Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Habari Njema

Mwenyezi Mungu anatumia watu, mazingira na historia kufikisha ujumbe wa Habari Njema kwa waja wake!

Mwenyezi Mungu anatumia watu, mazingira na historia ili kuweza kufikisha ujumbe wa habari Njema kwa waja wake.

Tafakari ya Neno la Mungu: Ujumbe wa Mungu si rahisi sana kupokelewa!

07/07/2018 07:26

Tafakari ya Neno la Mungu, Jumapili XIV ya Kipindi cha Mwaka B wa Kanisa inaonesha jinsi ambavyo ni vigumu sana kupokea Habari Njema ya Wokovu, lakini Mwenyezi Mungu anatumia watu, historia na matukio mbali mbali katika maisha ya mwanadamu ili kufikisha ujumbe wake kwa binadamu!

Mei Mosi 2018 Papa Francisko amekutana na wakuu na wafanyakazi wa Gazeti la Avvenire la Baraza la Maaskofu Italia

Mei Mosi 2018 Papa Francisko amekutana na wakuu na wafanyakazi wa Gazeti la Avvenire la Baraza la Maaskofu Italia

Papa Francisko ametoa hotuba kwa wakuu na wafanyakazi wa gazeti la Avvenire!

01/05/2018 15:20

Mtakatifu Yosefu ni mtu mkimya lakini kwa mtazamo huo hata leo hii ni mfano wa kuigwa katika dunia iliyo jaa kelele na mazunguzo mengi ili kuweza kutoa habari iliyo njema ya mawasiliano.Ndiyo mojawapo ya mawazo ya Papa Francisko alipokutana na wakuu na wafanyakazi wa gazeti la Avvenire Italia

 

 

Watu wa Kanisa la Afrika daima wako mstari wa mbele kuwa  karibu na yule anayeteseka na kupeleka Habari njema ya Upendo wa Mungu

Watu wa Kanisa la Afrika daima wako mstari wa mbele kuwa karibu na yule anayeteseka na kupeleka Habari njema ya Upendo wa Mungu

Taalimungu Afrika: Utume wa Kanisa la Afrika unatokana na huruma!

09/04/2018 15:27

Utume wa Kanisa unatokana na huruma,yaani upendo ambao unahisi tasaufi yake katika jamii ya watu. Huruma maana yake ni kuacha uguswe na udhaifu wa watu wengine.Ni maelezo ya Mtaalimungu Padre D. Zagore Mmisionari wa Afrika akihamasisha uwepo wa Mungu katika Matendo ya Kanisa 

 

Padre Jacques Hamel aliye uwawa na magaidi wa kijihadi Julai 2016 akiwa anaadhimisha misa asubuhi

Padre Jacques Hamel aliye uwawa na magaidi wa kijihadi Julai 2016 akiwa anaadhimisha misa asubuhi

Kardinali Parolin amekabidhi Tuzo Padre Jacques Hamel huko Lourdes!

29/01/2018 15:48

26 Januari 2018,Kardinali Parolin aliongoza Misa Takatifu wakati wa kuhitimisha Siku ya 22 ya Mtakatifu Francisko di Sales,Msimamizi wa waandishi wa Habari,iliyoongozwa na mada ya Vyombo vya Habari na Ukweli;Na amekabidhi Tuzo Padre Jacques Hamel aliye uwawa 2016 huko Rouen.

 

Tarehe 17 Oktoba 2017 Chuo Kikuu cha Urbaniana kimefungua rasmi mwaka mpya wa masomo 2017-2018 kwa misa takatifu iliyoongozwa Kard Ferdinando Filoni

Tarehe 17 Oktoba 2017 Chuo Kikuu cha Urbaniana kimefungua rasmi mwaka mpya wa masomo 2017-2018 kwa misa takatifu iliyoongozwa na Kard Ferdinando Filoni

Ufunguzi wa mwaka mpya wa masomo 2017/18 wa Chuo Kikuu Urbaniana

21/10/2017 09:51

Tarehe 17 Oktoba2017 jumuiya ya Chuo Kikuu cha Kipapa cha Urbaniana wamefanya ufunguzi wa mwaka mpya wa masomo 2017-2018.Ni mwaka wa 390 wa masomo tangu kuanzishwa chuo hicho.MisaTakatifu imeongozwa na Kardinali Fernando Filoni Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa la Uinjilishaji

 

Mageuzi siyo kupaka rangi vitu kidogo, bali mageuzi ni kutoa mfano wa  muundo mwingine wa  vitu, kuvipanga kwa namna nyingine

Mageuzi siyo kupaka rangi vitu kidogo, bali mageuzi ni kutoa mfano wa muundo mwingine wa vitu, kuvipanga kwa namna nyingine

Mageuzi ya Mawasiliano katika kubuni mbinu mpya ya kiteknolojia

18/08/2017 13:19

Katika hotuba ya  ufunguzi wa Mkutano wa Mawasiliano nchini Brazil, Monsinyo Vigano Rais wa Sekretarieti ya Mawasiliano Vatican amesema,mageuzi siyo kitu rahisi kama uchoraji akikumbusha maneno ya Baba Mtakatifu aliyoyasema wakati wa Mkutano wao wa mwaka wa Sekretarieti ya Mawasiliano