Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Elimu binadamu

Nia ya Maombi ya sala kwa mwezi wa 12 ni kwa ajili ya wazee wasisahuliwe

Nia ya Maombi ya sala kwa mwezi wa 12 ni kwa ajili ya wazee wasisahuliwe

Nia ya Maombi ya sala kwa mwezi wa 12 ni kwa ajili ya wazee wasisahuliwe!

05/12/2017 15:50

Utunzaji wa wazee ni muhimu kwa kuendeleza elimu kwa kizazi endelevu.Ndiyo ujumbe mkuu wa Baba Mtakatifu Francisko kwa njia ya video akiwakilisha nia ya sala kwa mwezi wa kumi na mbli.Anasisitizia juu ya kutazama na kujifunza kutoka katika hekima ya mababu na nafasi iliyopo katika jumuiya.

 

Mfumo wa elimu, unapaswa kupewa kipaumbele na kutetewa kikatiba na katika utendaji, siyo kwa maneno matupu yasiyovunja mfupa

Mfumo wa elimu, unapaswa kupewa kipaumbele na kutetewa kikatiba na katika utendaji, siyo kwa maneno matupu yasiyovunja mfupa.

Ask.Galantino:Ubora wa elimu unaotolewa na Kanisa unapendwa na wazazi

25/10/2017 16:29

Askofu Galantino anasema,ubora wa elimu unaotolewa na Kanisa,unadhihilishwa wazi na wingi wa wazazi wanaopenda kupeleka vijana wao katika shule na taasisi za Kanisa,hata inapowalazimu wazazi kujibana sana kiuchumi ili kufanikisha nia yao hiyo.Hivyo ipo haki na uhuru wa wazazi kuchagua mfumo

 

Jiepushe na majadiliano ya kidunia na ubishi wa kipumbavu juu ya kile wanachokiita wengine “Elimu”. Maana wengine wamejidai kuwa na hiyo elimu

Jiepushe na majadiliano ya kidunia na ubishi wa kipumbavu juu ya kile wanachokiita wengine “Elimu”. Maana wengine wamejidai kuwa na hiyo elimu na matokeo yake wamepoteza imani

Papa:Jiepushe na ubishi wa kidunia, wengine wamejidai wakapoteza Imani

21/10/2017 15:26

Ninakutana nanyi katika tukio maadhimisho ya miaka 300 ya hupatikanaji wa sanamu ya Mama yetu wa Aparecida.Ni maneno ya Baba Mtakatifu Francisko Jumamosi tarehe 21 Oktoba 2017 alipokutana na Mapadre wanafunzi wa Taasisi ya Kipapa ya Pio kwa Jumuiya ya wanafunzi kutoka Brazil

 

 

Tume ya Kipapa ya Biblia inaanza mkutano wake wa mwaka tarehe 24-28 Aprili 2017.

Tume ya Kipapa ya Biblia inaanza mkutano wake wa mwaka tarehe 24-28 Aprili 2017 kwa kuangalia elimu ya binadamu mintarafu Maandiko Matakatifu.

Tume ya Kipapa ya Biblia kukutana tarehe 24-28 Aprili 2017

08/04/2017 16:07

Kardinali Gerhard Ludwig Muller na Padre Pietro Bovati ndio watakaosimamia mkutano wa Tume ya Kipapa ya Biblia inayotarajia kuanza mkutano wake wa mwaka hapo tarehe 24- 28 Aprili 2017, mkutano ambao utafanyika mjini Vatican! Elimu binadamu mintarafu Maandiko Matakatifu ndiyo mada kuu!