Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Hekima ya Mungu

Mwenyezi Mungu anatumia watu, mazingira na historia kufikisha ujumbe wa Habari Njema kwa waja wake!

Mwenyezi Mungu anatumia watu, mazingira na historia ili kuweza kufikisha ujumbe wa habari Njema kwa waja wake.

Tafakari ya Neno la Mungu: Ujumbe wa Mungu si rahisi sana kupokelewa!

07/07/2018 07:26

Tafakari ya Neno la Mungu, Jumapili XIV ya Kipindi cha Mwaka B wa Kanisa inaonesha jinsi ambavyo ni vigumu sana kupokea Habari Njema ya Wokovu, lakini Mwenyezi Mungu anatumia watu, historia na matukio mbali mbali katika maisha ya mwanadamu ili kufikisha ujumbe wake kwa binadamu!

Kristo Yesu ni kielelezo cha hekima, nguvu na uweza wa Mungu wa kumwongoa mwanadamu kutoka katika lindi la dhambi na mauti!

Kristo Yesu ni kielelezo cha hekima, nguvu na uweza wa Mungu wa kumwongoa mwanadamu kutoka katika lindi la dhambi na mauti!

Tafakari ya Neno la Mungu: Hekima ya Mungu iwe dira na mwongozo wetu!

06/07/2018 07:07

Mungu Baba Mwenyezi amefunua uweza wake wote kwa namna ya ajabu sana kwa kujinyenyekesha kwa hiari na kwa Ufufuko wa Mwanawe, ambao kwa huo alishinda ubaya. Hivyo Kristo Msulubiwa ni nguvu na hekima ya Mungu. Kwa njia ya Fumbo la Pasaka, Mungu ameonesha nguvu na uweza wake!

Papa Francisko urithi na amana kutoka kwa Padre Pio: Sala, Unyenyekevu na Hekima ya maisha!

Papa Francisko urithi na amana kutoka kwa Padre Pio ni: Maisha ya sala, unyenyekevu na hekima katika maisha inayofumbata Fumbo la Msalaba.

Papa Francisko urithi wa Padre Pio: Sala, unyenyekevu na hekima!

19/03/2018 10:09

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Kanisa linapofanya kumbu kumbu ya miaka hamsini tangu alipofariki dunia Padre Pio wa Pietrelcina na miaka mia moja tangu alipopata Madonda Matakatifu, urithi na amana yake kwa Kanisa ni: maisha ya sala, unyenyekevu na hekima katika maisha ya kawaida!

Vijana wajifunze hekima kutoka Mungu na katika urithi wa babu na wazazi wao!

Vijana wajifunze hekima kutoka Mungu na katika urithi wa babu na wazazi wao!

Papa:Vijana wajifunze hekima kutoka kwa Mungu na urithi wa babu na wazazi wao!

02/12/2017 17:09

Kama ilivyokuwa nchini Myanmar hata ziara nchini Bangladesh imemalizika na mkutano kati ya vijana na Baba Mtakatifu.Mbele ya Baba Mtakatifu Vijana wamecheza ngoma za utamaduni wao:nyimbo nzuri wakionesha furaha.Kwa vijana elfu 7 amewaomba wawe na hekima ya kurithi babu na wazazi wao!

 

Baba Mtakatifu amekutana mjini Vaticana na wajumbe kutoka Chuo Kikuu Tel Aviv

Baba Mtakatifu amekutana mjini Vaticana na wajumbe kutoka Chuo Kikuu Tel Aviv

Papa: Sayansi na Hekima lazima kutembea pamoja katika tafiti na ufundi

23/10/2017 17:00

Baba Mtakatifu tarehe 23 Oktoba amekutana na kuzungumza na wajumbe kutoka Chuo Kikuu cha Tel Aviv. Amewapongeza katika jitihada zao za mafunzo kwa vizazi vipya, ambao wanawakilisha jamii ya sasa na ile endelevu. Shughuli za kufundisha pamoja na ugumu wake bado ni muhimu sana

 

Kristo Yesu na Ufalme wa Mungu ndizo hazina zilizofichika zinazohitaji uwekezaji na wa hali ya juu, hekima na busara kuweza kuzipata.

Kristo Yesu na Ufalme wa Mungu ndizo hazina zilizofichika zinazohitaji uwekezaji wa hali ya juu kuweza kuzipata kwa kutumia hekima na busara kufanya maamuzi mazito.

Hazina iliyofichika ni: Ufalme wa Mungu na Kristo Yesu!

29/07/2017 09:36

Liturujia ya Neno la Mungu, Jumapili ya XVII ya Kipindi cha Mwaka A wa Kanisa kwa ufupi inatujuza kwamba, hazina iliyofichika inayopaswa kutolewa maamuzi mazito, makini na yenye busara kiasi cha kujisadaka ni Ufalme wa Mungu na Kristo Yesu aliyeufunua kwa njia ya ushuhuda wa maisha!

Hazina na lulu iliyofichika ni Ufalme wa Mungu unaofumbata hekima ya Mungu!

Hazina na lulu iliyofichika ni Ufalme wa Mungu unaofumbata hekima ya Mungu inayomsaidia mwanadamu kufikiri na kutenda!

Jitahidini kutafuta hazina na lulu iliyofichika: Ufalme wa Mungu!

26/07/2017 16:41

Tafakari ya Neno la Mungu, Jumapili ya XVII ya Kipindi cha Mwaka A wa Kanisa inatoa nafasi kwa waamini kutafakari juu ya umuhimu wa kujibidisha kutafuta hazina iliyofichika, yaani Ufalme wa Mungu unaofumbata hekima ya Mungu inayowapatia bima ya maisha ya uzima wa milele! Hapa iko kazi kweli kweli!

 

Kristo Yesu ni hekima na hazina iliyofika, dira na mwongozo wa maisha katika kufikiri na kutenda

Kristo Yesu ni hekima ya Mungu iliyomwilishwa na hazina iliyofichika, dira na mwongozo katika kufikiri na kutenda!

Hekima ya Mungu ni dira na mwongozo katika kufikiri na kutenda mema!

26/07/2017 16:03

Liturujia ya Neno la Mungu, Jumapili ya XVII ya Mwaka A wa Kanisa inatoa mwaliko kwa waamini kuitafuta na kuiambata hekima ya Mungu ili iweze kuwasaidia kufikiri na kutenda vyema. Hekima iliyofichika inayopaswa kutafutwa kwa udi na uvumba ni Kristo Yesu, Mwana wa Mungu aliye hai!