Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Hija ya Kitume ya Papa Francisko Bangaladesh 2017

Baraza la Maaskofu Katoliki Bangladesh limekutana na kuzungumza na Papa Francisko na waandamizi wake wakati wa hija ya kitume mjini Vatican.

Baraza la Maaskofu Katoliki Bangladesh limekutana na kuzungumza na Papa Francisko pamoja na waandamizi wake kama sehemu ya hija ya kitume inayofanywa na Maaskofu walau kila baada ya miaka mitano.

Changamoto za maisha na utume wa Kanisa Katoliki nchini Bangladesh

29/05/2018 07:38

Baraza la Maaskofu Katoliki Bangladesh linamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kulijalia idadi kubwa ya miito ya kipadre na kitawa, licha ya kuwa na idadi ndogo sana ya waamini wa Kanisa Katoliki. Caritas Bangladesha kimekuwa ni chombo kikuu cha huduma ya huruma na upendo kwa watu wote pasi na ubaguzi!

Ni matumaini ya Baba Mtakatifu Francisko kwamba, changamoto ya wakimbizi na wahamiaji wa Rohingya itapewa ufumbuzi wa haki na dumifu!

Ni matumaini ya Baba Mtakatifu Francisko kwamba changamoto ya wakimbizi na wahamiaji wa Rohingya itapewa ufumbuzi wa haki na dumifu.

Changamoto ya wakimbizi wa Rohingya ipate suluhu ya haki na dumifu!

13/02/2018 08:11

Ni matumaini ya Baba Mtakatifu Francisko kwamba, changamoto kubwa ya wakimbizi na wahamiaji wa Rohingya itaweza kupatia ufumbuzi wa haki na dumifu na wadau mbali mbali, ili kulinda na kudumisha utu na heshima ya watu hawa wanaoteseka sana! Shukrani kwa Serikali ya Bangladesh kwa huduma!

Katika Mkutano wa viongzoi wa kidini, Baba Mtakatifu amekazia juu ya kushikiana na kusaidiana katika ujenzi wa dunia ya kibindamu

Katika Mkutano wa viongzoi wa kidini, Baba Mtakatifu amekazia juu ya kushikiana na kusaidiana katika ujenzi wa dunia ya kibindamu

Papa ameshiriki Mkutano wa Madhehebu ya kidini na Kiekumene kwa ajili ya amani!

01/12/2017 17:00

Mchana wa tarehe 1 Desemba 2017 Baba Mtakatifu amekutana na viongozi wa madhehebu ya kidini kwa ajili ya amani katika makao makuu ya Askofu wa Dhaka nchini Bangladesh.Katika hotuba yake,anawashukuru viongozi wa madhehebu ya kidini kwa juhudi za kuhamasisha amani ya kudumu

 

 

Baba Mtakatifu amekutana na viongzi wa nchi ya Bangladesh ambapo amewaomba kutatua masuala ya wakimbizi

Baba Mtakatifu amekutana na viongzi wa nchi ya Bangladesh ambapo amewaomba kutatua masuala ya wakimbizi

Papa katika nchi ya Bangladesh:Ni muhimu kutatua masuala ya wakimbizi!

01/12/2017 08:54

Katika hotuba rasmi ya kwanza ya Baba Mtakatifu Francisko alipofika  katika nchi ya Bangladesh tarehe 30 Novemba 2017.Mawazo yake yamehusu wimbi la wakimbizi nchini Bangladesh wanaotoka katika Serikali ya Rakhine na Myanmar Mashariki.Wito wake ni kutatua masuala ya kisiasa kwa wakimbizi

 

 

Baba Mtakatifu amefika Bangladesh na kupkelwa na Rais wa nchi Bwana Abdul Hamid na baadhi ya viongozi  wa nchi na maaskofu wa Bangladesh.

Baba Mtakatifu amefika Bangladesh na kupkelwa na Rais wa nchi Bwana Abdul Hamid na baadhi ya viongozi wa nchi na maaskofu wa Bangladesh.

Baba Mtakatifu amefika nchini Bangladesh na kupokelewa na Rais wa nchi!

30/11/2017 12:20

Baba Mtakatifu Francisko amefika nchini Bangladesha ikiwa ni hatua ya pili ya ziara yake ya kitume barani Asia.Safari yake imeanza saa moja na dk.55 asubuhi masaa ya Ulaya.Amefika Bangladesh kabla ya saa nne katika Uwanja wa kimataifa wa Dhaka.Amepokelewa na Rais na Maaskofu

 

 

Amani na usalama wa Jumuiya ya Kimataifa, wakimbizi na wahamiaji na hatima ya Wakristo Mashariki ya Kati ni changamoto za kimataifa!

Amani na usalama wa Jumuiya ya Kimataifa; wakimbizi na wahamiaji pamoja na hatima ya Wakristo huko Mashariki ya Kati ni kati ya changamoto za Jumuiya ya Kimataifa.

Askofu mkuu Gallagher: Changamoto za Jumuiya ya Kimataifa: Usalama!

18/09/2017 09:21

Askofu mkuu Paul Richard Gallagher anasema, Jumuiya ya Kimataifa kwa sasa inakabiliwa na wasi wasi mkubwa wa kutoweka kwa amani kutokana na vitisho vya kijeshi na majaribio ya makombora ya masafa marefu linalofanywa na Korea ya Kaskazini; wakimbizi na hatima ya Wakristo huko Mashariki ya Kati

Papa Francisko anatembelea Myanmar na Bangaladesha kuanzia tarehe 27 Nov. hadi tarehe 2 Desemba 2017.

Papa Francisko anatembelea Myanmar na Bangaladesh kuanzia tarehe 27 Novemba hadi tarehe 2 Desemba 2017.

Papa Francisko kutembelea Myanmar na Bangaladesh 27 Nov -2 Des. 2017

28/08/2017 14:03

Baba Mtakatifu Francisko anatarajiwa kufanya hija ya kitume nchini Myanmar na Bangaladesh kuanzia tarehe 27 Novemba hadi tarehe 2 Desemba 2017. Anatembelea nchini Myanmar kama mjumbe wa upendo na amani; nchini Bangaladesha kama mjumbe wa utulivu na amani duniani!