Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Familia ni kitovu cha uinjilishaji mpya

Papa Francisko: familia ni kiini cha imani, faraja, mapendo na matumaini mapya!

Papa Francisko: familia ni kiini cha imani, mapendo, faraja na matumaini mapya!

Papa Francisko: Familia ni kitovu cha faraja, imani na matumaini!

25/05/2018 14:26

Baba Mtakatifu Francisko anasema, familia ni jumuiya ya kwanza ambamo mtu anajifunza kupenda na kupendwa; mahali pa kurithisha imani na matendo mema. Familia ni kiini na chemchemi ya upendo na faraja; ni mahali pa kukuza na kudumisha amani; kwa kushikamana na kusaidiana katika ukweli wote!

Askofu Flavian Matindi Kassala wa Jimbo Katoliki Geita anasema, familia ni kitovu cha malezi ya kiutu, kijamii na maisha ya kiroho.

Askofu Flavian Matindi Kassala wa Jimbo Katoliki Geita anasema, familia ni kitovu cha malezi na majiundo ya kiutu, maisha ya kiroho na kitamaduni.

Askofu Kassala: familia ni chemchemi ya malezi na majiundo ya kiutu

19/05/2018 14:10

Familia ni Kanisa dogo la nyumbani, shule ya utakatifu, haki, amani, upendo na maridhiano. Ni mahali pa kwanza kabisa pa kukuza na kudumisha tunu msingi za maisha ya kiutu, maisha ya kiroho, kijamii na kitamaduni. Familia ni mahali pa kutakatifuzana katika ndoa! Ni shule ya huruma na upendo.