Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Habari Njema ya Wokovu

Mwanadamu ana lazima ya kufuataq sheria maadili inayomsukuma kutenda jema na kuepuka ovu. Sheria hii inaongea ndani kabisa ya dhamiri ya mtu!

Mwanadamu ana lazima ya kufuata sheria ya maadili inayomsukuma kutenda jema na kuepuka ovu. Sheria hii yaongea ndani kabisa ya dhamiri ya mwanadamu!

Dhambi na matokeo ya ufunuo wa mpango wa ukombozi wa mwanadamu

09/06/2018 16:39

Mwenyezi Mungu ni mwingi wa huruma na mapendo, mambo yanayojionesha tangu pale Adamu na Eva walipoanguka dhambini na kujikuta wako watupu, kwa kupoteza: urafiki na Mwenyezi Mungu; Uhuru wa kweli; Wema na utakatifu wa maisha! Lakini Mungu anawaahidia ukombozi!

Kardinali Filoni anasema watu wote watatangaziwa Injili, Habari Njema na kuwalikwa kuingia katika nyumba iliyo wazi kwa ajili ya kupunzika, sala, wema

Kardinali Filoni anasema watu wote watatangaziwa Injili, Habari Njema na kuwalikwa kuingia katika nyumba iliyo wazi kwa ajili ya kupunzika, sala, wema, neema, msamaha, mapatano na matumaini

Mahubiri ya Kard. Filoni kwa wajumbe wa Baraza la Kipapa la Kimisionari

04/06/2018 14:29

Neno la Mungu lililosomwa katika Liturujia ya Mtakatifu Justine shahidi,linatualika kutafakari juu ya uhusiano kati ya imani kwa Mungu,sala na utume katika maisha yetu.Hija ya kuelekea Mwezi Maalum wa Kimisionari 2019, tunahitaji kurudisha uwazi na lazima kuongeza zaidi imani katika  Bwana. 

 

Papa Francisko anawataka waamini kuwa huru na wazi mbele ya Roho Mtakatifu, ili wafikiri na kutenda kama watoto wa Mungu!

Papa Francisko anawataka waamini kuwa wazi na huru mbele ya Roho Mtakatifu ili waweze kufikiri na kutenda kama watoto wa Mungu na kwa njia ya sala waweze kupambanua njia inayowaongoza katika upya wa maisha.

Papa Francisko: Waamini jiwekeni wazi kwa maongozi ya Roho Mtakatifu

24/04/2018 14:31

Baba Mtakatifu Francisko anawataka waamini kuwa huru na wazi mbele ya maongozi ya Roho Mtakatifu, ili waweze kufikiri na kutenda kama watoto wa Mungu na kwa njia ya sala waweze kupambanua njia inayowaongoza katika upya wa maisha unaopata chimbuko na hitimisho lake kutoka kwa Kristo!

Wamisionari wa huruma ya Mungu wanapaswa kuzaliwa kutoka juu, tayari kumwinua Kristo Yesu, nguvu ya umoja, upendo na mshikamano.

Wamisionari wa huruma ya Mungu wanapaswa kuzaliwa kutoka juu, tayari kumwinua Kristo Yesu, nguvu ya umoja, upendo na mshikamano kati ya watu!

Papa Francisko: Wamisionari mwinueni Kristo Yesu, nguvu ya umoja!

10/04/2018 15:03

Baba Mtakatifu Francisko anawataka Wamisionari wa huruma ya Mungu kutekeleza vyema dhamana na wajibu wao kwa kutambua kwamba, wao kwa hakika ni mashuhuda na vyombo vya huruma ya Mungu, kwa kuzaliwa kutoka juu, tayari kumwinua Kristo Yesu, nguvu ya umoja, upendo na mshikamano!

Watu wa Kanisa la Afrika daima wako mstari wa mbele kuwa  karibu na yule anayeteseka na kupeleka Habari njema ya Upendo wa Mungu

Watu wa Kanisa la Afrika daima wako mstari wa mbele kuwa karibu na yule anayeteseka na kupeleka Habari njema ya Upendo wa Mungu

Taalimungu Afrika: Utume wa Kanisa la Afrika unatokana na huruma!

09/04/2018 15:27

Utume wa Kanisa unatokana na huruma,yaani upendo ambao unahisi tasaufi yake katika jamii ya watu. Huruma maana yake ni kuacha uguswe na udhaifu wa watu wengine.Ni maelezo ya Mtaalimungu Padre D. Zagore Mmisionari wa Afrika akihamasisha uwepo wa Mungu katika Matendo ya Kanisa 

 

Miujiza iliyotendwa na Kristo Yesu anasema Papa Francisko ilipania kuamsha imani, toba na wongofu wa ndani, kielelezo cha uwepo wa Ufalme wa Mungu!

Miujiza iliyotendwa na Kristo Yesu, ilipania kuamsha imani, toba na wongofu wa ndani, kielelezo makini cha uwepo wa Ufalme wa Mungu.

Papa asema, miujiza ya Yesu ilipania kuamsha imani, toba na wongofu

05/02/2018 08:14

Baba Mtakatifu Francisko anasema, kuna uhusiano mkubwa kati ya miujiza iliyotendwa na Kristo Yesu kwa watu walioteseka kwa magonjwa, udhaifu wa mwili na dhambi ili kuamsha tena ndani mwao imani, toba na wongofu wa ndani, kielelezo cha uwepo endelevu wa Ufalme wa Mungu kati ya watu wake!

Toba, wongofu wa ndani na ushuhuda wa imani tendaji ni kiini cha Fumbo la Umwilisho!

Toba, wongofu wa ndani na ushuhuda wa imani tendaji ni kiini cha Fumbo la Umwilisho.

Ni kipindi cha toba na wongofu wa ndani na ushuhuda wa imani tendaji

19/01/2018 06:47

Liturujia ya Neno la Mungu, Jumapili ya III ya Kipindi cha Mwaka wa B wa Kanisa inatoa mwaliko wa kutubu, kumwongokea Mwenyezi Mungu pamoja na kuiamini Injili inayoshuhudiwa katika uhalisia wa maisha ya waamini kama kielelezo cha imani tendaji! Hiki ni kiini cha Fumbo la Umwilisho!

Maskini ni amana na utajiri wa Kanisa, walengwa wakuu wa Habari Njema ya Wokovu!

Maskini ni amana na utajiri wa Kanisa, walengwa wakuu wa Habari Njema ya Wokovu!

Kardinali Sèrgio da Rocha: Maskini ni amana na utajiri wa Kanisa!

15/01/2018 14:05

Maskini ni amana na utajiri wa Kanisa katika mchakato mzima wa Uinjilishaji wa kina unaogusa mahitaji ya mtu mzima: kiroho na kimwili. Kimsingi, maskini ndio walengwa wakuu wa Habari Njema ya Wokovu! Dhana ya umaskini inajikita katika: utu na heshima ya binadamu; kanuni maadili na utu wema!