Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Fumbo la Maisha ya Mungu

Papa Francisko: Yesu Mfufuka ni kiini cha imani, mapendo na matumaini ya binadamu wote!

Papa Francisko: Yesu Mfufuka ni kiini cha imani, matumaini na mapendo kwa binadanu wote!

Paulo alikuwa mtesi wa Kanisa akageuka kuwa mtangazaji wa habari njema

19/04/2017 15:54

Aliyekuwa mtesi wa Kanisa anageuka kuwa mtume, ni kwasababu gani?,yeye amemuona Yesu mzima, amemwona Yesu mfufuka.Hiyo ndiyo msingi wa imani ya Paulo,kama vile imani ya mitume wengine na kama ilivyo imani ya Kanisa  na  kama ilivyo imani yetu.Yesu amefufuka ni mzima

 

Papa Francisko anawataka wadau na wataalam wa muziki mtakatifu na liturujia kuwasaidia waamini kushiriki kikamilifu, kuelewa na hatimaye kufaidika.

Papa Francisko anawataka wadau mbali mbali kuwasaidia waamini kushiriki kikamilifu katika liturujia, kufahamu yale wanayoadhimisha ili hatimaye kufaidika na maadhimisho haya yanayowawezesha kushiriki kikamilifu katika Fumbo la maisha ya Mungu.

Papa Francisko asema: muhimu kushiriki kikamilifu na kuelewa

04/03/2017 13:56

Baba Mtakatifu anawatala wataalam wa masuala ya Muziki Mtakatifu na Liturujia ya Kanisa kuwasaidia waamini kushiriki kikamilifu katika Mafumbo ya Kanisa, kufahamu hayo wanayoshiriki, ili hatimaye, waweze kufaidika na maadhimisho haya ili kuishi kikamilifu Fumbo la maisha ya Mungu kwa mapana!