Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Fumbo la Ukombozi

Mtakatifu Tomaso, mwenye imani haba! Alipogusa Madonda Matakatifu akaungama "Bwana wangu, na Mungu wangu"! Safari ndefu ya imani!

Mtakatifu Tomaso, mwenye imani haba baada ya kugusa Madonda Matakatifu ya Yesu anakiri imani yake kwa kusema, "Bwana wangu na Mungu wangu". Hii ni safari ndefu ya imani katika maisha ya Mtume Tomaso.

Kitimu timu cha Tomaso mwenye imani haba kama kiatu cha raba!

05/04/2018 11:10

Baba Mtakatifu Francisko anasema imani inapaswa kuhubiriwa na kushuhudiwa kwa haraka kama walivyofanya wale wanawake, Petro Mtume pamoja na Yohane, mwanafunzi aliyependwa zaidi na Yesu! Lakini, wapo wenye imani haba kama Tomaso, wanaovumiliwa na kuonjeshwa huruma na upendo na Yesu.

 

Maadhimisho ya Fumbo la Pasaka yawawezeshe waamini kuvua utu wake uliochakaa kwa dhambi kwa kujivika utu mpya na kuanza kutembea katika Mwanga!

Maadhimisho ya Fumbo la Pasaka yawawezeshe waamini kuuvua utu wake uliochakaa kutokana na dhambi na kumvaa Kristo Yesu, Mfufuka ili kuanza kutembea katika neema ya utakaso!

Fumbo la Pasaka liwaletee uhuru kamili, haki, amani, upendo na ustawi

31/03/2018 12:35

Maadhimisho ya Fumbo la Pasaka yawe ni nyenzo muhimu ya kuwavusha waamini na watu wote wenye mapenzi mema kutoka katika utu wa kale, fikra, dhambi, uchu wa mali na madaraka; utumwa mamboleo, ufisadi na rushwa tayari kuambata uhuru kamili, haki, amani, upendo na mshikamano wa kweli!

Jumatano ya Majivu ni mwanzo wa kipindi cha Kwaresima: Siku 40 za mapambano ya maisha ya kiroho!

Jumatano ya Majivu ni mwanzo wa Kipindi cha Kwaresima, Siku 40 za Mapambano dhidi ya jangwa la maisha ya kiroho!

Kipindi cha Kwaresima: Siku 40 za utakaso, toba na wongofu wa ndani!

13/02/2018 14:54

Kipindi cha Kwaresima ni safari ya Siku 40 katika Jangwa la maisha ya kiroho ili kutafakari kwa kina kuhusu Fumbo la Ukombozi, ili hatimaye, Wakristo waweze kujikita katika ahadi zao za Ubatizo unaosimikwa katika toba na wongofu wa ndani, Sala na Neno; Matendo ya huruma na Kufunga.

 

Fumbo la Utatu Mtakatifu ni kiini cha imani ya Kanisa.

Fumbo la Utatu Mtakatifu ni kiini cha imani ya Kanisa.

Fumbo la Utatu Mtakatifu kiini cha imani ya Kanisa!

08/06/2017 16:04

Kanisa linafundisha na kusadiki kwa Mungu Mmoja, Baba Mwenyehezi, Muumba mbingu na nchi na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana; linasadiki kwa Bwana mmoja Yesu Kristo Mwana wa pekee wa Mungu aliyezaliwa bila kuumbwa mwenye umungu mmoja na Baba na kwa Roho Mtakatifu.