Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Ethiopia

Familia ya Mungu nchini Ethiopia na Eritrea ina mshukuru Mungu kwa mchakato wa haki, amani na upatanisho kati ya nchi hizi mbili.

Familia ya Mungu nchini Ethiopia na Eritrea ina mshukuru Mungu kwa mchakato wa haki, amani na upatanisho kati ya nchi hizi mbili.

Ethiopia na Eritrea katika mchakato wa amani na upatanisho!

14/07/2018 17:12

Baba Mtakatifu Francisko anaungana na familia ya Mungu nchini Eritrea na Ethiopia kumshukuru Mungu kwa jitihada zinazofanywa na viongozi wa Serikali hizi mbili kuanzisha tena mchakato wa haki, amani na upatanisho, ili kusonga mbele kwa ajili ya ustawi, maendeleo na mafao ya wengi!

Papa Francisko apongeza juhudi za majadiliano ya amani kati ya Eritrea na Ethiopia

Papa Francisko apongeza juhudi za majadiliano ya amani kati ya Ethiopia na Eritrea.

Papa Francisko apongeza majadiliano ya amani huko Pembe ya Afrika!

02/07/2018 11:16

Baba Mtakatifu Francisko mara baada ya Sala ya Malaika wa Bwana, Jumapili Mosi, Julai 2018 ameyaelekeza mawazo na sala zake kwa familia ya Mungu nchini Nicaragua ili demokrasia iweze kushika mkondo wake; Siria ili kuwapunguzia mateso na kwamba, kuna matumaini ya amani huko Pembe ya Afrika.

Askofu Mkuu Markos Gebremedhin, amesema wafuasi wa Kristo wamepewa jukumu la kulinda watoto, wakati wa uzinduzi wa Siasa za utetezi wa watoto

Askofu Mkuu Markos Gebremedhin, amesema wafuasi wa Kristo wamepewa jukumu la kulinda watoto, wakati wa uzinduzi wa Siasa za utetezi na ulinzi wa watoto nchini Ethiopia

Maaskofu Ethiopia: Mungu ametoa jukumu kwa wafuasi kulinda watoto !

07/06/2018 14:06

Mwakilishi wa Kitume huko Jimma Bonga nchini Ethiopia, Askofu Mkuu Markos Gebremedhin,(CM) wakati wa uzinduzi rasmi wa Siasa ya utetezi na ulinzi wa watoto kwa upande wa Kanisa Katoliki amesema, wafuasi wote wa Kristo wamepewa jukumu la kulinda na kusaidia makuzi ya watoto katika dunia 

 

Dr. Abdallah Saleh Possi, Balozi wa Tanzania mjini Vatican amewasilisha hati zake za utambulisho kwa Baba Mtakatifu Francisko.

Dr. Abdallah Saleh Possi, Balozi wa Tanzania mjini Vatican amewasilisha hati zake za utambulisho kwa Baba Mtakatifu Francisko, tarehe 17 Mei 2018.

Dr. Abdallah Saleh Possi awasilisha hati za utambulisho mjini Vatican

17/05/2018 17:00

Dr. Abdallah Saleh Possi kutoka Tanzania, Balozi Retselisitsoe Calvin Masenyetse kutoka Lesotho pamoja na Balozi Ali Sulaiman Mohammed kutoka Ethiopia, wote kutoka Barani Afrika ni kati ya Mabalozi wapya waliowasilisha hati zao za utambulisho kwa Baba Mtakatifu Francisko, Alhamisi, 17.5.2018.

Papa Francisko, Alhamisi, tarehe 17 Mei 2018 amepokea hati za utambulisho kutoka kwa mabalozi wasio wakazi.

Papa Francisko, Alhamisi tarehe 17 Mei 2018 amepokea hati za utambulisho kutoka kwa Mabalozi wa Tanzania, Lesotho, Mongolia, Denmark, Ethiopia na Finland.

Papa Francisko apokea hati za utambulisho kutoka kwa Mabalozi wapya

17/05/2018 17:00

Mabalozi wapya wasio wakazi kutoka Tanzania, Lesotho, Pakistan, Mongolia, Denmark, Ethiopia na Finland, Alhamisi, tarehe 17 Mei 2018 wamewasilisha hati zao za utambulisho kwa Baba Mtakatifu Francisko mjini Vatican ambaye amekazia umoja na mshikamano ili kukabiliana na changamoto mamboleo.

Baraza la Maaskofu Katoliki Ireland linakusanya fedha ili kuwasaidia waathirika wa vita, njaa na ukame wa kutisha Barani Afrika.

Baraza la Maaskofu Katoliki Ireland linakusanya fedha kwa ajili ya kuwasaidia watu milioni 25 walioathirika kwa vita, njaa na ukame wa kutisha nchini Kenya, Sudan ya Kusini, Somalia na Ethiopia.

Mshikamano wa udugu na upendo kwa watu wanaoteseka kwa njaa Afrika

12/07/2017 10:14

Baraza la Maaskofu Katoliki Ireland kwa kuguswa na mateso pamoja na mahangaiko ya wananchi zaidi ya milioni 25 wanaoteseka kwa baa la njaa, utapiamlo na ukame wa kutisha nchini Kenya, Sudan ya Kusini, Somalia na Ethiopia limeamua kuchangisha fedha ili kuokoa maisha ya watu hawa wanaoteseka!