Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Elimu makini

Papa Francisko, amekutana na kuzungumza na watoto wanaoishi katika mazingira magumu na hatarishi kwa kukazia elimu na malezi bora!

Papa Francisko amekutana na kuzungumza na watoto wanaoishi katika mazingira magumu na hatarishi kwa kukazia umuhimu wa malezi na elimu kwa makuzi na malezxi ya waoto.

Watoto wanaoishi katika mazingira magumu wakutana na Papa! Yaani...!

11/06/2018 13:50

Baba Mtakatifu Francisko amekutana na kuzungumza na watoto wanaotoka katika mazingira magumu na hatarishi. Amekazia umuhimu wa familia na shule kama vitovu muhimu kwa malezi na makuzi ya watoto. Amewataka watoto kujikita zaidi katika elimu, ili kutumia vyema akili, nyoyo na mikono hayo!

Papa Francisko anawataka vijana kuwa na ujasiri na ari ya kuthubutu kupambana na hali na mazingira katika maisha yao kwa njia ya elimu!

Papa Francisko anawataka vijana kuwa na ari na ujasiri wa kuthubutu kupambana na hali pamoja na mazingira yao kwa njia ya elimu na malezi makini!

Papa Francisko asema: Vijana hakuna kulala hadi kieleweke!

23/05/2018 06:58

Baba Mtakatifu Francisko anawataka vijana wa kizazi kipya kuwa na ujasiri kiasi hata cha kuthubutu kupambana na hali pamoja na mazingira yao, kwa kuondokana na mazoea ya kuzama katika mawazo ya kufikirika, na kuanza kula pensheni katika umri wa miaka kumi na mitano! Hatari sana!

Tume ya Kipapa ya kulinda Watoto Wadogo dhidi ya nyanyaso za kijinsia inaendelea kujielekeza katika kuwasikiliza, kuelimisha na kukazia sheria kanuni.

Tume ya Kipapa ya kulinda watoto wadogo inaendelea kujielekeza zaidi kwa kuwasikiliza waathirika, kutoa elimu na majiundo makini; kwa kukazia sheria kanuni na taratibu za kufuatwa ili kujenga mazingira safi na salama kwa watoto wadogo.

Vipaumbele vya Tume ya Kipapa ya Kulinda Watoto Wadogo!

23/04/2018 14:32

Tume ya Kipapa ya Kulinda Watoto Wadogo dhidi ya nyanyaso za kijinsia iliyoundwa kunako mwaka 2014 inaendelea kujikita katika kuwasililiza waathirika wa nyanyaso za kijinsia; kutoa elimu na majiundo makini; kukazia sheria kanuni na taratibu zinazopaswa kufuatwa, ili kujenga mazingira salama!

Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya linasema: uchu wa madaraka, umaskini, ukosefu wa ajira, rushwa na ufisadi ni kati ya changamoto kubwa kwa wakati huu

Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya linasema, kwa sasa: uchu wa mali na madaraka, ongezeko kubwa la umaskini wa kipato, rushwa na ufisadi, ukosefu wa fursa za ajira na huduma duni za Jeshi la Polisi ni kati ya changamoto kubwa zinazopaswa kuvaliwa njuga, ili kuleta maendeleo endelevu nchini Kenya.

Kenya: Changamoto: uchu wa madaraka, rushwa, umaskini na ajira

17/04/2018 09:03

Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya linasema, kati ya changamoto kubwa zinazoikabili familia ya Mungu nchini Kenya kwa sasa ni uchu wa mali na madaraka, ongezeko kubwa la umaskini, saratani ya rushwa na ufisadi, ukosefu wa ajira kwa vijana, biashara ya silaha na ajali barabarani zinatishia maisha!

Don Milani alikazia sana umuhimu wa elimu kama chombo cha kupambana na baa la njaa, umaskini na magonjwa!

Don Lorenzo Milani alikazia sana umuhimu wa elimu kuwa ni chombo makini cha kupambana na baa la njaa,umaskini na njaa duniani.

Umuhimu wa elimu katika kupambana na: ujinga, umaskini na maradhi!

12/07/2017 09:31

Don Lorenzo Milani anakumbukwa sana na Mama Kanisa kutokana na mchango wake mkubwa katika sekta ya elimu, kwani ni kiongozi aliyekazia umuhimu wa elimu kama chombo makini cha kupambana na ujinga, umaskini na maradhi; kwa kuwajengea uwezo hata watoto wa maskini!

Papa Francisko anawataka wazazi na walezi kuwajengea vijana wao moyo wa kuota ndoto na kuwa na shukrani pamoja na kukuza kipaji cha ubunifu.

Papa Francisko anawataka wazazi na walezi kuwapatia vijana wao fursa ya kuota ndoto ili kujenga moyo wa shukrani na kukuza kipaji cha ubinifu.

Papa Francisko: Vijana tambueni na kusherehekea maisha!

05/07/2017 15:54

Baba Mtakatifu Francisko anasema, shule ni mahali pa kuwafunda vijana wa kizazi kipya maana ya maisha ya kujiweka wazi kwa wale wasiowafahamu, ili kuchanganyika na hatimaye kufuatilia mbalikabisa maamuzi mbele ambayo ni chanzo cha kinzani, mipasuko ya kijamii na hatimaye vita!