Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Hati ya Utangulizi wa Sinodi ya Vijana 2018

Papa Francisko amewateua Marais wawakilishi wakati wa maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana, 2018

Papa Francisko amewateuwa Maraia wawakilishi wakati wa maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana.

Papa Francisko ateuwa Marais wawakilishi wa Sinodi ya Vijana 2018

14/07/2018 16:13

Baba Mtakatifu Francisko amewateuwa Makardinali wanne kuwa ni Marais wawakilishi wakati wa Maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya Vijana itakayoadhimishwa hapa mjini Vatican mwezi Oktoba 2018 kama sehemu ya mbinu mkakati wa Mama Kanisa kuwasikiliza na kuwasindikiza vijana.

Maandalizi ya kwanza ya Sinodi ya maaskofu yamefanyika ili kuweza kutimiza kwa hakika jinsi gani ya kuweza kung’amua tasaufi za kiutamaduni

Maandalizi ya kwanza ya Sinodi ya maaskofu yamefanyika ili kuweza kutimiza kwa hakika jinsi gani ya kuweza kung’amua tasaufi za kiutamaduni na ambayo pamoja na umuhimu wake, lakini pia ulazima wa usindikizwaji wa mtu”!

Ili kutambua mapenzi ya Mungu ni vema kuwa na kiongozi wa kiroho!

23/05/2018 13:03

Askofu Semeraro wa Jimbo la Albano Italia  na Katibu wa  Sinodi ya Maaskofu ametoa hotuba yake hivi karibuni  katika Semina inayohusu maadhimisho ya miaka 60 tangu Mtumishi wa Mungu Askofu Tonino Bello apate daraja la Upadre. Semina hiyo  imeongozwa na  mada:ushuhuda na  Kirene wa furaha

 

Ili kuonesha upendo wa umaskini Mtakatifu Francisko alivua nguo zake akamkabidhi baba yake na kujikabidhi kwa Askofu wa Assisi wakati ule

Ili kuonesha upendo wa umaskini Mtakatifu Francisko alivua nguo zake akamkabidhi baba yake na kujikabidhi kwa Askofu wa Assisi wakati ule

Kard.Baldisseri: Madhabahu ni mahali pa mang'amuzi ya miito kwa vijana!

22/05/2018 13:18

Katika maadhimisho ya Sikukuu ya Pentekoste Makanisa yote ulimwenguni wameadhimisha kwa shangwe kuu tarehe ambapo pia iliadhimishwa misa  katika Madhabahu mpya ya Mtakatifu Francisko wa Assisi ya kuvua nguo iliongozwa na Kardinali Lorenzo Baldissseri Katibu Mkuu wa Sinodi  ya Maaskofu.

 

Siku ya mwisho ya ziara ya Kardinali Sandri nchini Lebanon alifanya maadhimisho katika kanisa la Mama Yetu wa Harissa

Siku ya mwisho ya ziara ya Kardinali Sandri nchini Lebanon alifanya maadhimisho katika kanisa la Mama Yetu wa Harissa

Ziara ya Kard. Sandri nchini Lebanon kuwatia moyo waamini wa nchi hiyo!

14/05/2018 16:30

Domenika tarehe 13 Mei 2018, Kardinali Leonardi Sandri, Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa la mazungumzo ya kidini amefanya  ziara yake iliyo andaliwa na Ubalozi wa Lebanon na kukutana kwanza na vijana  walioudhuria Mkutano wa maandalizi ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana machi 2018

 

 

Vijana wa kizazi kipya kutoka Afrika wanashirikisha yale yaliyojiri katika maadhimisho ya utangulizi wa Sinodi ya Vijana!

Vijana wa kizazi kipya kutoka Afrika wanashirikisha yale yaliyojiri katika utangulizi wa maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana!

Vijana wa Bara la Afrika wanapembua mchakato wa Sinodi ya Vijana!

05/04/2018 07:52

Vijana walioshiriki katika maadhimisho ya utangulizi wa Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana kwa kukutana, kuzungumza na kusali pamoja na Baba Mtakatifu Francisko wanasema, ni hatua kubwa sana katika mchakato wa ujenzi wa utamaduni na sanaa ya kuwasikiliza, kuwashirikisha na kuwasindikiza!

Kanisa linawahitaji walezi ambao kweli ni wachungaji wema, watakatifu, waadilifu na wanyofu kwa mfano wa Kristo mchungaji mwema.

Kanisa linawahitaji walezi ambao kweli ni wachungaji wema, watakatifu, waadilifu na wanyofu wa moyo kwa mfano wa Kristo Mchungaji mwema!

Askofu Ngalalekumtwa asema, wito wa kipadre unahitaji walezi makini!

29/03/2018 14:15

Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa, Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika mahojiano maalum na Vatican News anasema Kanisa linahitaji walezi ambao ni wachungaji wema, watakatifu, waadilifu na wanyofu wa moyo kwa mfano wa Kristo Yesu, Mchungaji mwema aliyesadaka maisha yake!

Vijana wanamshukuru Papa Francisko kwa  kuanzisha mchakato wa kujenga utamaduni na sanaa ya kuwasikiliza vijana wa kizazi kipya.

Vijana wanamshukuru Papa Francisko kwa kuanzisha mchakato wa Utamaduni na sanaa ya kuwasikiliza vijana wa kizazi kipya.

Hati ya Utangulizi wa Sinodi: Vijana wafurahishwa na Kanisa!

27/03/2018 09:49

Kardinali Lorenzo Baldisseri anasema, Kanisa limedhamiria kabisa ili kuhakikisha kwamba, kweli Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya Vijana inalijengea Kanisa utamaduni na sanaa ya kuwasikiliza vijana wa kizazi kipya, ili kuwashirikisha katika mchakato wa mawazo, maamuzi na utekelezaji wake!

Hati ya Utangulizi wa Sinodi ya Vijana ni muhtasari wa maisha na matamanio halali ya vijana wa kizazi kipya!

Hati ya Utangulizi wa Sinodi ya Vijana ni muhtasari wa maisha na matamanio halali ya vijana ulimwenguni.

Hati ya utangulizi wa Sinodi ya Vijana ni muhtasari wa maisha yao!

26/03/2018 11:35

Wajumbe wa vijana kutoka sehemu mbali mbali za dunia waliokuwa wanashiriki katika maadhimisho ya utangulizi wa Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya Vijana kuanzia tarehe 19-25 Machi 2018 wamewasilisha hati yao kwa Papa Francisko kama muhtasari wa maisha na matamanio yao halali kwa Kanisa na Jamii.