Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Hekalu la Roho Mtakatifu

Papa anatafakari juu ya Roho wa hekima na maarifa, roho wa shauri na nguvu, roho wa ujuzi na ya kumcha Bwana.

Papa anatafakari juu ya Roho wa hekima na maarifa, roho wa shauri na nguvu, roho wa ujuzi na ya kumcha Bwana.

Papa:Tukubali unyenyekevu na kudhalilishwa ili kufanana na Yesu!

05/12/2017 15:59

Unyenyekevu ni kipawa muhimu cha maisha ya mkristo.Ni maneno ya msisitizo wa Baba Mtakatifu Francisko katika mahubiri yake,siku ya Jumanne 5 Desemba 2017 katika Kikanisa cha Mtakatifu Marta mjini Vatican.Kila mkristo ni kichupikizi kidogo mahali pa kutua Roho Mtakatifu wa Bwana 

 

Utulivu wa kulala usingizi unaweza kuupata kwa kumeza kidonge cha usingizi, hakuna kidonge cha amani isipokuwa ni Roho Mtakatifu

Utulivu wa kulala usingizi unaweza kuupata kwa kumeza kidonge cha usingizi, hakuna kidonge cha amani isipokuwa ni Roho Mtakatifu tu

Papa:Utulivu wa roho ya mkristo unatokana na nguvu ya Roho Mtakatifu

26/10/2017 16:09

Baba Mtakatifu anasema, hakuna mkristo yoyote ambaye ni mtulivu bila kuwa na mapambano ya kiroho Kwasababu wale wasio kuwa wakristo ni vuguvugu Utulivu wa kulala usingizi unaweza kuupata kwa kumeza kidonge cha usingizi, hakuna kidonge cha amani isipokuwa ni Roho Mtakatifu tu

 

 Ingawa dhambi ya mtu mmoja ilisababisha kifo kwa wote , kwa fadhili ya mtu mmoja yaani Yesu Kriso , sote tumekombolewa

Ingawa dhambi ya mtu mmoja ilisababisha kifo kwa wote , kwa fadhili ya mtu mmoja yaani Yesu Kriso , sote tumekombolewa

Katika ubatizo tunashiriki kifo na ufufuko wa Yesu Kristo!

24/03/2017 16:41

Mtakatifu Paulo anasema ubatizo ni kama kubatizwa katika kifo cha Yesu .Ndiyo maana zamani wakati wa kubatiza mtu alikuwa akiingia ndani na kufunikwa na maji kabisa,akiwa amevaa nguo nyeupe kwa maana ya kwamba dhambi zote zilikuwa zinabaki zimefunikwa na maji na anatoka akiwa kiumbe mpya.

 

Umefika wakati kwa waamini kuendelea kukimbilia huruma na upendo wa Mungu kwa njia ya Kristo: Lango kuu la huruma ya Mungu!

Umefika wakati wa kuendelea kukimbilia na kuambata huruma na upendo wa Mungu kwa njia ya Kristo Yesu, Lango na Uso wa huruma ya Mungu kwa waja wake.

Hija ya huruma ya Mungu bado inaendelea katika nyoyo za watu!

14/11/2016 14:47

Baada ya kufunga rasmi malango ya huruma ya Mungu, sasa hija ya huruma ya Mungu inahamia kwa namna ya pekee katika maisha ya watu wanaohamasishwa kukimbilia na kuiambata huruma hii, ili waweze kuzamishwa katika upendo na huruma ya Mungu isiyokuwa na mipaka!

Waamini wajenge maisha yao katika ukweli, haki, amani na upendo mambo yanayodumu daima.

Waamini wajenge maisha yao katika ukweli, haki, amani na upendo mambo yanayodumu daima.

Amewafumbua macho ili kuona vituko vya walimwengu!

11/11/2016 10:26

Waamini kwa kufuata ulimwengu mpya unaosimikwa katika Kristo Yesu mwamba na nguzo thabiti wanaweza kukabiliwa na dhuluma na nyanyaso; lakini wanapaswa kutambua kwamba, maisha yao ya kweli kama watoto wa Mungu yamejengeka katika kweli, haki na upendo mambo yanayodumu daima.

 

Waamini wanapaswa kujiandaa vyema ili kufa kifo chema!

Waamini wanapaswa kujiandaa vyema ili kufa kifo chema!

Subira ni tunda la huruma ya Mungu!

11/11/2016 10:08

Kifo ni sehemu ya safari ya maisha ya mwanadamu kurudi nyumbani kwa Baba mwenye huruma. Kumbe, hapa duniani mwanadamu anakumbushwa kwamba, ni msafiri wala hana makazi ya kudumu, kumbe anapaswa kujiandaa kwa kutumia muda wake vyema ili kujiandaa kufa kifo chema.

Waamini wanakumbushwa kwamba, kwa njia ya Ubatizo na Kipaimara wamewekwa wakfu kuwa ni Mahekalu ya Fumbo la Utatu Mtakatifu.

Waamini wanakumbushwa kwamba, kwa njia ya Ubatizo na Kipaimara wamewekwa wakfu kuwa ni Mahekalu ya Fumbo la Utatu Mtakatifu.

Ninyi ni Mahekalu ya Fumbo la Utatu Mtakatifu!

10/11/2016 07:00

Wakristo wanakumbushwa kwamba, kwa njia ya Ubatizo na Kipaimara wamekuwa ni Mahekalu safi ya Fumbo la Utatu Mtakatifu linalopaswa kushuhudiwa kwa njia ya maisha adili na matakatifu! Maisha yanayompendeza Mungu na kuwa na mvuto na mashiko kwa jirani, ili kumtukuza Mungu!

Kanisa kuu la Mt. Yosefu Mfanyakazi, Jimbo Katoliki Karonga, Malawi limetabarukiwa na sasa ni nyumba ya Mungu na Hekalu la Roho Mtakatifu.

Kanisa kuu la Mt. Yosefu Mfanyakazi, Jimbo Katoliki Karonga, Malawi limetabarukiwa na sasa ni nyumba ya Mungu na Hekalu la Roho Mtakatifu.

Kanisa kuu la Mt. Yosefu Mfanyakazi, Karonga, Malawi latabarukiwa

05/11/2016 12:01

Kanisa kuu la Mtakatifu Yosefu Mfanyakazi, Jimbo Katoliki Karonga limetabarukiwa na sasa ni nyumba ya sala, Hekalu la Roho Mtakatifu linaloonesha uwepo endelevu wa Mungu katika hija ya maisha ya watu wake; mahali pa kujenga na kuimarisha umoja, upendo na mshikamano wa kweli!