Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Hali ngumu ya uchumi

Baraza la Maaskofu Katoliki Afrika ya Kusini linamwomba Rais Zuma kung'atuka madarakani kwa ajili ya mafao ya umma.

Baraza la Maaskofu Katoliki Afrika ya Kusini lina mshauri rais Jacob Zuma kufanya maamuzi magumu ya kung'atuka kutoka madarakani kwa ajili ya mafao ya umma kwani kwa sasa hali ni tete sana nchini Afrika ya Kusini.

Rushwa na ufisadi vinawapekenya sana wananchi wa Afrika ya Kusini

10/02/2018 17:26

Baraza la Maaskofu Katoliki Afrika ya Kusini linasema kwamba, hali kwa sasa ni tete sana Afrika ya Kusini kutokana na kashfa pamoja na tuhuma mbali mbali hasa kuhusiana na rushwa na ufisadi wa mali ya umma zinazomwandama Rais Jacob Zuma, kiasi cha wananchi wengi kukosa imani naye!

Migogoro nchini Togo zimeyumbisha uchumi wa nchi, hivyo ujasiri katika kujenga amani unatokana na neema ya imani

Migogoro nchini Togo zimeyumbisha uchumi wa nchi, hivyo ujasiri katika kujenga amani unatokana na neema ya imani

TOGO:Ujasiri katika kujenga amani unatokana na neema ya imani!

16/01/2018 14:31

Mwaka ambao umemalizika umekuwa ni kipindi kigumu cha mivutano iliyotokana na kipeo cha sera za kisiasa jamii,ambapo hadi sasa bado hali hiyo inaendelea katika nchi yote na kwa namna ya pekee sehemu ya kati nchini Togo.Si rahisi kazi ya ujenzi wa amani mbele ya ghasia na migogoro

 

Mkoa wa Kagera nchini Tanzania ni moja ya sehemu zinazokabiliwa na uhaba wa maziwa kutokana za sababu zikiwemo za mazingira,umasikini na uchu

Mkoa wa Kagera nchini Tanzania ni moja ya sehemu zinazokabiliwa na uhaba wa maziwa kutokana za sababu mbalimbali zikiwemo mazingira, umasikini na uchumi

Binadamu analazimika kunywa takribani lita 200 za maziwa kwa mwaka

05/08/2017 14:58

Binadamu anapaswa kunywa takribani lita 200 za maziwa kwa mwaka,kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za kiuchumi,kimazingira na umasikini vimewafanya watu wengi kushindwa kupata lishe hiyo muhimu. Mkoa Kagera nchini Tanzania ni moja ya sehemu zinazokabiliwa na uhaba huo

Nguvu ya ziada inahitajika kuokoa wanadamu wanaozama kwenye umaskini wa kupindukia

Inahitajika nguvu ya ziada ili kuokoa wanadamu wengi wanaozidi kuzama kwenye umaskini mkubwa kwa kurudisha uwiano wa mgawanyo wa rasilimali

Nguvu ya ziada kuokoa meli inayozama kwenye umaskini wa kupindukia

09/06/2017 14:18

Askofu mkuu Ivan Jurkovic, Mwakilishi wa Kudumu wa Vatican kwenye Ofisi za Umoja wa Mataifa zilizoko mjini Geneva, anaangalisha Jumuiya ya Kimataifa hatari ya ongezeko la ukosekanaji wa usawa kati ya matajiri na maskini, na utu wa binadamu ukichinjiwa majini.

Baraza la Maaskofu Katoliki Afrika ya Kusini linamshauri Rais Zuma kung'atuka kutoka madarakani kutokana kashfa ya rushwa na ufisadi wa mali ya umma.

Baraza la Maaskofu Katoliki Afrika ya Kusini lina mshauri Rais Jacob Zuma kuonesha ujasiri na unyenyekevu wa kisiasa kwa kung'atuka kutoka madarakani, ili kutoa nafasi kwa Afrika ya Kusini kuganga na kuponya saratani ya rushwa na ufisadi unaoendelea kusababisha hali ngumu ya uchumi nchini humo!

Maaskofu Afrika ya Kusini: Rais Zuma usiogope kung'atuka!

06/04/2017 15:02

Baraza la Maaskofu Katoliki Afrika ya Kusini linamshauri Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini kuonesha ujasiri na unyenyekevu wa kisiasa kwa kung'atuka kutoka madarakani baada ya kuandamwa na kashfa ya rushwa na ufisadi wa mali ya umma ili kutoa mwanya wa kuganga na kutibu saratani ya rushwa!