Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Haki za Watoto Kimataifa

Papa mara nyingi ametoa wito: watoto lazima wacheze na kusoma,wasali na kukua katika familia zao na ole,wanaowafanya watumwa

Papa mara nyingi ametoa wito: watoto lazima wacheze na kusoma,wasali na kukua katika familia zao na ole,wanaowafanya watumwa

Watoto lazima wacheze na kusoma, ole wao wanaowafanya watumwa!

12/06/2018 16:33

Katika kuadhimisha siku ya kupinga ajira kwa watoto duniani kila ifikapo tarehe 12 Juni ya kila mwaka, Papa amesema ajira ya watoto ni janga la kuzuia matumaini. Na mara nyingi ametoa witokuwa watoto lazima wacheze na kusoma,wasali na kukua katika familia zao na ole,wanaowafanya watumwa

Mpango wa utetezi na ulinzi wa watoto wadofo nchini Tanzania uliotolewa na Baraza la Maaskofu unatakiwa kuwekwa kwenye matendo na siyo kinadharia

Mpango wa utetezi na ulinzi wa watoto wadofo nchini Tanzania uliotolewa na Baraza la Maaskofu unatakiwa kuwekwa kwenye matendo na siyo kinadharia

Tanzania: Andaeni makatekista watakaotetea na kulinda watoto!

11/05/2018 16:04

Makatekista wote wa nchi wanapaswa kujifunza vema juu ya siasa  ya utetezi na ulinzi wa watoto  iliyokubaliwa na maaskofu mnamo mwaka 2017. Amethibitisha hayo Padre Riziki wakati wa hotuba yake katika semina ya  siku tatu uliyoandaliwa na Sekretarieti ya jimbo,kurasini Dar Es Salaam

Tarehe 26 Februari Maaskofu Katoliki wametoa wito  wa kuhamasisha Siku ya kitaifa Katoliki kwa ajili ya DACA!

Tarehe 26 Februari Maaskofu Katoliki wametoa wito wa kuhamasisha Siku ya kitaifa Katoliki kwa ajili ya DACA!

Maaskofu Katoliki Marekani kuhamasisha siku ya DACA,tarehe 26 Februari 2018!

22/02/2018 15:42

Maaskofu Katoliki wa Marekani wametoa wito kwa waamini tarehe 26 Februari 2018 kuwa ni Siku maalum Kitaifa Katoliki.Ni kuhusu uhamasisha mpango wa Dreamers,unendelee kwa ajili ya vijana wahamiaji walioingia nchini Marekani wakiwa wadogo kwa njia zisizo halali na wazazi wao kuishi nchini huo