Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Dr. Michel Roy, Caritas Internationalis

Tarehe 11 Juni 2018 Malta na Italia, zimewatakaa wakimbizi na wahamiaji 620 waliopewa hifadhi baadaye nchini Hispania.

Tarehe 11 Juni 2018 Malta na Italia ziliwakataa wakimbizi na wahamiaji 620 waliokuwa wanahofiwa kufa maji na baadaye Hispania imetoa hifadhi kwa wakimbizi na wahamiaji hawa.

Caritas Internationalis: Shiriki safari na wakimbizi kwa ukarimu!

12/06/2018 11:00

Shirikisho la Mashirika ya Misaada ya Kanisa Katoliki Kimataifa, Caritas Internationalis linasema, changamoto, fursa na matatizo yaliyoibuliwa na wimbi kubwa la wakimbizi na wahamiaji linapaswa kushughulikiwa kwa moyo ya upendo na ukarimu ili kuondokana na ubinafsi pamoja na maamuzi mbele!

Caritas Internationalis inawaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kushiriki katika safari ya matumaini ya wakimbizi na wahamiaji.

Caritas Internationalis inawaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kushiriki katika safari ya matumaini ya wakimbizi, wahamiaji na watu wanaotafuta hifadhi ya kisiasa.

Caritas Internationalis: 17-24 Juni 2018 Juma la Upendo kwa vitendo

14/05/2018 12:05

Baba Mtakatifuf Francisko mwezi Septemba 2017 alizundua rasmi kampeni ya kimataifa ya ukarimu kwa wakimbizi, wahamiaji na watu wanaotafuta hifadhi ya kisiasa inayoongozwa na kauli mbiu "Share the journey" yaani "Shiriki safari" kama kielelezo cha kumwilisha fadhila ya upendo katika maisha!

Papa Francisko amezindua kampeni ya "Shiriki safari" na wakimbizi na wahamiaji duniani.

Papa Francisko amezindua kampeni ya Caritas Internationalis "Shiriki safari" pamoja na wakimbizi.

Papa Francisko azindua kampeni ya "Shiriki safari" na wahamiaji

28/09/2017 10:33

Shirikisho la Mashirika ya Misaada ya Kanisa Katoliki Kimataifa limezindua kampeni ya upendo na ukarimu kwa wahamiaji na wakimbizi sehemu mbali mbali za dunia, ili kuonesha upendo na mshikamano; kusimamia haki msingi za wakimbizi na wahamiaji pamoja na kulinda utu na heshima yao kama binadamu!