Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Haki ya watoto

Papa mara nyingi ametoa wito: watoto lazima wacheze na kusoma,wasali na kukua katika familia zao na ole,wanaowafanya watumwa

Papa mara nyingi ametoa wito: watoto lazima wacheze na kusoma,wasali na kukua katika familia zao na ole,wanaowafanya watumwa

Watoto lazima wacheze na kusoma, ole wao wanaowafanya watumwa!

12/06/2018 16:33

Katika kuadhimisha siku ya kupinga ajira kwa watoto duniani kila ifikapo tarehe 12 Juni ya kila mwaka, Papa amesema ajira ya watoto ni janga la kuzuia matumaini. Na mara nyingi ametoa witokuwa watoto lazima wacheze na kusoma,wasali na kukua katika familia zao na ole,wanaowafanya watumwa

 

Askofu Mkuu Markos Gebremedhin, amesema wafuasi wa Kristo wamepewa jukumu la kulinda watoto, wakati wa uzinduzi wa Siasa za utetezi wa watoto

Askofu Mkuu Markos Gebremedhin, amesema wafuasi wa Kristo wamepewa jukumu la kulinda watoto, wakati wa uzinduzi wa Siasa za utetezi na ulinzi wa watoto nchini Ethiopia

Maaskofu Ethiopia: Mungu ametoa jukumu kwa wafuasi kulinda watoto !

07/06/2018 14:06

Mwakilishi wa Kitume huko Jimma Bonga nchini Ethiopia, Askofu Mkuu Markos Gebremedhin,(CM) wakati wa uzinduzi rasmi wa Siasa ya utetezi na ulinzi wa watoto kwa upande wa Kanisa Katoliki amesema, wafuasi wote wa Kristo wamepewa jukumu la kulinda na kusaidia makuzi ya watoto katika dunia 

 

Akofu Mkuu Jurkovick amehtubia katika mkutano unao husu Mkakati kwa Afya ya wanawake, watoto na vijana waliopevuka ambao ulianzishwa mwaka 2016-2030.

Akofu Mkuu Jurkovick amehtubia katika mkutano unao husu Mkakati kwa Afya ya wanawake, watoto na vijana waliopevuka ambao ulianzishwa mwaka 2016-2030.

Mkakati wa Kimataifa wa afya ya wanawake,watoto na vijana 2016-2030!

26/05/2018 14:37

Askofu Mkuu Ivan Jurkovick mwakilishi wa kudumuwa Vatican katika ofisi za Umoja wa Mataifa zilizoko mjini Geneva, tarehe 25 Mei 2018 ametoa hotuba yake katika kikao cha 71 kuhusu mada ya ajenda ya  mkakati wa kimataifa kwa afya ya wanawake, watoto na vijana waliopevuka 2016-2030 

 

 

Mpango wa utetezi na ulinzi wa watoto wadofo nchini Tanzania uliotolewa na Baraza la Maaskofu unatakiwa kuwekwa kwenye matendo na siyo kinadharia

Mpango wa utetezi na ulinzi wa watoto wadofo nchini Tanzania uliotolewa na Baraza la Maaskofu unatakiwa kuwekwa kwenye matendo na siyo kinadharia

Tanzania: Andaeni makatekista watakaotetea na kulinda watoto!

11/05/2018 16:04

Makatekista wote wa nchi wanapaswa kujifunza vema juu ya siasa  ya utetezi na ulinzi wa watoto  iliyokubaliwa na maaskofu mnamo mwaka 2017. Amethibitisha hayo Padre Riziki wakati wa hotuba yake katika semina ya  siku tatu uliyoandaliwa na Sekretarieti ya jimbo,kurasini Dar Es Salaam

 

 

Katika kilele cha kuadhimisha Siku ya Malaria Duniani 25 Aprili 2018, Who inasema Malaria ni sababu ya kwanza inayosababisha vifo vya watoto wadogo

Katika kilele cha kuadhimisha Siku ya Malaria Duniani 25 Aprili 2018, Who inasema Malaria ni sababu ya kwanza inayosababisha vifo vya watoto wadogo na magonjwa mengi katika nchi 91 za kitropiki

Milioni 216 ya visa duniani na vifo 445,000 kwa mwaka kutokana na Malaria!

25/04/2018 14:58

Tarehe 25 Aprili ni siku ya Malaria Duniani ambapo Malaria bado ni sababu ya kwanza inayosababisha vifo vya watoto wadogo na magonjwa katika nchi 91 za kitropiki kwa vifo 445,000 kwa mwaka kwa mujbu wa Shirika la Afya Ulimwenguni WHO.Malaria ni moja ya mkakati mkubwa wa kupambana nao! 

 

Baadhi ya wasichana wa Dapchi nchini Nigeria walioachiwa huru mara baada ya kutekwa nyara tangu 29 Januari na Boko Haramu

Baadhi ya wasichana wa Dapchi nchini Nigeria walioachiwa huru mara baada ya kutekwa nyara tangu 19 Februari na Boko Haramu

Nigeria:Wasichana zaidi ya 100 waliotekwa nyara na Boko Haram wameachwa huru!

22/03/2018 15:51

Unicef imepokea kwa furaha kubwa habari za kuachiwa huru watoto waliotekwa nyara na Boko Haramu tarehe 19 Februari 2018 katika shule ya Dapchi , huko Yobe Kaskazini mashariki ya Nigeria.Watoto hao wako tayari mikononi mwa familia zao.Raarifa ni kwamba,warudi zaidi ya wasichana 100

 

Shirika la Saidia Watoto, linatoa ripoti kuwa kila dakika moja, mtoto anakufa kutokana na suala la maji

Shirika la Saidia Watoto, linatoa ripoti kuwa kila dakika moja, mtoto anakufa kutokana na suala la maji

Siku ya Maji Duniani:Kila dakika mtoto anakufa kutokana na suala la maji!

21/03/2018 15:19

Katika kuadhimisho Siku ya Maji duniani 2018, Shirika la Saidia Watoto wametoa ripoti siku moja kabla ya kilele  chake tarehe 22 Machi kuwa.Ripoti inasema,kila dakika moja mtoto anakufa kutokana na suala la maji,na ukosefu wa huduma ya bora ya afya kuchangia  kifo cha mtoto mmoja kati ya watano

 

Kuna madhara makubwa kwa watoto wakimbizi na wahamiaji kuwekwa vizuizini!

Kuna madhara makubwa kwa watoto wakimbizi na wahamiaji kuwekwa vizuizini.

Watoto wakimbizi na wahamiaji kuwekwa vizuizini kuna madhara makubwa

05/03/2018 08:00

Baraza la Kipapa la Huduma ya Maendeleo Endelevu ya Binadamu linasema, watoto wakimbizi na wahamiaji kuwekwa vizuizini kuna madhara makubwa sana katika malezi na ukuaji wao kwa sasa na kwa siku za usoni! Kuna haja kwa Jumuiya ya Kimataifa kutafuta mbinu mbadala ya kuwahudumia!