Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

ECOWAS

RECOWA-CERAO: changamoto kubwa: hali tete ya kisiasa; misimamo mikali ya kidini na majanga asilia.

RECOWA-CERAO: changamoto kubwa: hali tete ya kisiasa, kiuchumi na kijamii; misimamo mikali ya kidini na kiimani pamoja na athari za majanga asilia.

RECOWA-CERAO na changamoto zake Afrika Magharibi!

19/04/2017 11:12

Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Magharibi linasema, linapenda kushirikiana kwa dhati na Jumuiya ya Uchumi Afrika Magharibi,ECOWAS ili kukabiliana na changamoto zinazoendelea kujitokeza katika Nchi wanachama wa RECOWA-CERAO hasa: vitendo ya kigaidi na misimamo mikali ya kidini

Umoja wa Mataifa na ECOWAS wanatambua ushindi wa Rais mteule Adama Barrow, kumbe ataapishwa tarehe 19 Januri 2017

Umoja wa Mataifa na ECOWAS wanatambua ushindi wa Rais mteule Adama Barrow, kumbe ataapishwa tahehe 19 Januari 2017 kwa mujibu wa Katiba ya nchi.

UN yampongeza Rais mteule Adama Barrow wa Gambia!

31/12/2016 14:45

Umoja wa Mataifa unaungana na Jumuiya ya Uchumi Afrika Magharibi, ECOWAS kutambua ushindi wa Bwana Adama Barrow na kwamba, ataapishwa kwa mujibu wa Katiba ya Nchi ya Gambia tarehe 19 Januari 2016! Changamoto mbele yake ni kudumisha umoja wa kitaifa, demokrasia, haki na amani!

 

Utakatifu wa maisha na haki msingi za binadamu ni changamoto kubwa kwa wahamiaji kutoka Afrika!

Utakatifu wa maisha na haki msingi za binadamu ni changamoto kubwa kwa wakimbizi na wahamiaji kutoka Barani Afrika.

Utakatifu wa maisha na haki msingi za wakimbizi na wahamiaji!

25/04/2016 11:49

Shirikisho la Mashirika ya Misaada ya Kanisa Katoliki Ukanda wa Sahel linasema kwamba, uhamiaji, utakatifu wa maisha na haki msingi za wakimbizi na wahamiaji ni kati ya changamoto kubwa zinazoendelea kuwandama wakimbizi na wahamiaji kutoka Barani Afrika wanaotafuta usalama wa maisha yao!

 

Uchaguzi mkuu Togo! Tarehe 25 Aprili 2015

Uchaguzi mkuu Togo kufanyika tarehe 25 Aprili 2015, Kanisa kutopeleka wasimamizi wa uchaguzi.

Uchaguzi mkuu Togo: Kanisa kutopeleka watazamaji wakati wa uchaguzi

18/04/2015 10:23

Baraza la Maaskofu Katoliki Togo linasema halitapeleka watazamaji wake wakati wa zoezi la uchaguzi mkuu nchini Togo kutokana na Serikali kupuuzia mambo msingi ambayo yalilenga kudumisha misingi ya haki, amani na upatanisho wa kitaifa.