Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Fumbo la Ufufuko

Yesu alipaa mbinguni, amekaa kuume kwa Mungu Baba Mwenyezi.

Yesu alipaa mbinguni, amekaa kuume kwa Mungu Baba Mwenyezi.

Kristo Yesu akishakuinuliwa juu, atawavuta wote kwake!

10/05/2018 16:31

Kristo Yesu peke yake ndiye aliyetoka kwa Baba na anaweza kurudi tena kwa Baba. Hakuna mtu aliyepaa mbinguni ile Yeye aliyeshuka kutoka mbinguni, yaani Mwana wa mtu! Ubinadamu ukiachiwa katika nguvu zake za maumbile hauwezi kufika kwenye nyumba ya Baba, kwenye uzima na furaha ya milele!

 

Baba Mtakatifu Francisko anawaalika waamini kutafakari kuhusu; kusikiliza, kung'amua na kuishi kama sehemu muhimu ya safari ya wito wao kwa Yesu.

Baba Mtakatifu Francisko anawaalika waamini kutafakari kuhusu: kusikiliza, kung'amua na kuishi kama sehemu muhimu sana ya wito wao kwa Kristo Yesu.

Jumapili ya Kuombea Miito Mbali mbali ndani ya Kanisa!

20/04/2018 15:15

Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake wa 55 wa Kuombea Miito Duniani kwa Mwaka 2018 anakazia mambo makuu matatu: Kusikia, Kung'amua na Kuishi! Kutokana na uchafuzi mkubwa wa mazingira, kelele na mitindo ya maisha, waamini wanaalikwa kusikiliza kwa makini sauti ya Mungu!

Ufufuko wa Kristo Yesu ni tukio la kihistoria, lakini kutokana mateso, mitume waliguswa na kutikiswa sana, ikawa vigumu kuamini ufufuko wa Kristo.

Ufufuko wa Kristo Yesu ni tukio la kihistoria ambalo limeshuhudiwa na mitume pamoja na wafuasi wa Kristo, lakini ilikuwa ni vigumu sana kwao kuamini mara moja kutokana na mateso na kifo cha Kristo Msalabani,

Tubuni na kuongoka, ili muweze kuwa ni mashuhuda wa Kristo Mfufuka

14/04/2018 17:09

Mama Kanisa anafundisha kwamba, Fumbo la Ufufuko ni tukio la kihistoria ambalo limeshuhudiwa na Mitume pamoja na wafuasi wa Kristo waliotikiswa na kuguswa sana kutokana na mateso na kifo cha Mwalimu wao. Kumbe, haikuwa rahisi sana kusadiki mara moja kuhusu Fumbo la Ufufuko!

Kristo Mfufuka aliwaimarisha wanafunzi wake katika imani, matumaini na mapendo kwa kutembea, kuzungumza, kula pamoja na kuwapatia nafasi ya kumgusa.

Kristo Mfufuka aliwaimarisha wanafunzi wake kwa kutembea pamoja nao njiani, kuwafafanulia Maandiko Matakatifu, kula pamoja na kuwaruhusu kumgusa!

Waamini shindeni woga ili kumtangaza na kumshuhudia Kristo Mfufuka!

11/04/2018 15:44

Yesu Mfufuka alianzisha uhusiano na mafungano ya pekee na wafuasi wake waliokuwa wamegubikwa kwa hofu na mashaka makuu baada ya mateso na kifo chake Msalabani! Akatembea nao njiani ili kuwafafanulia Maandiko Matakatifu, akawaruhusu kumgusa na hatimaye kula chakula pamoja nao, wakamtambua!

 

Askofu Mkuu wa Kiorthodox Gennadios Zervos anawatakia matashi mema ya Pasaka waamini wote wa Kiorthodox

Askofu Mkuu wa Kiorthodox Gennadios Zervos anawatakia matashi mema ya Pasaka waamini wote wa Kiorthodox

Pasaka ya Kiorthodox imeadhimishwa tarehe 8 Aprili 2018 !

09/04/2018 15:45

Wakati Kanisa Katoliki limeadhimisha Pasaka tarehe 1 Aprili,baadhi ya nchi za Ulaya Mashariki,Ugiriki,Urusi,Romania,Serbia;Burgaria,Masedonia,Ukrainana nchi za Masharika Pasaka ya Kiorthodox ilikuwa ni tarehe 8 Aprili 2108.kwa Mujibu wa Askofu Mkuu Gnennadios:Upendo na umoja vinatawala!

 

Huruma ya Mungu ni muhtasari wa historia nzima ya wokovu!

Huruma ya Mungu ni muhtasari wa historia nzima ya wokovu.

Injili ya huruma ya Mungu ni kiini cha maisha na utume wa Kanisa

05/04/2018 13:16

Huruma ya Mungu ni muhtasari wa historia nzima ya ukombozi wa mwanadamu unaofikia kilele chake katika Fumbo la Msalaba, yaani: mateso, kifo na ufufuko wa Kristo Yesu kutoka kwa wafu. Baba Mtakatifu Francisko anawaalika waamini kumwilisha huruma ya Mungu katika matendo ya huruma.

 

Papa Francisko katika mahubiri yake Sherehe ya Pasaka amekazia: Mbiu ya Pasaka; Haraka ya kutangaza Fumbo la Pasaka na Mshangao wa Mungu!

Papa Francisko katika mahubiri yake kwenye Sherehe ya Pasaka amekazia kuhusu mbiu ya Fumbo la Pasaka lililowafanya watu wakaondoka kwa haraka na hatimaye, kushangazwa kwa matendo makuu ya Mungu katika maisha ya waja wake!

Papa Francisko: Tangazeni Fumbo la Pasaka kwa haraka na mshangao!

03/04/2018 08:22

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Fumbo la Pasaka ni kiini cha imani na maisha ya Kanisa. Mariamu Magdalene alienda mbio kwa haraka ili kushuhudia Fumbo la Ufufuko wa Kristo kutoka kwa wafu! Petro, Yohane na Mitume wengine, wakaona na kushangazwa na matendo makuu ya Mungu kwa waja wake!

Ni malaika aliyetoa tangazo la kwanza la Ufufuko wa Bwana kwa wanawake kaburini

Ni malaika aliyetoa tangazo la kwanza la Ufufuko wa Bwana kwa wanawake kaburini

Malkia wa Mbingu:Amefufuka ni tangazo la kwanza kutoka kwa Malaika!

02/04/2018 15:00

Jumatatu baada ya Pasaka inaitwa Jumatatu ya Malaika kwa mujibu wa utamaduni mzuri sana na ambao unatokana na chimbuko la kibiblia kuhusu Ufufuko.Ni utangulizi wa tafakari  mahubiri  ya Papa Francisko tarehe 2 Aprili 2018 katika viwanja vya Mtakatifu Petro,katika sala ya Malkia wa mbingu