Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Geneva, Uswiss

Kanisa katoliki linajitahidi katika kutekeleza malengo endelevu ya  SDGs ya ajenda 2030

Kanisa katoliki linajitahidi katika kutekeleza malengo endelevu ya SDGs ya ajenda 2030

Kanisa katoliki katika kutekeleza malengo endelevu ya SDGs ya ajenda 2030

26/06/2018 16:00

Askofu Mkuu Ivan Jurkovic, mwakilishi wa kudumu wa Vatican katika ofisi za Umoja wa Mataifa mjini Geneva ametoa hotuba yake tarehe 25 Juni 2018 katika kikao cha 38 kitengo cha  haki za Binadamu,katika kikao cha  mada ya haki ya mafunzo,na kuonesha  juhudi za Kanisa Katoliki kwa mashule

 

kwa mujibu wa UNCTAD na UNECA Afrika inahitaji mabadiliko ya miundo ya uchumi wao !

kwa mujibu wa UNCTAD na UNECA Afrika inahitaji mabadiliko ya miundo ya uchumi wao !

kwa mujibu wa UNCTAD na UNECA:Mabadiliko ya miundo ya uchumi inatakiwa Afrika

22/06/2018 14:34

Mkutano wa Umoja wa Mataifa juu ya Biashara na Maendeleo (UNCTAD),na tume ya Umoja wa Mataifa ya uchumi barani Afrika,UNECA daima imekuwa ikisisitiza kwamba ili kufikia Malengo ya Maendeleo endelevu ya kuimarisha Afrika inahitaji mabadiliko makubwa ya miundo ya uchumi wao.

 

 

 

 

Papa Francisko katika Ibada ya Misa Takatifu ametafakari kuhusu: Sala ya Baba Yetu Uliye mbinguni.

Papa Francisko katika Ibada ya Misa Takatifu mjini Geneva ametafakari kuhusu: Sala ya Baba Yetu uliye mbinguni.

Papa Francisko: Sala ya Baba Yetu: Baba! Chakula na Msamaha wa kweli!

22/06/2018 10:00

Baba Mtakatifu Francisko katika Ibada ya Misa Takatifu mjini Geneva, amefafanua kwa kina na mapana Sala ya Baba Yetu kwa kukazia: Baba Yetu kuwa ni ufunguo wa Sala kuu aliyofundisha Kristo Yesu; Umuhimu wa kuomba mahitaji ya kila siku pamoja na kusamehe kama sharti la kupokea msamaha na neema.

Papa Francisko anaishukuru sana familia ya Mungu nchini Uswiss kwa moyo wa upendo na ukarimu!

Papa Francisko anaishukuru sana familia ya Mungu nchini Uswiss kwa moyo wa upendo na ukarimu.

Papa Francisko aishukuru familia ya Mungu Uswiss kwa moyo wa ukarimu

22/06/2018 09:47

Mji wa Geneva nchini Uswiss una umaarufu wake katika medani za kimataifa kwani huu ni mji ambamo kuna Makao makuu ya Mashirika ya Kimataifa. Baba Mtakatifu amelitaja Shirika la Kazi Duniani ambalo mwaka 2019 linaadhimisha Jubilei ya Miaka 100 tangu kuanzishwa kwake, lakini changamoto zipo kibao!

Wakristo wanahamasishwa: Kutembea, Kusali na Kushirikiana kwa pamoja!

Wakristo wanahamasishwa: Kutembea, Kusali na Kushirikiana kwa pamoja.

Papa Francisko: Wakristo wanapaswa: Kutembea, Kusali na Kushirikiana

21/06/2018 17:38

Baba Mtakatifu Francisko katika hotuba yake kwenye Mkutano wa Kiekumene, amekazia kwa namna ya pekee kabisa umuhimu wa Wakristo kutembea, kusali na kushirikiana, ili kuwapeleka watu kwa Kristo Yesu; kwa kujenga na kudumisha umoja na udugu katika sala na huduma kwa maskini!

Majadiliano ya kiekumene: Ushuhuda wa kiinjili; huduma kwa maskini na changamoto mamboleo.

Majadiliano ya kiekumene: Ushuhuda wa Injili, huduma kwa maskini na wanyonge pamoja na mshikamano katika kupambana na changamoto mamboleo.

Jubilei ya Miaka 70 Baraza la Makanisa Ulimwenguni: Ushuhuda na huduma

19/06/2018 14:37

Majadiliano ya kiekumene ni mchakato unaotaka kuratibu tofauti za Makanisa katika: uelewa wa kitaalimungu, kiliturujia na kitasaufi, ili kuwa na mwelekeo mpya utakaosaidia kuganga na kuponya majereha yaliyosababisha mpasuko wa Kanisa, tayari kushikamana ili kushuhudia kweli za Kiinjili kwa pamoja!

Waraka wa Baraza la Makanisa Ulimwenguni uko tayari kuwakilishwa katika Mkutano Kuu utakao fanyika mjini Geneva 21 Juni 2018

Waraka wa Baraza la Makanisa Ulimwenguni uko tayari kuwakilishwa katika Mkutano Kuu utakao fanyika mjini Geneva 21 Juni 2018

Waraka wa Baraza la Makanisa duniani uitwao,tunaitwa kubadili matendo!

04/06/2018 13:08

Shirikisho la Kiluteri duniani na Shirikisho la mshikamano wa matendo na Baraza la Kiekumene la Makanisa watia saini kwa Waraka  uitwao:Tunaitwa kubadili matendo. Ushemasi wa kiekumeni. ni Waraka ambao utawakilishwa katika kamati kuu ya Baraza la Makanisa Ulimwenguni mjini Geneva. 

 

 

Akofu Mkuu Jurkovick amehtubia katika mkutano unao husu Mkakati kwa Afya ya wanawake, watoto na vijana waliopevuka ambao ulianzishwa mwaka 2016-2030.

Akofu Mkuu Jurkovick amehtubia katika mkutano unao husu Mkakati kwa Afya ya wanawake, watoto na vijana waliopevuka ambao ulianzishwa mwaka 2016-2030.

Mkakati wa Kimataifa wa afya ya wanawake,watoto na vijana 2016-2030!

26/05/2018 14:37

Askofu Mkuu Ivan Jurkovick mwakilishi wa kudumuwa Vatican katika ofisi za Umoja wa Mataifa zilizoko mjini Geneva, tarehe 25 Mei 2018 ametoa hotuba yake katika kikao cha 71 kuhusu mada ya ajenda ya  mkakati wa kimataifa kwa afya ya wanawake, watoto na vijana waliopevuka 2016-2030