Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Haki msingi za binadamu

Tarehe 23 Februari 2018 Siku ya Kufunga na Kusali kwa ajili ya kuombea amani duniani.

Tarehe 23 Februari 2018 Siku ya kufunga na kuombea amani duniani.

Ni siku ya sala na kufunga kwa ajili ya kuombea amani duniani!

23/02/2018 14:47

Baba Mtakatifu Francisko anawaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kufunga na kusali kwa ajili ya kuombea amani na utulivu sehemu mbali mbali za dunia lakini hasa zaidi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Congo pamja na Sudan ya Kusini ambako watu wanateseka sana!

Familia ya Mungu nchini Ethiopia imetakiwa kung'oa ndago za ukabila uchwara unaopandikiza mbegu ya utamaduni wa kifo.

Familia ya Mungu nchini Ethiopia imetakiwa kung'oa ndago za ukabila zinazopandikiza utamaduni wa kifo.

Ng'oeni ndago za ukabila uchwara unaopandikiza mbegu ya kifo!

22/02/2018 15:38

Viongozi wa Makanisa nchini Ethiopia wanaitaka familia ya Mungu nchini humo, kujizatiti zaidi katika kung'oa ndago za ukabila unaopandikiza mbegu ya utamaduni wa kifo. Huu ni wakati wa kuhakikisha kwamba watoto wanarithishwa: umoja, upendo, mshikamano na udugu, kwani wote ni Waethiopia.

Jumuiya ya Kimataifa haina budi kushikamana kwa dhati ili kukabiliana na wimbi kubwa la wakimbizi na wahamiaji katika ukweli, uwazi na haki.

Jumuiya ya Kimataifa haina budi kshirikiana kwa dhati katika ukweli, uwazi pamoja kuzingatia haki msingi, utu na heshima ya binadamu katika kukabiliana na wimbi kubwa la wakimbizi na wahamiaji kwa wakati huu.

Sera na mikakati ya kukabiliana na wimbi kubwa la wakimbizi duniani

09/02/2018 07:34

Jumuiya ya Kimataifa haina budi kukabiliana na changamoto ya wimbi kubwa la wakimbizi na wahamiaji kwa kujikita katika misingi ya ukweli ma uwazi; kwa kuongeza fursa ya watu kupata  vibali halali vya uhamiaji hali ambayopia inaweza kuchangia ujenzi wa uhusiano mwema na jumuiya mahalia!

Papa Francisko: Mchakato wa huduma na tiba kwa wagonjwa uzingatie utu na heshima ya binadamu!

Papa Francisko: Mchakato wa huduma na tiba uzingatie utu, heshima na haki msingi za binadamu!

Ujumbe wa Papa Francisko kwa Siku ya 26 ya Wagonjwa Duniani 2018

08/02/2018 08:19

Baba Mtakatifu anawaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kuhakikisha kwamba, wanakuwa kweli ni vyombo na mashuhuda wa Injili ya huruma na upendo kwa jirani zao, kwa kutoa kipaumbele cha kwanza kwa utu, heshima na mahitaji msingi ya wagonjwa wanaokutana nao kila siku!

Diplomasia ya mshikamano, udugu na upendo ni muhimu katika ujenzi wa amani duniani!

Diplomasia ya mshikamano, udugu na upendo ni muhimu sana katika ujenzi wa amani duniani.

Diplomasia ya mshikamano ni kikolezo cha maendeleo endelevu!

07/02/2018 07:45

Hazina na amana ya utamaduni wa udugu, upendo na mshikamano katika ukweli na uwazi ni chachu muhimu sana katika mchakato mzima wa maendeleo endelevu ya binadamu, ambapo: haki msingi za binadamu, mahitaji yake muhimu, utu na heshima yake vinapewa kipaumbele cha kwanza!

Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya limetoa tamko kukazia uhuru wa vyombo vya habari, haki msingi za binadamu na utawala wa sheria kwa mujibu wa Katiba

Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya limetoa tamko kuhusu uhuru wa vyombo vya habari, haki msingi za binadamu pamoja na utawala wa sheria kadiri ya Katiba ya nchi ya Kenya.

Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya latoa tamko kuhusu hali ya Kenya!

06/02/2018 15:46

Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya linasema katika tamko lake kwamba, lina dhamana ya kuhakikisha kwamba linadumisha mchakato wa haki, amani na maridhiano ya kitaifa ili kujenga na kudumisha umoja wa kitaifa, haki msingi za binadamu pamoja na uhuru wa watu kujieleza kikatiba!

Papa Francisko amekutana na kuzungumza na Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki mjini Vatican.

Papa Francisko amekutana na kuzungumza na Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki mjini Vatican, 5 Februari 2018.

Rais wa Uturuki akutana na kuzungumza na Papa Francisko mjini Vatican

05/02/2018 15:06

Uhusiano wa kidiplomasia kati ya Vatican na Uturuki, hali ya waamini wa Kanisa Katoliki nchini Uturuki; umuhimu na dhamana ya kuwakaribisha na kuwahudumia wakimbizi na wahamiaji na amani na utulivu huko Mashariki ya Kati ni kati ya mambo yaliyojadiliwa na Papa Francisko na Rais wa Uturuki.

Papa Francisko anaitaka Perù kujizatiti kikamilifu kupambana na biashara haramu ya binadamu na utumwa mamboleo!

Papa Francisko anaitaka Perù kujizatiti kupambana na biashara haramu ya binadamu na utumwa mamboleo, unaodhalilisha utu, heshima na haki msingi za binadamu!

Papa Francisko: Perù inapaswa kujizatiti kupambana na utumwa mamboleo

20/01/2018 11:29

Baba Mtakatifu anasema, biashara ya binadamu na utumwa mamboleo ni mambo yanayofumbatwa katika kazi za suluba, biashara ya ngono mambo yanayowatajirisha wajanja wachache katika jamii lakini madhara yake ni makubwa katika: utu, heshima na haki msingi za binadamu! Hatari kubwa!