuu wa XXIV wa Utume wa Bahari Kimataifa ni jukwaa ambalo limewakutanisha wadau mbali mbali katika sekta ya uvuvi, ustawi na maendeleo endelevu ya binadamu ili kupembua kwa kina na mapana dhamana, nafasi na changamoto zinazojitokeza katika sekta ya uvuvi baharini!

Amani na usalama wa Jumuiya ya Kimataifa, wakimbizi na wahamiaji na hatima ya Wakristo Mashariki ya Kati ni changamoto za kimataifa!

Amani na usalama wa Jumuiya ya Kimataifa; wakimbizi na wahamiaji pamoja na hatima ya Wakristo huko Mashariki ya Kati ni kati ya changamoto za Jumuiya ya Kimataifa.

Askofu mkuu Gallagher: Changamoto za Jumuiya ya Kimataifa: Usalama!

18/09/2017 09:21

Askofu mkuu Paul Richard Gallagher anasema, Jumuiya ya Kimataifa kwa sasa inakabiliwa na wasi wasi mkubwa wa kutoweka kwa amani kutokana na vitisho vya kijeshi na majaribio ya makombora ya masafa marefu linalofanywa na Korea ya Kaskazini; wakimbizi na hatima ya Wakristo huko Mashariki ya Kati

Papa Francisko anatembelea Myanmar na Bangaladesha kuanzia tarehe 27 Nov. hadi tarehe 2 Desemba 2017.

Papa Francisko anatembelea Myanmar na Bangaladesh kuanzia tarehe 27 Novemba hadi tarehe 2 Desemba 2017.

Papa Francisko kutembelea Myanmar na Bangaladesh 27 Nov -2 Des. 2017

28/08/2017 14:03

Baba Mtakatifu Francisko anatarajiwa kufanya hija ya kitume nchini Myanmar na Bangaladesh kuanzia tarehe 27 Novemba hadi tarehe 2 Desemba 2017. Anatembelea nchini Myanmar kama mjumbe wa upendo na amani; nchini Bangaladesha kama mjumbe wa utulivu na amani duniani!