Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Dr. Salvatore Martinez

Mama Kanisa anawataka vijana kujenga dhamiri nyofu na wala wasiwe ni kama bendera kifuata upepo katika maisha!

Mama Kanisa anawataka vijana kujenga dhamiri nyofu na kamwe wasiwe kama bendera kifuata upepo katika maisha, bali wasimame kwa miguu yao wenyewe!

Vijana simameni kwa miguu yenu msikubali kuwa bendera kifuata upepo!

03/05/2018 07:19

Mama Kanisa anawataka viongozi wa Kanisa kuwasaidia vijana kukuza na kudumisha dhamiri nyofu inayowajibika mbele ya Mwenyezi Mungu na jirani zao, daima wakikazia mambo msingi katika maisha badala ya kukimbizana na mambo mpito ambayo mara nyingi yanawatumbukiza katika majanga makubwa!

Huduma ya upendo kwa maskini wanaoteseka kiroho na kimwili ni ushuhuda wa imani tendaji.

Huduma ya upendo kwa maskini: kiroho na kimwili ni ushuhuda wa imani tendaji.

Papa Francisko asema huduma kwa maskini ni ushuhuda wa imani tendaji

30/04/2018 07:31

Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa Chama cha Uhamsho wa Kikatoliki nchini Italia, RnS, anasema huduma makini kwa maskini na wale wote wanaoteseka: kiroho na kimwili ni ushuhuda makini wa imani tendaji unaowawezesha waamini kuwa kweli ni mashuhuda, vyombo na manabii wa huruma.

Diplomasia ya mshikamano, udugu na upendo ni muhimu katika ujenzi wa amani duniani!

Diplomasia ya mshikamano, udugu na upendo ni muhimu sana katika ujenzi wa amani duniani.

Diplomasia ya mshikamano ni kikolezo cha maendeleo endelevu!

07/02/2018 07:45

Hazina na amana ya utamaduni wa udugu, upendo na mshikamano katika ukweli na uwazi ni chachu muhimu sana katika mchakato mzima wa maendeleo endelevu ya binadamu, ambapo: haki msingi za binadamu, mahitaji yake muhimu, utu na heshima yake vinapewa kipaumbele cha kwanza!