Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Fadhila ya imani

Wakristo wanapaswa kushika imani, kuiungama, kuishuhudia, kuitangaza na kuwashirikisha wengine!

Wakristo wanapaswa kushika imani, kuitangaza, kuishuhudia na kuwashirikisha wengine, wakiwa tayari hata kubeba Misalaba ya maisha yao, tayari kumfuasa Kristo Yesu.

Yesu Kristo anakataliwa nyumbani kwao Nazareti! Maamuzi mbele!

06/07/2018 07:46

Mkristo hatakiwi kushika imani tu na kuiishi, bali anapaswa kuitangaza, kuishuhudia na kuieneza pamoja na kuwa tayari kumfuasa Kristo Yesu katika Njia ya Msalaba, kati ya madhulumu ambayo hayakosekani kamwe katika Kanisa! Huduma na ushuhuda ni muhimu sana kwa wokovu wa binadamu!

 

Imani kwa Kristo Yesu ni chemchemi ya uhai na maisha mapya anasema Baba Mtakatifu Francisko!

Imani kwa Kristo Yesu ni chemchemi ya uhai na maisha mapya kutoka kwa Kristo Yesu, anasema, Baba Mtakatifu Francisko.

Papa Francisko asema: Imani kwa Kristo ni chemchemi ya maisha mapya!

02/07/2018 10:49

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Mwinjili Marko anaweka tukio la Yesu kumponya Binti Yairo na yule mwanamke mgonjwa aliyekuwa anatokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili, kuwa ni safari ya kishindo kuendelea Injili ya uhai na maisha mapya yanayobubujika kutokana na imani kwa Kristo Yesu!

Kwa njia ya Fumbo la Pasaka, Kristo Yesu ameshinda dhambi, kifo na mauti!

Kwa njia ya Fumbo la Msalaba, Kristo Yesu ameshinda dhambi, kifo na mauti!

Kristo Yesu ameshinda dhambi, kifo na mauti!

30/06/2018 17:18

Kwa njia ya maisha, mahubiri na matendo yake yote, Yesu anatangaza na kushuhudia kwa njia ya miujiza, maajabu na ishara nyingi kwamba, ndani mwake kuna Ufalme wa Mungu na kwamba, yote haya yanashuhudia kuwa Yesu ndiye Masiha aliyetangazwa, ambaye ameshinda dhambi, kifo na mauti!

 

Mateso na kifo ni kati ya changamoto zinazomkabili mwanadamu, mwaliko wa kuliangalia Fumbo la Pasaka!

Mateso na kifo ni ya changamoto zinazomwandama mwanadamu, changamoto ni kuangalia Fumbo la Pasaka kwa imani na matumaini.

Tafakari ya Neno la Mungu: Fumbo la mateso na kifo katika maisha!

30/06/2018 07:16

Tafakari ya Neno la Mungu, Jumapili ya XIII ya Kipindi cha Mwaka B wa Kanisa ni mwaliko wa kutafakari kwa kina na mapana mambo makuu katika maisha ya mwanadamu: magonjwa na hatimaye kifo; kwamba, haya ni matokeo ya dhambi ya asili, lakini Kristo Yesu ameibuka kidedea kwa Fumbo la Pasaka!

Waamini wanahimizwa kujikita katika imani kwa Kristo na Kanisa lake, hasa nyakati za majaribu na majanga ya maisha!

Waamini wanahimizwa kujikita katika imani kwa Kristo na Kanisa lake hasa wakati wa majaribu na majanga ya maisha!

Utukufu wa Mungu na ukuu wa binadamu katika kazi ya uumbaji!

29/06/2018 11:12

Dunia imeumbwa kwa ajili ya utukufu wa Mungu na kielelezo makini cha upendo wake usiokuwa na kifani. Mwenyezi Mungu yuko juu ya Uumbaji na yupo kwa ajili yake ili kuvihifadhi na kuvidumisha vitu vyote! Pamoja na uzuri wa kazi ya uumbaji, lakini pia kuna ubaya unaojitokeza, yaani uwepo wa dhambi!

Masalia ya Mtakatifu Yohane XXIII huko Bergamo aliko zaliwa kuanzia 24 Mei hadi 10 Juni 2018

Masalia ya Mtakatifu Yohane XXIII huko Bergamo aliko zaliwa kuanzia 24 Mei hadi 10 Juni 2018

Hija ya Masalia ya Mtakatifu Yohane XXIII huko Bergamo alikozaliwa!

22/05/2018 12:59

Kardinali Angelo Conastri, Askofu Mkuu wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro,ametoa tafakari fupi kwa njia ya video,kuhusiana na sura na hija ya masalia ya Papa Yohane XXIII  ambayo yatakuwa huko Bergamo alikozaliwa kuanzia tarehe 24 Mei hadi 10 Juni 2018.Waamini wanasubiri kwa shauku kubwa!

 

Papa Francisko: Parokia inapaswa kuwa ni kitovu cha uinjilishaji na ushuhuda wa upendo wa Mungu.

Papa Francisko: Parokia inapaswa kuwa ni kitovu cha uinjilishaji na ushuhuda wa imani inayomwilishwa katika matendo.

Parokia inapaswa kuwa ni kitovu cha ushuhuda na uinjilishaji wa kina

07/05/2018 14:49

Baba Mtakatifu Francisko anawataka viongozi mbali mbali wa Kanisa kuhakikisha kwamba, wanaboresha mazingira ili kweli Parokia iweze kuwa ni kitovu cha ushuhuda wa imani tendaji na mahali pa uinjilishaji wa kina unaogusa mahitaji ya mtu mzima: kiroho na kimwili, kielelezo cha upendo wa Mungu!

Furaha ya kweli inajengwa katika: upendo, urafiki na mahusiano mema na Kristo Yesu

Furaha ya kweli inajengwa katika upendo na mahusiano mema yanayoibua chemchemi ya maisha mapya!

Kristo Yesu ni rafiki wa kweli na chanzo cha maisha mapya!

02/05/2018 14:13

Tafakari ya Neno la Mungu, Jumapili ya VI ya Kipindi cha Pasaka ni mwaliko kwa waamini kujenga na kudumisha urafiki wa kweli na Kristo Yesu, chanzo na chemchemi ya maisha mapya, yanayowasukuma waamini kumpenda Mungu pamoja na jirani zao kama Kristo Yesu alivyowapenda wao!