Askofu mkuu Martin Musonde Kivuva wa Jimbo kuu la Mombasa katika mahojiano na Radio Vatican ambayo kwa sasa inatambulikana kama "Vatican News" anachambua asili ya Kanisa kama chombo muhimu sana cha huduma mintarafu mchakato wa maendeleo endelevu ya binadamu: kiroho na kimwili!
Upendo kwa Mungu unajifunua katika upendo kwa jirani, maana Mungu anajidhihirisha tunapopendana sisi kwa sisi
Mwanadamu anajifunua na kujitambua asili yake sawasawa katikati ya jamii ya mwanadamu.Dini ni mahusiano yetu wanadamu na Mungu wetu aliye mkuu sana.Mahusiano yanapata mashiko katika muunganiko wetu sisi pamoja na viumbe vyote.Upendo wetu kwa Mungu unajieleza kwa upendona jirani
Ujumbe wa Papa kwa Siku ya Amani Duniani 2018 anasema,tutazame wahamiaji kwa imani na si tishio bali fursa ya fursa ya wakati wao endelevu
Kuwatazama wahamiaji katika sayari hii kwa mtazamo uliojaa imani na kuwafikiria kuwa si tishio bali ni fursa ya kujenga wakati ujao.Hayo ni maneno yaliyomo katika Ujumbe wa Baba Mtakatifu Francisko kwa Siku ya Amani Duniani kwa Mwaka 2018 ulitolewa Ijumaa 24 Novemba 2017.
Ina ya Nne ya Upendo ni upendo wa kimungu. Huu huitwa agape. Ni upendo anaouonesha Mungu kwa viumbe vyake vyote.
Ni ukweli usiopingika kwamba Upendo ndio neno linaloongelewa zaidi kuliko maneno mengine yoyote.Tunalisikia katika mahubiri,ushauri,wosia, nyimbo, kazi za wasanii na maeneo mengine mbalimbali.Pamoja na kuzungunzwa zaidi, upendo huo ni kitu kinachokosekana zaidi ya vingine katika maisha
Upendo na Bwana ni katika uhusiano wa kina.Mahusiano haya yanapata mashiko katika muunganiko wetu sisi kwa sisi na pamoja na viumbe vyote
Injili ya Dominika hii inatupatia wajibu wa upendo ili kuidhihirisha dini ya kweli,yaani kumpenda Mungu,kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa akili zako zote na katika namna iliyo sawa ni kumpenda jirani yako.Kristo anatuambia kwamba,katika amri hizi mbili hutegemea torati yote na manabii.
Caritas Africa katika Tamko la Dakar, Senegal, 2017 inasema, itaendelea kutoa huduma ya maendeleo endelevu ya binadamu Barani Afrika.
Caritas Africa katika Tamko la Dakar la Mwaka 2017 inasema, itaendelea kujikita katika mchakato wa kumwilisha upendo wa Mungu katika huduma makini ya maendeleo endelevu ya binadamu kwani upendo wa Mungu ni kiini cha maisha na utume wa Kanisa. Upendo wa binadamu utimilifu katika upendo wa Mungu.
Huduma ya upendo ni asili ya Kanisa inayojikita katika mchakato wa maendeleo endelevu ya binadamu.
Huduma ya upendo ni asili ya Kanisa na Maendeleo Endelevu ya Binadamu ni nyaraka kuu mbili zilizotolewa na Papa Mtsaafu Benedikto XVI na Baba Mtakatifu Francisko kwa ajili ya ustawi, maendeleo na mafao ya wengi zinazofanyiwa na Caritas Africa katika mkutano wake huko Dakar, Senegal, 2017.
Mitandao ya kijamii: