Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Gombera

Baba Mtakatifu Francisko amemteua Padre Jean-Patick Iba-Ba kuwa Askofu mpya wa Jimbo Kuu la Francaville nchini Gabon

Baba Mtakatifu Francisko amemteua Padre Jean-Patick Iba-Ba kuwa Askofu mpya wa Jimbo Kuu la Francaville nchini Gabon

Baba Mt.amemteua Padre Jean-Patick Iba-Ba kuwa Askofu mpya wa Francaville

06/11/2017 13:20

Baba Mtakatifu amemteua Askofu mpya wa Jimbo Kuu la Franceville nchini Gabon,Padre Jean-Patick Iba-Ba,hadi wakati wa uteuzi huo alikuwa ni Gombera wa Seminari Kuu ya Kitaifa ya Mtakatifu Augustin huko Libreville Gabon.Padre Mteule alizaliwa tarehe 18 Aprili 1966 huko Libreville Gabon

 

Tarehe 17 Oktoba 2017 Chuo Kikuu cha Urbaniana kimefungua rasmi mwaka mpya wa masomo 2017-2018 kwa misa takatifu iliyoongozwa Kard Ferdinando Filoni

Tarehe 17 Oktoba 2017 Chuo Kikuu cha Urbaniana kimefungua rasmi mwaka mpya wa masomo 2017-2018 kwa misa takatifu iliyoongozwa na Kard Ferdinando Filoni

Ufunguzi wa mwaka mpya wa masomo 2017/18 wa Chuo Kikuu Urbaniana

21/10/2017 09:51

Tarehe 17 Oktoba2017 jumuiya ya Chuo Kikuu cha Kipapa cha Urbaniana wamefanya ufunguzi wa mwaka mpya wa masomo 2017-2018.Ni mwaka wa 390 wa masomo tangu kuanzishwa chuo hicho.MisaTakatifu imeongozwa na Kardinali Fernando Filoni Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa la Uinjilishaji

 

Kardinali Ferdinando Filoni miezi ya hivi karibuni amewateua gombera wapya wawili katika nchi ya Camerun na Zimbabwe.

Kardinali Ferdinando Filoni miezi ya hivi karibuni amewateua gombera wapya wawili katika nchi ya Camerun na Zimbabwe.

Gombera wapya katika Seminari Shirikishi za majimbo ya Camerun na Zimbawe

08/09/2017 16:02

Kardinali Ferdinando Filoni Rais wa Baraza la Kipapa kwa ajili ya Uinjilishaji wa watu miezi ya hivi karibuni amewateua Gombera mpya Padre Andre Pekeu wa Seminari shirikishi nchini Camerun  pia Gombera mpya Padre Andrew Lastborn Foto katika Seminari Shirikishi ya Majimbo ya Harare Zimbabwe 

 

Askofu Rudolf Deng Majak wa Jimbo Katoliki Wau, Sudan ya Kusini amefariki dunia nchini Ujerumani tarehe 6 Machi 2017

Askofu Rudolf Deng Majak wa Jimbo Katoliki Wau, nchini Sudan ya Kusini amefariki dunia akiwa nchini Ujerumani alikokuwa amekwenda kupata matibabu, hapo tarehe 6 Machi 2017.

Askofu Rudolf Deng Majak wa Jimbo Katoliki la Wau amefariki dunia!

08/03/2017 11:17

Marehemu Askofu Rudolf Deng Majak wa Jimbo Katoliki Wau alizaliwa kunako mwaka 1946, akaparishwa mwaka 1970 na Askofu Ireneo Dud. Katika maisha yake licha ya huduma Parokiani, aliwahi kuwa Katibu mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Sudan, Gombera na Makamu Askofu Jimbo Katoliki Wau.

 

Kardinali Polycarp Pengo, Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Dar es Salaam.

Kardinali Polycarp Pengo, Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Dar es Salaam.

Jimbo kuu la Dar es Salaam lapata "majembe mapya matatu"

08/07/2015 11:05

Askofu msaidizi Titus Mdoe wa Jimbo kuu la Dar es Salaam amewataka wakleri kujiandaa vyema katika mahubiri yao ili kuwalisha waamini wao chakula cha kiroho kitakachowawezesha kulitafakari na hatimaye kulimwilisha Neno la Mungu katika maisha yao kama njia ya kuyatakatifuza malimwengu.