Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Haki, Amani na Upatanisho

Roho Mtakatifu awajalie waamini kutafuta, kulinda na kudumisha haki, amani na maridhiano kati ya watu.

Roho Mtakatifu awajalie waamini kutafuta, kulinda na kudumisha misingi ya haki, amani na maridhiano kati ya watu ili wote waweze kuwa na roho moja na moyo mmoja.

Baraza la Makanisa Ulimwenguni: Ujumbe wa Pentekoste kwa Mwaka 2018

19/05/2018 09:04

Baraza la Makanisa Ulimwenguni katika ujumbe wake kwa Sherehe ya Pentekoste kwa mwaka 2018 linamwomba Kristo Mfufuka, anayewajalia waja wake maisha mapya, awawezeshe kusimama kidete kutafuta, kulinda na kudumisha haki, amani na maridhiano, ili waweze kuwa na roho moja na moyo mmoja.

Ukusanyaji wa kodi ya uchaguzi mkuu 2020 uzingatie misingi ya ukweli, uwazi na uwajibikaji kwa wote!

Ukusanyaji wa kodi ya uchaguzi mkuu nchini Burundi kwa mwaka 2020 uzingatie misingi ya ukweli, uwazi na uwajibikaji wa wote.

Maaskofu Burundi: Ukweli na uwazi katika fedha ya uchaguzi mkuu

16/04/2018 11:28

Baraza la maaskofu Katoliki Burundi linasema, mchakato wa uchaguzi mkuu ni zoezi muhimu sana katika kukuza na kudumisha uhuru wa wananchi na demokrasia, lakini linapaswa kuendeshwa katika misingi ya ukweli na uwazi mintarafu kodi ya uchaguzi mkuu kwa mwaka 2020.

 

Waraka wa Maaskofu wa KKKT kwa Sherehe ya Pasaka 2018 unachambua hali ya Tanzania kwa kina na mapana!

Waraka wa Maaskofu wa KKKT kwa Sherehe ya Pasaka kwa Mwaka 2018 unachambua hali ya Tanzania kwa kina na mapana!

Waraka wa Maaskofu wa Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania, 2018

26/03/2018 14:08

Maaskofu wa Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania katika Waraka wao wa Pasaka kwa Mwaka 2018 wanachambua jamii na uchumi wa Tanzania ili kudumisha uhuru na umoja wa Tanzania; Tanzania na amani; maisha ya siasa, masuala mtambuka, kilio cha Katiba Mpya na Injili ya uhai dhidi ya utamaduni wa kifo!

 

Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya linasema, hiki ni kipindi cha mchakato wa uponyaji na upatanisho wa kitaifa.

Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya linasema, hiki ni kipindi cha mchakato wa uponyaji na upatanisho wa kitaifa.

Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya: Ni muda wa uponyaji na upatanisho

15/03/2018 10:08

Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya linapongeza juhudi ambazo zimefanikisha kuwakutanisha Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Bwana Raila Odinga, Kiongozi mkuu wa upinzani na kwamba, huu ni mwanzo wa mchakato wa uponyaji, upatanisho, umoja na mshikamano wa kitaifa nchini Kenya.

Siku ya wanawake duniani kwa mwaka 2018.

Siku ya wanawake duniani kwa mwaka 2018

Achana na wanawake bwana! Utalala mlango wazi! Ni majembe ya nguvu!

08/03/2018 15:52

Baba Mtakatifu Francisko anasema, kuna haja ya kuwaheshimu, kuwaenzi na kuwajengea uwezo wanawake ili waweze kuchangia kikamilifu katika ustawi, maendeleo na mafao ya: Kanisa, familia na jamii katika ujumla wake! Hii ni changamoto ya kuachana na mfumo dume na unyanyasaji dhidi ya wanawake!

Utunzaji bora wa mazingira nyumba ya wote ni wajibu wa familia ya Mungu kimaadili.

Utunzaji bora wa mazingira nyumba ya wote ni wajibu wa kimaadili wa familia yote ya Mungu.

WCC: Utunzaji bora wa mazingira ni wajibu wa wote kimaadili!

07/03/2018 14:30

Familia ya Mungu Barani Afrika inakabiliwa kwa kiasi kikubwa na athari za mabadiliko ya tabianchi yanayoendelea kusababisha mamilioni ya watu kutumbukia katika baa la umaskini, magonjwa, njaa, vita na kinzani za kijamii! Utunzaji bora wa mazingira ni wajibu wa kimaadili kwa watu wote!

Mungu ni kama baba anaye msubiri mtoto wake ili aweze kuzungumza naye hata kama ametenda kosa!

Mungu ni kama baba anaye msubiri mtoto wake ili aweze kuzungumza naye hata kama ametenda kosa!

Papa:Bwana hachoki kuita kila mmoja abadili maisha na kuongoka!

27/02/2018 14:00

Bwana hachoki kuita kila mmoja ili abadilishe maisha na kufanya hatua ya kwenda kwake na kuongoka. Anafanya hivyo kwa ukarimu na imani kama Baba hata sisi tufanye hivyo katika maungamo.Ni ushauri wa Baba Mtakatifu Francisko wakati wa mahubiri yake tarehe 27 Februari 2018 mjini Vatican

 

Maaskofu Katoliki Kenya: Kwaresima ni fursa ya kujikita katika ukweli na haki kwa wote; kwa kukuza majadiliano na upatanisho wa kitaifa.

Maaskofu Katoliki Kenya: Kwaresima ni wakati muafaka wa kujikita katika ukweli na haki kwa wote ni muda muafaka wa kukuza na kudumisha majadiliano na upatanisho wa kitaifa!

Kenya: Huu ni wakati wa ukweli, haki, majadiliano na upatanisho!

17/02/2018 08:10

Baraza la Maaskofu Katoliki Nchini Kenya linaialika familia ya Mungu nchini humo kujenga na kudumisha mchakato wa majadiliano katika ukweli na uwazi ili haki iweze kupatikana kwa wote! Changamoto na kinzani zilizojitokeza nchini Kenya zipatiwe ufumbuzi kwa njia ya majadiliano, amani na utulivu!