Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

familia

Mshikamano wa vijana wafanyakazi katoliki nchini Malawi (YCW)kuendeleza juhudi katika kuwasaidia wenye shida

Mshikamano wa vijana wafanyakazi katoliki nchini Malawi (YCW)kuendeleza juhudi katika kuwasaidia wenye shida

Mshikamano wa Vijana katoliki nchini Malawi wasaidia familia hitaji!

27/04/2018 15:42

Mshikamano wa wakristo kwa ajili ya wenye shida na walio wa mwisho katika jamii daima unazidi kujizatiti kwa dhati katika nchi maskini kama Malawi,mahali ambapo chama katoliki cha vijana wafanyakazi wa jimbokKuu la Blantyre hivi karibuni wameweza kutoa zawadi ya nyumba kwa familia moja ya shida

 

Katika kuadhimisha Sikukuu ya Wafanyakazi Mei Mosi 2018 Baraza la Maaskofu Italia wameandika waraka wao kuhusu hadhi ya mtu kuhusiana na kazi

Katika kuadhimisha Sikukuu ya Wafanyakazi Mei Mosi 2018 Baraza la Maaskofu Italia wameandika Ujumbe wao kuhusu hadhi ya mtu kuhusiana na kazi

Ujumbe wa Mei Mosi wa Baraza la Maaskofu Italia kuhusu hadhi ya Mtu!

12/04/2018 16:30

Hadhi ya mtu haiwezi kuwa na maana ya kubadilishwa kama fedha, badala yake ni kujumuishwa katika ule mzunguko wa umoja kwa upande wa haki na uwezo ambao ni suala nyeti la kila jamii.Ni uthibitisho kutoka katika Ujumbe wa Tume ya Maaskofu Italia kwa tukio la sikukuu ya Mei Mosi 2018

 

 

Mapatriaki na Viongozi wa Makanisa Yerusalemu wametoa ujumbe wao wa Pasaka 2018

Mapatriaki na Viongozi wa Makanisa Yerusalemu wametoa ujumbe wao wa Pasaka 2018

Mapatriaki na Viongozi wa Makanisa Yerusalemu wametoa ujumbe wa Pasaka!

31/03/2018 15:01

Maombi kuelekeza kwa Mungu kwa ajili ya watu ambao wanatembea katika njia ya msalaba,wanaoteseka kanda ya nchi Takatifu na dunia nzima,katika ukimya;wakimbizi na wanaoomba makazi, wamhamiaji na wote wanao pambania haki na mapatano:Ujumbe wa Mapatriaki na wakuu wa Makanisa

 

Maaskofu nchini Italia wanahimiza viongozi wa siasa waliochaguliwa kufanya kazi kwa ajili ya kutuliza kilio cha raia wake

Maaskofu nchini Italia wanahimiza viongozi wa siasa waliochaguliwa kufanya kazi kwa ajili ya kutuliza kilio cha raia wake

Kard.Bassetti:Italia kwa sasa inahitaji kuishi undugu na upendo zaidi!

22/03/2018 15:27

Tarehe 19-21 Baraza la Maaskofu Italia wamefanya mkutano wao na wakati wa hitimisho la mkutano huo,Kardinali Gualtiero Mwenyekiti wa Baraza hilo na Katibu Askofu Glantino wametoa taarifa yao ya mwisho.Kard.Bassettti  amejikita katika mada nyingi,hasa uchaguzi kisiasa,vijana familia na ajira

 

Noeli ni sikukuu ya kufanya lolote ili janga la historia linakwisha kama vile la familia wasio kuwa na ajira, nyumba za kuishi, vijana na whamiaji

Noeli ni sikukuu ya kufanya lolote ili janga la historia linakwisha kama vile la familia wasio kuwa na ajira, nyumba za kuishi, vijana wasiokuwa na upeo,wazee na wahamiaji

Noeli ni sikukuu iwapo kuna mshikamano wa kuondoa majanga ya historia

27/12/2017 14:08

Kutakiana heri za Noeli ni kutakiana matumaini na kuwa na shauku kubwa ya kwamba historia ya uchungu na ugumu wa maisha ambayo mara nyingi binadamu anakabiliana nayo iweze kuisha.Ni maneno ya Kardinali Francesco Montenegro ambaye ni Askofu mkuu wa Jimbo Kuu la Agrigento Italia

 

Jumuiya ya Mt.Egidio katika harakati za kusaidia maskini,wazee na wenye shida ili washiriki meza ya Sikuu ya kuzaliwa kwa Bwana

Jumuiya ya Mt. Egidio katika harakati za kusaidia maskini, wazee na wenye shida ili washiriki Meza ya Sikuu ya kuzaliwa kwa Bwana

Jumuiya ya Mt.Egidio:Ongeza kiti mezani siku ya Kuzaliwa kwa Bwana!

13/12/2017 15:43

Kusheherekea Krismasi na maskini,wasiokuwa na makazi,familia zenye shida na wazee ndiyo lengo la Jumuiya ya Mt.Egidio kuandaa chakula cha mchana tarehe 25 Desemba 2017.Na ndiyo maana ya kampeni ya kukusanya fedha yenye kauli mbiu,Ongeza kiti mezani siku ya Krismasi mwezi Desemba 

.

 

Baba Mtakatifu ametuma ujumbe kwa washiriki wa Mkutano wa Tatu wa Kimataifa juu ya Wosia  wa  Amoris Laetitia yaani wa Furaha ya Upendo ndani ya fam

Baba Mtakatifu ametuma ujumbe kwa washiriki wa Mkutano wa Tatu wa Kimataifa juu ya Wosia wa Amoris Laetitia yaani wa Furaha ya Upendo ndani ya familia.

Upendo kati ya Mke na Mme ni moja ya uzoefu wa kuzaa matunda mema!

11/11/2017 16:59

“Ninawasilimieni ninyi nyote mnao shiriki katika Mkutano wa Tatu wa Kimataifa juu ya Wosia wa Kitume wa Amoris Laetitia yaani furaha ya Upendo,Mkutano ulioandaliwa na Ofisi ya Kichungaji ya Familia ya Baraza la Maaskofu wa Italia”.Ni maneno ya Baba Mtakatifu Francisko kwa njia ya Video

 

Mfumo wa elimu, unapaswa kupewa kipaumbele na kutetewa kikatiba na katika utendaji, siyo kwa maneno matupu yasiyovunja mfupa

Mfumo wa elimu, unapaswa kupewa kipaumbele na kutetewa kikatiba na katika utendaji, siyo kwa maneno matupu yasiyovunja mfupa.

Ask.Galantino:Ubora wa elimu unaotolewa na Kanisa unapendwa na wazazi

25/10/2017 16:29

Askofu Galantino anasema,ubora wa elimu unaotolewa na Kanisa,unadhihilishwa wazi na wingi wa wazazi wanaopenda kupeleka vijana wao katika shule na taasisi za Kanisa,hata inapowalazimu wazazi kujibana sana kiuchumi ili kufanikisha nia yao hiyo.Hivyo ipo haki na uhuru wa wazazi kuchagua mfumo