Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Fumbo la Kanisa

Papa Francisko: Maisha ya kitawa yanasimikwa katika nguzo kuu tatu: Sala, Ufukara na Uvumilivu!

Papa Francisko: Maisha ya kitawa yanasimikwa katika nguzo kuu tatu: sala, ufukara na uvumilivu.

Papa Francisko: Nguzo za maisha ya kitawa: Sala, Ufukara na Uvumilivu

05/05/2018 14:07

Baba Mtakatifu Francisko anasema licha ya mashauri ya kiinjili kama yanavyofafanuliwa na Mapokeo ya Kiinjili yaani: Utii, Usafi kamili na Ufukara, lakini leo hii changamoto kubwa kwa watawa ni kuhakikisha kwamba, wanajikita katika: sala, ufukara na uvumilivu muhimu katika maisha ya sasa!

Papa Francisko: Wosia wa kitume: Furahini na kushangilia, wito wa utakatifu katika ulimwengu mamboleo!

Papa Francisko. Wosia wa kitume: Furahini na kushangilia, wito wa utakatifu katika ulimwengu mamboleo.

Papa: Wosia wa kitume: Furahini na kushangalia, wito wa utakatifu!

10/04/2018 15:42

Baba Mtakatifu Francisko katika Wosia wake wa Kitume "Gaudete et exsultate" yaani "Furahini na kushangilia, wito wa utakatifu wa maisha, anawaalika waamini na watu wote wenye mapenzi mema kufurahi na kushangilia katika Kristo Yesu, chemchemi ya maisha na furaha ya kweli katika utakatifu!

Kwenda Misa maana yake ni kuishi  zaidi ushuhuda wa kikristo!

Kwenda Misa maana yake ni kuishi zaidi ushuhuda wa kikristo!

Katekesi:Papa anashukuru Mungu kugundua nini maana ya Misa!

04/04/2018 14:48

Baba Mtakatifu Francisko amemalizia katekesi akimshukuru Mungu kwa safari ya ugunduzi wa Misa Takatifu kwa maana tumezawadia naye ili kutimiza pamoja na kuacha kuvutiwa na imani iliyo pyaishwa katika kukutana na  Yesu wa kweli, aliyekufa na kufufuka kwa kwa ajili yetu na kwa wakati wetu!

 

Kwaresima iwe ni fursa ya kutafakari mateso na kifo cha Kristo! Msalabani, ili kuonesha toba na wongofu wa ndani!

Kwaresima iwe ni fursa ya kutafakari mateso, kifo na ufufuko ili kuonesha toba na wongofu wa ndani, tayari kusimama kidete kulinda, kutetea na kudumisha: haki, amani na maridhiano kati ya watu.

Wakristo fungeni na kusali katika roho na kweli!

24/02/2018 09:25

Kwaresima ni kipindi cha kusali, kufunga, kutafakari na kutenda matendo ya huruma kwa maskini na wahitaji zaidi. Hiki ni kipindi muafaka kwa ajili ya maandalizi ya adhimisho la Fumbo la Pasaka, yaani: mateso, kifo na ufufuko wa Kristo kutoka kwa wafu. Hata leo hii kuna bado watu wanateseka!

Waamini wanapaswa kushikamana na Kristo katika sala na huduma kama ushuhuda wa imani tendaji!

Waamini wanapaswa kushikamana na Kristo Yesu katika sala na huduma kama kielelezo cha ushuhuda wa imani tendaji!

Mbinu mkakati wa uinjilishaji mpya unaojikita katika ushuhuda makini!

28/12/2017 07:51

Ili kuweza kujenga na kudumisha mchakato wa uinjilishaji mpya wenye tija na mafanikio makubwa kuna haja kwa Wakristo kufahamu mafundisho tangu ya Kanisa; kujikita katika umoja, upendo na mshikamano katika sala na huduma inayomwilishwa katika matendo ya huruma: kiroho na kimwili hasa kwa maskini!

Ina ya Nne ya Upendo  ni upendo wa kimungu. Huu huitwa agape. Ni upendo anaouonesha Mungu kwa viumbe vyake vyote.

Ina ya Nne ya Upendo ni upendo wa kimungu. Huu huitwa agape. Ni upendo anaouonesha Mungu kwa viumbe vyake vyote.

Ni ukweli usiopingika kwamba wewe unapendwa nawe basi penda!

28/10/2017 09:28

Ni ukweli usiopingika kwamba Upendo ndio neno linaloongelewa zaidi kuliko maneno mengine yoyote.Tunalisikia katika mahubiri,ushauri,wosia, nyimbo, kazi za wasanii na maeneo mengine mbalimbali.Pamoja na kuzungunzwa zaidi, upendo huo ni kitu kinachokosekana zaidi ya vingine katika maisha