Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Fumbo la Upendo wa Mungu

Papa Francisko amekutana na waseminari na mapadre wanaosoma katika taasisi za kipapa mjini Roma tarehe 16 machi 2018

Papa Francisko amekutana na waseminari na mapadre wanaosoma katika taasisi za kipapa mjini Roma tarehe 16 machi 2018

Makuhani wawe na mahusiano kati yao na waongozwe na Roho Mtakatifu

16/03/2018 17:30

Papa Francisko amekutana na waseminari na mapadre wanaosoma taasisi za Kipapa mjini Roma na kuzungumza nao tarehe 16 Machi 2018.Katika mazungumzo yao amehimiza wawe na mang'amuzi,kusali mbele ya Mungu,kuwa na mahusiano na Askofu,kati yao na waamini,pia furaha

 

Papa Francisko asema, wema na huruma ya Mungu haina mipaka kwa waja wake!

Papa Francisko asema, wema na huruma ya Mungu kwa waja wake hauna mipaka hata kidogo.

Papa Francisko: Upendo na huruma ya Mungu kwa binadamu haina mipaka!

12/03/2018 11:22

Baba Mtakatifu Francisko anawaalika waamini kujenga utamaduni wa kukimbilia daima kwenye huruma ya Mungu ili kuweza kujipatanisha na Mungu pamoja na jirani zao kwa kutambua kwamba, wema, huruma na msamaha wa Mungu kwa binadamu unavuka hata ubaya na wingi wa dhambi zao!

Hekima ya Mungu inafumbatwa katika nguvu ya Msalaba wa Kristo Yesu!

Hekima ya Mungu inafumbatwa katika nguvu ya Msalaba wa Kristo Yesu.

Huruma ya Mungu ni muhtasari wa historia ya ukombozi!

09/03/2018 17:08

Kanisa linaungama na kufundisha kwamba, "kwa ajili yetu sisi wanadamu na kwa ajili wokovu wetu" Yesu aliteswa, akafa Msalabani na hatimaye akafufuka siku ya tatu kadiri ya Maandiko Matakatifu, ili kuwapatanisha watu na Baba yake wa mbinguni. Kristo Yesu ni ufunuo wa huruma na upendo wa Mungu!

 

Mungu ni kama baba anaye msubiri mtoto wake ili aweze kuzungumza naye hata kama ametenda kosa!

Mungu ni kama baba anaye msubiri mtoto wake ili aweze kuzungumza naye hata kama ametenda kosa!

Papa:Bwana hachoki kuita kila mmoja abadili maisha na kuongoka!

27/02/2018 14:00

Bwana hachoki kuita kila mmoja ili abadilishe maisha na kufanya hatua ya kwenda kwake na kuongoka. Anafanya hivyo kwa ukarimu na imani kama Baba hata sisi tufanye hivyo katika maungamo.Ni ushauri wa Baba Mtakatifu Francisko wakati wa mahubiri yake tarehe 27 Februari 2018 mjini Vatican

 

Waamini wote Ireland wanaalikwa kuandaa vema Siku ya IX ya Familia Duniani itakayo anza tarehe 21-26 Augosti 2018

Waamini wote Ireland wanaalikwa kuandaa vema Siku ya IX ya Familia Duniani itakayo anza tarehe 21-26 Augosti 2018

Ireland:Wanafamilia wanaalikwa kuandaa vema Siku ya IX ya Familia Duniani 2018

24/02/2018 10:40

Baba Mtakatifu Francisko amechagua mji wa Dublin kukaribisha Mkutano mkuu wa Siku ya IX ya Familia Duniani utakao anza tarehe 21-26 Augosti 2018 ukiongozwa na  kauli mbiu Injili ya Familia:furaha ya ulimwengu.Mkutano huo hufanyika kila baada ya miaka mitatu na hukusanya familia nyingi

 

Upendo kwa Mungu unajifunua katika upendo kwa jirani, maana Mungu anajidhihirisha  tunapopendana sisi kwa sisi

Upendo kwa Mungu unajifunua katika upendo kwa jirani, maana Mungu anajidhihirisha tunapopendana sisi kwa sisi

Upendo kwa Mungu unajifunua katika upendo kwa jirani!

30/11/2017 15:10

Mwanadamu anajifunua na kujitambua asili yake sawasawa katikati ya jamii ya mwanadamu.Dini ni mahusiano yetu wanadamu na Mungu wetu aliye mkuu sana.Mahusiano yanapata mashiko katika muunganiko wetu sisi pamoja na viumbe vyote.Upendo wetu kwa Mungu unajieleza kwa upendona jirani

 

Baba Mtakatifu ametuma ujumbe kwa washiriki wa Mkutano wa Tatu wa Kimataifa juu ya Wosia  wa  Amoris Laetitia yaani wa Furaha ya Upendo ndani ya fam

Baba Mtakatifu ametuma ujumbe kwa washiriki wa Mkutano wa Tatu wa Kimataifa juu ya Wosia wa Amoris Laetitia yaani wa Furaha ya Upendo ndani ya familia.

Upendo kati ya Mke na Mme ni moja ya uzoefu wa kuzaa matunda mema!

11/11/2017 16:59

“Ninawasilimieni ninyi nyote mnao shiriki katika Mkutano wa Tatu wa Kimataifa juu ya Wosia wa Kitume wa Amoris Laetitia yaani furaha ya Upendo,Mkutano ulioandaliwa na Ofisi ya Kichungaji ya Familia ya Baraza la Maaskofu wa Italia”.Ni maneno ya Baba Mtakatifu Francisko kwa njia ya Video

 

Upendo na Bwana ni katika uhusiano wa kina.Mahusiano haya yanapata mashiko katika muunganiko wetu sisi kwa sisi na pamoja na viumbe vyote

Upendo na Bwana ni katika uhusiano wa kina.Mahusiano haya yanapata mashiko katika muunganiko wetu sisi kwa sisi na pamoja na viumbe vyote

Tutambue ya kuwa,Upendo kwa Mungu unajifunua katika upendo kwa jirani

27/10/2017 16:14

Injili ya Dominika hii inatupatia wajibu wa upendo ili kuidhihirisha dini ya kweli,yaani kumpenda Mungu,kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa akili zako zote na katika namna iliyo sawa ni kumpenda jirani yako.Kristo anatuambia kwamba,katika amri hizi mbili hutegemea torati yote na manabii.