Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Familia ni Kanisa dogo la nyumbani

Papa Francisko anawataka waamini kuimarisha familia ili ziwe Makanisa ya Nyumbani kwa kujikita katika: Neno, Injili ya uhai na upendo kwa Kanisa.

Papa Francisko anawataka waamini kujenga familia kama Makanisa ya Nyumbani kwa kujikita katika: Neno la Mungu, Injili ya uhai na upendo kwa Kanisa.

Papa Francisko: Pandikizeni mbegu ya Injili ya upendo na ukarimu!

24/03/2018 14:38

Baba Mtakatifu anawataka waamini kujenda na kudumisha tunu msingi za maisha ya kiroho na kiutu ili familia zao ziweze kuwa ni "Makanisa ya Nyumbani" yanayojikita katika: Neno la Mungu, Upendo kwa Kanisa na huduma makini kwa ajili ya Injili ya uhai dhidi ya utamaduni wa kifo!

Familia ni Kanisa dogo la nyumbani, shule ya haki, amani na utakatifu wa maisha!

Familia ni Kanisa dogo la nyumbani ni shule ya haki, amani, upendo na mshikamano wa kidugu!

Sherehe ya Familia Takatifu: Leleni watoto wenu katika upendo na utu!

28/12/2017 14:34

Waamini walei watambue kwamba, wanawajibika kuinjilisha, kutakatifuza sanjari na kufanya bidii katika kufundisha na kurithisha imani, maadili na utu wema kwa watoto wao kwa kutambua kwamba, familia ni Kanisa dogo la nyumbani, shule ya sala, haki, amani, upendo na mshikamano wa kidugu!

Familia ni shule ya maisha inayofumbatwa katika elimu ya udugu, ukarimu, huruma na upendo!

Familia ni shule ya maisha inayofumbatwa katika elimu ya udugu, ukarimu na upendo.

Dumisheni tunu msingi za maisha ya ndoa na familia!

01/07/2017 16:03

Monsinyo Dario Eduardo Viganò anasema familia ni shule ya maisha inayofumbatwa katika elimu ya udugu, ukarimu na upendo. Familia ni mahali pa huruma na faraja; mahali pa kujisadaka bila ya kujibakiza, ni Kanisa dogo la nyumbani, linalokabiliwa na changamoto pevu za malezi na makuzi bora!

Wazazi wanapaswa kutekeleza vyema dhamana na wajibu wao katika malezi.

Wazazi wanapaswa kutekeleza vyema dhamana na wajibu wao katika malezi na makuzi ya watoto wao, ili taifa liweze kupata raia wema, watakatifu na wachamungu!

Wazazi tekelezeni vyema dhamana yenu ili Jamii ipate watoto waadilifu

19/06/2017 15:13

Wazazi wanapaswa kutekeleza vyema dhamana na wajibu wao katika malezi na makuzi ya watoto ili hatimaye, watoto hawa waweze kuwa kweli ni wachamungu, waadilifu na raia wema, watakaoweza hapo baadaye kusimamia tunu msingi za maisha ya kiroho, kiutu na kijamii!

 

Familia bado ni sehemu ya Habari Njema ya Wokovu kwa walimwengu anasema Papa Francisko!

Familia bado ni sehemu ya Habari Njema ya Wokovu anasema Papa Francisko katika barua yake kwa Maaskofu Katoliki sehemu mbali mbali za dunia kama sehemu ya maandalizi ya Siku ya Tisa ya Familia Duniani, itakayoadhimishwa mwaka 2018 huko Dublin, nchini Ireland.

Iweni mashuhuda na vyombo vya Injili ya familia duniani!

20/04/2017 08:45

Baba Mtakatifu Francisko anaendelea kuwamasisha waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kutambua kwamba, familia bado ni sehemu muhimu sana ya Habari Njema inayopaswa kutangazwa na kushuhudiwa ulimwenguni kwa kujikita katika tunu msingi za maisha ya kifamilia!