Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Dublin, Ireland

Askofu Mkuu Eamon Martin Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu wa Ireland ameelezea ratiba ya Ziara ya Papa Francisko 25-26 Agosti 2018

Askofu Mkuu Eamon Martin Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu wa Ireland ameelezea ratiba ya Ziara ya Papa Francisko 25-26 Agosti 2018

Mkutano wa Familia Duniani ni fursa ya kuadhimisha na kusaidia familia!

12/06/2018 16:18

Mkutano Mkuu wa Familia Duniani utakuwa ni fursa ya kuadhimisha, kuthibitisha, kutambua na kusaidia familia. Ni kwa mujibu wa Askofu Mkuu Eamon Martin, Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Ireland  kwa vyombo vya habari huko Maynooth tarehe 11 Juni 2018, akielezea ratiba Ziara ya Papa

 

Mfuko wa "Centesimus Annus" unasema changamoto kuu kwa sasa ni: Ukosefu wa ajira, familia na wimbi kubwa la wakimbizi na wahamiaji.

Mfuko wa "Centesimus Annus" unasema, changamoto mamboleo ni: ukosefu wa fursa za ajira, kuporomoka kwa tunu msingi za maisha ya ndoa na familia pamoja na wimbi kubwa la wakimbizi na wahamiaji duniani.

Changamoto mamboleo: Ukosefu wa ajira, Familia na Wakimbizi!

22/05/2018 07:04

Mfuko wa "Centesimus Annus" kwa ajili ya Khalifa wa Mtakatifu Petro unaadhimisha Jubilei ya Miaka 25 tangu ulipoanzishwa na Mtakatifu Yohane Paulo II kunako mwaka 1993. Changamoto mamboleo ni: ukosefu wa fursa za ajira, kuporomoka kwa tunu msingi za familia na wimbi kubwa la wakimbizi!

Waamini wote Ireland wanaalikwa kuandaa vema Siku ya IX ya Familia Duniani itakayo anza tarehe 21-26 Augosti 2018

Waamini wote Ireland wanaalikwa kuandaa vema Siku ya IX ya Familia Duniani itakayo anza tarehe 21-26 Augosti 2018

Ireland:Wanafamilia wanaalikwa kuandaa vema Siku ya IX ya Familia Duniani 2018

24/02/2018 10:40

Baba Mtakatifu Francisko amechagua mji wa Dublin kukaribisha Mkutano mkuu wa Siku ya IX ya Familia Duniani utakao anza tarehe 21-26 Augosti 2018 ukiongozwa na  kauli mbiu Injili ya Familia:furaha ya ulimwengu.Mkutano huo hufanyika kila baada ya miaka mitatu na hukusanya familia nyingi

 

Maaskofu wa Ireland kupinga maoni ya kura ya utoaji mimba

Maaskofu wa Ireland kupinga maoni ya kura ya utoaji mimba

Ireland:Wito wa Maaskofu kuhusu kupinga kura ya maoni ya utoaji mimba!

29/01/2018 15:14

Ikiwa jamii inakubali kuwa mwanadamu anayo haki ya kumaliza maisha ya mwingine,basi haiwezekani kudai haki ya maisha kama haki ya msingi ya binadamu kwa mtu yeyote.Ni maelezo ya Askofu wa Ireland,Kevin Doran (Elphin) katika ujumbe wake ili kupinga kura ya maoni ya utoaji mimba

 

Maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani kwa Mwaka 2018 yazinduliwa rasmi

Baraza la Maaskofu Katoliki Ireland limezindua rasmi maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani kwa Mwaka 2018.

Mkutano wa IX wa Familia duniani 2018 kuanza maandalizi mjini Dublin

22/08/2017 14:52

Kuanzia tarehe 21 hadi 26 Agosti 2018 Dublin utafanyika Mkutano wa IX duniani wa Familia wenye kauli mbiu “Injili ya familia:ni furaha katika Ulimwengu. Kutokana na hilo Askofu Mkuu na katibu Mkuu wamewasilisha maandalizi ya Mkutano huo katika madhabau ya taifa ya mama Maria huko Knoc

 

Baba Mtakatifu Francisko anawaalika wanandoa kutangaza na kushuhudia Injili ya familia: Furaha ya Ulimwengu

Baba Mtakatifu Francisko anawaalika wanandoa kuwa ni mashuhuda na vyombo vya Injili ya familia: furaha ya ulimwengu.

Maandalizi ya Siku ya Familia Duniani kwa Mwaka 2018 yapamba moto!

19/08/2017 15:20

Maadhimisho ya Siku ya 9 ya Familia Kimataifa kwa mwaka 2018 huko Jimbo kuu la Dublin, nchini Ireland ni wakati muafaka wa kutafakari kuhusu tunu msingi za maisha na utume wa ndoa na familia, ili kujizatiti kuwa tayari kutangaza na kushuhudia Injili ya familia chemchemi ya habari njema kwa watu!