Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Hati ya Utangulizi wa Sinodi ya Amazonia, 2019

Injili ya Kristo inapaswa kutangazwa na kushuhudiwa kwa watu kama kielelezo cha imani tendaji!

Injili ya Kristo inapaswa kutangazwa na kushuhudiwa kwa watu kama kielelezo cha imani tendaji!

Habari Njema ya Wokovu inapaswa kutangazwa na kushuhudiwa!

12/07/2018 16:40

Kongamano la Kimisionari Amerika ya Kusini ni muda muafaka wa kutafakari kuhusu changamoto zinazojitokeza katika maisha na utume wa Kanisa, tayari kuwatangazia watu wa Mataifa furaha ya Injili inayomwilishwa katika ushuhuda, kielelezo makini cha imani tendaji, kiini cha uinjilishaji mpya!

Papa Francisko: Laudato si: Miaka 3: Ushauri wa wanasayansi; wongofu wa kiekolojia na ushirikishwaji wa vijana na watu mahalia.

Papa Francisko: Laudato si: Miaka 3: Mkazo: Ushauri wa wanasayansi, wongofu wa kiekolojia na ushirikishwaji wa vijana na watu mahalia!

Papa Francisko: Laudato si: Ushauri wa wanasayansi; Ekolojia na Vijana

06/07/2018 15:19

Baba Mtakatifu Francisko katika hotuba yake kwa maadhimisho ya miaka mitatau tangu kuchapishwa kwa Waraka wa kichungaji, "Laudato si" yaani "Sifa iwe kwako" juu ya utunzaji wa nyumba ya wote amekazia: ushauri wa wanayasansi, wongofu wa kiekolojia na ushirikishwaji wa vijana na watu mahalia!

Hati ya Maandalizi ya Sinodi ya Maaskofu wa Amazonia inalitaka Kanisa; Kuona, Kung'amua na Kutenda.

Hati ya Maandalizi ya Sinodi ya Maaskofu Ukanda wa Amazonia, inalitaka Kanisa: Kuona, Kung'amua na Kutenda kwa ari na moyo mkuu.

Hati ya Maandalizi ya Sinodi ya Amazonia: Kuona, Kung'amua na Kutenda

09/06/2018 15:50

Maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu Ukanda wa Amazonia yatakayofanyika mjini Vatican mwezi Oktoba 2019 kwa kuongozwa na kauli mbiu "Amazonia: njia mpya ya Kanisa na kwa jili ya ekolojia endelevu". Hati ya maandalizi ya Sinodi ya Amazonia inakazia umuhimu wa: kuona, kung'amua na kutenda!